covid-19

Testing for the respiratory illness coronavirus disease 2019 (COVID-19) and the associated SARS-CoV-2 virus can be done by polymerase chain reaction (PCR) testing, nucleic acid tests and ELISA antibody test kits. One study published in February 2020 claims that chest CT scans perform better than PCR tests.

View More On Wikipedia.org
  1. L

    #COVID19 Baraza la Afya Duniani kufuatilia COVID-19, Afya na amani

    Mkutano wa 73 wa Baraza la Afya Duniani (WHA) umeanza jana huko Geneva, Uswiss, ambapo utafuatilia masuala makubwa yakiwemo janga la COVID-19 na afya ya dunia inavyohimiza pendekezo la amani. Janga la COVID-19 linaendelea kuwa moja ya vipaumbele vya mkutano wa mwaka huu wa WHA ambao ni wa...
  2. JanguKamaJangu

    #COVID19 Korea Kaskazini: Maambukizi ya Covid-19 yawakumba zaidi ya Watu milioni 2

    Korea Kaskazini imeweka wazi kuwa imeanza kupata matokeo mazuri katika vita yake dhidi ya Ugonjwa wa Covid-19 lakini idadi ya walioambukizwa ikitajwa kuwa imefika zaidi ya watu milioni 2 Rais wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol na Rais wa Marekani, Joe Biden ambao wanatarajiwa kukutana leo...
  3. Roving Journalist

    #COVID19 Ripoti mpya ya Covid-19 kwa Mwezi Aprili 2022, Dar yaongoza kwa wagonjwa wengi

    Wizara ya Afya imetoa ripoti inayoonesha kuna ongezeko la wagonjwa wa UVIKO-19, wagonjwa 8 katika wiki ya tatu ya mwezi Aprili, 2022 hadi kufikia wagonjwa 32 katika wiki ya nne ya mwezi huo, huku Mkoa wa Dar es Salaam ukiongoza kuwa na visa vya watu 70 waliothibitika kuwa na ugonjwa huo. Katika...
  4. JanguKamaJangu

    #COVID19 Marekani: Waziri wa Mambo ya Nje akutwa na maambukizi ya COVID-19

    Vipimo vimeonesha kuwa Antony Blinken ambaye ni Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani amekutwa na maambukizi ya Ugonjwa wa COVID-19, ametakiwa kufanya kazi kwa njia ya mtandao. Licha ya maambukizi hayo, Waziri huyo alipata chanjo mara mbili na nyongeza ya kujikinga na ugonjwa huo. Msemaji wa...
  5. Lady Whistledown

    #COVID19 WHO yasema visa vya maambukizi vya Covid-19 vyaongezeka Afrika Kusini

    Shirika la Afya Duniani limesema bara la Afrika linashuhudia kuongezeka kwa visa vya COVID-19 vinavyotokana na kuongezeka maradufu kwa visa vya maambukizi vilivyoripotiwa nchini Afrika Kusini Benido Impouma, Mkurugenzi wa Magonjwa ya yasiyoambukiza WHO-Afrika, Aprili 28, 2022 alisema, ndani ya...
  6. JanguKamaJangu

    #COVID19 WHO: Maambukizi na vifo vya COVID-19 vimepungua sana Afrika

    Idadi ya maambukizi ya Corona na vifo vinavyotokana na virusi hao vimepungua kwa kiwango kikubwa katika Bara la Afrika kwa mara ya kwanza tangu kuibuka kwa maambukizi hayo. Takwimu hizo ni kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO) katika ripotiN yao ya Aprili 14, 2022, ambapo maambukizi...
  7. Analogia Malenga

    #COVID19 Kenya kutupa dozi 800,000 za Covid-19 zilizoisha muda

    Wizara ya afya nchini Kenya imetangaza kwamba muda wa matumizi wa zaidi ya dozi laki nane dhidi ya ugonjwa COVID-19 aina ya AstraZeneca umekamilika bila kutumiwa. Idadi ya watu wanaojitokeza kuchanjwa imepungua pakubwa baada ya serikali kulegeza baadhi ya masharti yaliyowekwa kudhibiti...
  8. Shark

    Mafuta ya kupikia yaadimika mitaani

    Kuna watu wanamhujumu Mheshimiwa Rais na pengine yeye hajui hili. Kwa sasa huku mitaani mafuta ni adimu sana, na pale ambapo yanapatikana basi bei yake haishikiki. Dumu/Ndoo ya Lita 20 iliyokua ikiuzwa TZS 70,000/- mwezi wa sita mwaka jana leo inauzwa TZS 140,000/- Aliekua Waziri wa Kilimo...
  9. Suley2019

    #COVID19 Obama akutwa na Covid-19

    Aliyewahi kuwa rais wa Marekani Barack Obama amekutwa na maambukizi ya corona baada ya kufanyiwa vipimo. Obama ametangaza kuwa na maambukizi hayo kupitia kurasa zake za mitandao ya kijamii. "Nimekutwa na covid. Nimekuwa nikiwashwa kwenye koo kwa siku mbili, lakini ninajisikia vizuri" alisema...
  10. Analogia Malenga

