Jana nilifanya muamala CRDB, nikatoa pesa Kutoka kwenye account kwenda kwenye line ya simu Yani cardless. Nilipofika ATM kufanya transaction, pesa ikakatwa kwenye line lakini kwenye ATM haikutoka pesa.
Nikajaribu kuwasiliana na huduma kwa wateja wakaniambia baada ya masaa 6 pesa itarudi...