crdb

  1. Jamii Opportunities

    Specialist, Digital Channels Systems at CRDB

    Job Purpose: Responsible for implementation of new & enhancements and Second level day by day support of all channels systems; Internet Banking, Mobile Banking, Agent Banking, SMS Service, Enterprise Service Bus (ESB) integrations with internal & external systems and All Self-service...
  2. CEYLON

    Hii habari ya CRDB kuwarejeshea fedha wateja wenye mikopo ni ya kweli?

    Habari? Leo kwa nyakati tofauti nimeambiwa na watu wawili kuwa CRDB wamerejesha kiasi cha fedha kwa wateja walio na mikopo,na wamefanya hivyo baada ya kukokotoa mahesabu upya.Mwenye habari iliyokamilika kuhusu hili naomba anijuze.
  3. The Assassin

    Neema kwa wafanyakazi, CRDB imeshusha riba hadi 13% kwa wafanyakazi na 9% kwa wakulima

    Hivi karibuni Bw. Nsekela wa CRDB alisema mabenki yatashusha riba na kweli ameishi kwenye maneno yake. Leo CRDB wametangaza kushusha riba kutoka 20% hadi 9% kwa wakulima na kutoka 16% hadi 13% kwa wafanyakazi. Ingawa riba bado ni kubwa sana ila kiukweli hii ni neema kwa wafanyakazi...
  4. Schoolface

    CRDB Lamadi bora mfunge ofisi

    Habari wanajukwaa, Kama kichwa cha habari kisemavyo kumekuwa na kero sana katika maeneo ya Lamadi yaani kila ukienda bank ya CRDB pale Lamadi unakuta bank ipo wazi ila ndani hakuna watoa huduma yaani unamkuta mlinzi tu na kama ukibahatika kumkuta mtoa huduma wa pale CRDB basi ukitaka kufanya...
  5. Mzee Wa Republican

    CRDB badilikeni mapema, tutawakimbia sana msipoangalia

    Ndugu wanabodi, Heshima sana kwenu. Naomba nijielekeze kwenye mada mohja kwa moja. Tangu niifahamu sekta ya fedha niliiona CRDB kama moja ya benki zenye kasi, ubunifu na hata umakini kiutendaji. Kutokana na hayo niliamua kwa hiyari yangu pamoja na wenzangu kujiunga na benki hii miaka kadhaa...
  6. Jamii Opportunities

    Senior Business Analyst at CRDB

    JOB REPORTING TO: Senior Manager Business Performance & Revenue Assurance JOB PURPOSE Responsible to ensure that revenue collection mechanisms are reviewed and monitored to help businesses identify system loopholes, errors, transaction errors, process weaknesses that could affect income...
  7. U

    Ninahama CRDB; ni benki gani inayoweza kuwa mbadala bora kwa Dar es Salaam?

    Ndugu wasomaji, Nimeamua sasa kuachana CRDB bank kutokana na makato yasiokuwa na Tija yoyote. Najiuliza, hivi ndio kusema kuweka fedha bank ni utajiti? Makato yao yanaumiza sana na hayana uhalali wa aina yoyote, haisadi sekta ya bank kukua, mitaji kukua, kukopesha nk. Nadhani ni wakati wa BoT...
  8. S

    Benki ya CRDB boresheni muonekano wa Mobile App yenu

    Kwakweli naomba niseme tu SIMBANKIG Mobile Application ya CRDB,imekosa mvuto kulinganisha na ya washindani wao wakubwa wa kibiashara ingawa mtu unapata huduma unayohitaji kupitia hiyo App. Kwa mtazamo wangu, tatizo ninaloliona linatokana na rangi wanazotumia CRDB ambazo ni nyeupe na kijani...
  9. seedfarm

    Mahakama kanda ya Arusha yakubali kupokea taarifa ya CCTV camera toka Benki ya CRDB kwenye kesi ya uhujumu Uchumi ya Ole Sabaya

    Mahakama kanda ya Arusha jumatano oktoba 27, 2021 imekubali kupokea kielelezo namba 4 kama ushahidi toka kwa Afisa tehema wa CRDB tawi la kwa Mrombo bwana Geoffrey Abimiel Nko ambaye ni shahidi namba saba wa Jamuhuri Katika kesi ya uhujumu Uchumi inayomkabili Lengai Ole Sabaya. Francis Mrosso...
  10. Jamii Opportunities

    Head, Finance & Administration at CRDB Bank

    Job Title - Head, Finance & Administration Reporting Line - General Manager Job Summary Oversee the development and execution of an effective financial strategy to achieve optimal return on investment and to safeguard bank assets by ensuring correctness and completeness of banking transactions...
  11. Greatest Of All Time

