Nimenunua LUKU 50,000/= kupitia ebanking toka Jumapili saa 10 jioni hadi leo Jumanne nawasiliana nao kupitia ukurasa wao wa facebook wanasema niwe mvumilivu.
Huu ni upumbavu, dharau kwa mteja, kukosa weledi. Kwa sababu wanajua wateja hawana haki, hawawezi kushitaki popote, wanatuona mapimbi tu...