Siku ya Leo imekuwa mbaya Sana kwangu,
Nilikuwa natuma pesa Kwa bimkubwa wangu huko kijijini kwetu kwa ajili ya matibabu yake
Nimetuma pesa asubuh kwa SIM banking kwenda mpesa, tangu hiyo asubuh mpaka muda huu hiyo pesa haijafika,
Nimepiga simu Sana huduma Kwa wateja wanasema shida sio crdb...