    Tetesi: Iliyokuwa CRDB bank sasa yageuzwa kuwa Chato Club

    Hii ni tetesi mpya kutoka huko Chato, iliyokuwa benki ya CRDB sasa imegeuzwa kuwa Chato club, baada ya kifo cha hayati Magufuli. Mlioko huko ukweli ni upi?
  12. Selwa

    CRDB MLIMANI CITU MMEKUWA KERO

    Hivi Jamani ni mimi mwenyewe napata shida crdb hii ya mlimani city, nimefanya hapa biasha zangu kuanzia 2011 ila naona mwaka huu kama service ni mbaya mnooooo mnooo. kutoa hela kwenye account nashindwa kufunga account ni procedure yani ni tafrani. customer service desk ni mbovu mteja unasubiri...
  13. EL ELYON

    Kutoa hela UTT changamoto CRDB

    Wakuu mmebarikiwà Sana na Mungu WA Mbinguni. Nilikwenda kujaza fomu za UTT Benki CRDB Kwa lengo kutoa pesa yaani re purchase units. Baada ya kumaliza kujaza fomu nikaambiwa nilipie elfu 23 kwa madai kwamba ni gharama ya kumtuma fomu. Nikaelekezwa niende kwenye dirisha la teller nilipe...
  14. Rurakha

    CRDB Bank rekebisheni internet upande wa huduma za uwakala

    Napenda kuwasilisha malalamiko yangu kwa Benki ya CRDB kwa hasara mnazotupatia sisi mawakala kutokana na mtandao wenu kuwa wa hovyo kushinda benki zote Mimi ni Wakala natoa huduma za uwakala wa kifedha upande wa mabenki binafsi kutokana na uzoefu kidogo katika kazi hii, nimegundua Benki ya CRDB...
  15. hp4510

    Malalamiko yangu juu ya CRDB bank

    Siku ya Leo imekuwa mbaya Sana kwangu, Nilikuwa natuma pesa Kwa bimkubwa wangu huko kijijini kwetu kwa ajili ya matibabu yake Nimetuma pesa asubuh kwa SIM banking kwenda mpesa, tangu hiyo asubuh mpaka muda huu hiyo pesa haijafika, Nimepiga simu Sana huduma Kwa wateja wanasema shida sio crdb...
  16. Black Label

    Online banking kimataifa: Stanbic au CRDB?

    Naomba ushauri. Ni benki ipi yenye ufanisi zaidi kwenye kufanya miamala ya kupokea hela on line kutoka nje? Nachoangalia hapa ni uharaka wa kupata hela kutoka nje. Kuna benki huduma zao za on line wameweka vikolombwezo na rangi rangi nyingi ila ukitumiwa hela wiki inapita hazijaingia kwenye...
  17. K

    Naweza kuendelea kutumia akaunti ya Benki ya CRDB niliyositisha matumizi yake kwa miaka minne?

    Nina Account yangu sijaitumia sasa huu mwaka wa nne. Tafadhali, nifanyeje ili nianze kuitumia?
  18. N

    Yeyote aliye na mashine ya uwakala wa CRDB au NMB ambayo kwa sasa amesimama kuitumia kwa muda, Naomba anisaidie

    Wakuu, habari ya majukumu wanajukwaa,. Nakuja kwenu,Mimi nina kibanda cha MPESA eneo fulani lenye mzunguko kiasi ndani ya jiji la Dar es Salaam. Nilimekuwa nikifanya uwakala wa mitandao ya simu (Tigopesa,Airtel money na M-Pesa), kwa muda wa mwaka mmoja, nikiwa na Lengo la kuongeza uwakala wa...
  19. M

    Kwenu CRDB Bank

    Kwanza nianze kwa kuwapongeza kuendelea kuwepo katika biashara ya fedha katika kipindi chote na kuendelea kuwa miongoni mwa Bank bora Tanzania Baada ya Kimei kuondoka Bank iliendelea kuwa strong chini ya mkurugenzi mpya aliyekuwa CRDB mwanzoni na kuondoka kwenda NMB na baadae kurudi kuwa...
  20. U

    Hongera Benki ya CRDB

    Mojawapo ya taasisi nchini inayofanya vizuri kutokana na uongozi ni CRDB tokea ilipoanzishwa imekuwa na mafanikio makubwa na haswa kipindi ikiwa chini ya uongozi wa ndg kimei hadi Sasa ikiwa chini ya ndg Nsekeka. Hii ni changamoto kwa taasisi nyingine katika sekta za kuhudumia wananchi ziige...
Back
Top Bottom