    #COVID19 Vifo vya Covid-19 vyafikia milioni 6 duniani kote

    Idadi rasmi ya watu waliokufa kutokana na COVID-19 inakaribia kuzidi watu milioni sita, wakati ambapo janga hilo linaloingia mwaka wake wa tatu, likiwa bado halijaisha. Takwimu zilizotolewa na Chuo Kikuu cha Johns Hopkins, zinaeleza kuwa hadi Jumatatu watu 5,999,158 wamekufa kutokana na virusi...
  11. Miss Zomboko

    #COVID19 Umoja wa Ulaya kulegeza masharti ya COVID-19 kwa watalii kuanzia Machi mwaka huu (2022)

    Nchi za Umoja wa Ulaya zimekubaliana kurahisisha safari za watalii waliochanjwa dhidi ya Covid-19 au waliougua na kupona ugonjwa huo. Baraza la umoja huo wenye wanachama 27 limependekeza kuwa kuanzia mwezi ujao, masharti ya karantini yaondolewe kwa watu wanaowasili katika nchi hizo wakiwa...
  12. Dr Lizzy

    My COVID-19 experience, hard times

    I'm honestly a very lucky person. Nilipata loan wakati nasoma so my college days were great, early 20s weren't awful and mid 20s were awesome! Crazy as I am....nikaachana na fani yangu ya psychology niliyosoma and decided to pursue a career as a creative few years ago. Dude! Seemed like a...
  13. Jamii Opportunities

    COVID-19 Vaccination Assistant (multiple positions) at ICAP

    COVID-19 Vaccination Assistant (multiple positions) at ICAP Job no: 496128 Position type: Temporary Full-Time Location: Tanzania – Mwanza Division/Equivalent: Tanzania School/Unit: Implementation / Program Management Categories: Program Management/Implementation/Support...
  14. Jamii Opportunities

    COVID-19 Vaccination District Lead (multiple positions) at ICAP

    COVID-19 Vaccination District Lead (multiple positions) at ICAP Job no: 496126 Position type: Temporary Full-Time Location: Tanzania – Mwanza Division/Equivalent: Tanzania School/Unit: Implementation / Program Management Categories: Program Management/Implementation/Support...
  15. John Haramba

    #COVID19 Rais Mwinyi: Zanzibar kwa sasa haina wagonjwa wa COVID-19

    Picha: Rais wa Zanzibar Dkt. Hussein Mwinyi Serikali ya Zanzibar imeeleza kuwa hivi sasa hakuna mgonjwa hata mmoja wa Ugonjwa wa Uviko19 (Covid-19) japokuwa hawawezi kuweka wazi kama ugonjwa huo umeisha moja kwa moja visiwani hapo. Rais wa Zanzibar, Dkt. Hussein Mwinyi ameyazungumza hayo...
  16. John Haramba

    #COVID19 Simu Janja kupima COVID-19 Zanzibar

    Serikali ya Zanzibar imezindua teknolojia mpya ya kupima uwezekano wa maambukizi ya UVIKO-19, kutumia simu janja, kwa wageni wanaoingia kupitia Uwanja wa Ndege wa Amani Abeid Karume. Uzinduzi huo umeshuhudiwa na Waziri wa Afya wa Zanzibar Nassor Mazrui, ambapo amesema Zanzibar ni nchi ya kwanza...
  17. beth

    Ripoti: Uchafuzi (Pollution) husababisha vifo vingi kuliko COVID-19

    Ripoti ya Umoja wa Mataifa kuhusu mazingira ambayo imetolewa leo, imesema uchafuzi unaofanywa na kampuni pamoja na nchi mbalimbali husababisha vifo vingi kuliko hata vifo vinavyosababishwa na janga la COVID-19 Kulingana na ripoti hiyo, dawa za kuwaua wadudu, plastiki na uchafu kutokana na vifaa...
  18. J

    #COVID19 Tanzania kuanza kuzalisha chanjo zake za COVID-19

    Rais Samia amesema Tanzania ina mpango wa kuanzisha kiwanda cha kutengeneza chanjo za UVIKO-19 ikiwa ni juhudi za kupambana na janga hilo pamoja na magonjwa mengine. Rais Samia amesema hayo wakati akifanya mazungumzo na Rais wa Baraza la Ulaya, Bw. Charles Michel, jijini Brussels nchini...
  19. Analogia Malenga

    #COVID19 UTAFITI: Wanaopata COVID-19 Tanzania wana umri chini ya miaka 61

    Utafiti wa kwanza kuripoti sifa zawaliougua Ugonjwa wa Virusi vya Korona(UVIKO-19) pamoja na matokeao ya tiba walizopatiwa nchini Tanzania umebaini kuwa takribani robo tatu ya wagonjwa wote ni wenye umri chini au sawa na miaka 60. Matokeo ya utafiti huo yamechapishwa Januari 6 mwaka huu katika...
  20. Miss Zomboko

    #COVID19 Norway yaondoa vizuizi vya kupambana na COVID-19

    Norway imesema inaondoa vizuizi vyote vya kupambana na janga la COVID 19, kwa sababu haioni kitisho kikubwa cha afya kwa raia wake kutokana na janga hilo, licha ya kwamba kirusi cha Omicron bado kinasambaa nchini humo. Waziri Mkuu wa Norway Jonas Gahr Stoere amesema huu ni muda waliousubiri kwa...
Back
Top Bottom