Kuna jamaa yangu mmoja anapanga kuwafungulia mashtaka benki moja maarufu nchini kwa kufanya yafuatayo
1.Kutoa taarifa zake kwa mtu binafsi, ikiwapo benk statement, kuonesha kiasi alichonacho,
2.Pili na kuhold account ya jamaa kisa, anadaiana na mtu akatumia advantage ya kujulikana serikali...
Kuna mabadiliko nimeyaona ya muundo wa kombe la Crdb FA cup kutoka kwenye ule muonekano wa kwanza likiwa kombe la Azam
Mabadiliko sio mabaya na kombe limependeza ila sio vizuri kuwa na muonekano tofauti Kila mara mdhamini mpya anapokuja hii inaharibu muendelezo wa muonekano kwa makombe kwenye...
Nairobi, Mei 28, 2024 – Katika jitihada za kuboresha maisha na kukuza uchumi wa masoko inayoyahudumia, Benki ya CRDB imeendesha mjadala uliolenga kujadili ukuzaji wa huduma za benki zinazovuka mipaka ya nchi za Afrika ili kuchochea mageuzi ya uchumi barani Afrika. Mjadala huo rasmi umefanyika...
Wanafunzi wa Vyuo Vikuu hasa wale wa mwaka wa kwanza na watumiaji wa accounts za CRDB hadi sasa hawajapata boom Lao la 4 hii inasababishwa na nini wakuu?
Aisee naomba unisaidie kama unamjua mfanyakazi yeyote wa CRDB basi naomba nisaidie kumuulza haya maswali.
1. Nikiwa nataka kufungua account mpya ya CRDB naweza kupata card siku hiyo hiyo?
2. Account yangu ya zamani sijaitumia kwa miaka miwili kwa kifupi haipo active lakini mwaka huu mwezi wa 8...
Dar es Salaam. Tarehe 23 Mei 2024: Katika kuongeza ujumuishi wa wananchi kiuchumi hasa makundi maalumu, Taasisi ya CRDB Bank Foundation imesaini mkataba wa makubaliano kushirikiana na Shirika la Umoja wa Mataifa la Idadi ya Watu Duniani (UNFPA) kuwawezesha kiuchumi vijana kuanzia miaka 18 hadi...
Mbunge wa Jimbo la Babati Mjini Pauline Philipo Gekul akichangia makadirio ya Mapato na Matumizi ya Wizara ya Utamaduni ,Sanaa na Michezo kwa mwaka wa fedha 2024/25 ameiomba Wizara hiyo kupeleka mechi kubwa Mkoani Manyara baada ya kuiondoa mechi ya Fainali ya Shirikisho kati ya Yanga na Azam FC...
Habari za muda huu wakuu,
Nina Account 2 za CRDB, ya kwanza niliifungua mwaka 2020 kwa kitambulisho changu cha utaifa, na ya pili niliifungua 2021 kwa kitambulisho changu cha chuo kikuu muda huo nilikuwa namalizia mwaka wa tatu wa masomo
Baada ya kumaliza chuo maisha yalinitwanga haswa kiasi...
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya CRDB Insurance, Wilson Mnzava akibadilishana hati ya makubaliano na Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya ACRE Africa, Ewan Wheeler, katika hafla ya kusaini makubaliano ya kutoa huduma ya bima ya kilimo na mifugo, ambapo kwa kuanzia watanaanza na bima ya mifugo kwa...
Wakuu habari za usiku huu?
Kama kichwa cha habari kinavyo jieleza, nimekosea kufanya muamala kutoka crdb nikatuma kama muda wa maongezi na sijaunga kifurushi.
Nimewapigia crdb bank wameniambia hawawezi kurudisha, msaada tafadhali mwenye kuweza kubadilisha muda wa maongezi kuwa pesa...
Katika utekelezaji wa Sera yake ya Uwekezaji kwenye Jamii, Benki ya CRDB imeendelea kusaidia jitihada za Serikali kuboresha mazingira ya elimu nchini.
Jitihada hizo zimefanyika mkoani Manyara, katika Wilaya za Mbulu na Babati, siku chache kabla ya Mkutano Mkuu wa Wanahisa wa Benki ya CRDB...
🔰𝐌𝐀𝐓𝐂𝐇 𝐃𝐀𝐘🔰
🏆 #CRDBBankFederationCup
⚽️ Ihefu SC🆚Young Africans SC
📆 19.05.2024
🏟 Sheikh Amri Abeid
🕖 09:30 Alasiri
Kikosi kinachoanza dhidi ya Ihefu SC
Mpira umeanza
Dakika ya 1
Dakika ya 5
Yanga SC wanafanya shambulizi
Dakika ya 10
Yanga SC wanapata Kona bado ni 0-0
Dakika ya 15
0-0...
Arusha 18 Mei 2024 - Wanahisa wa Benki ya CRDB wameidhinisha kwa kauli moja mapendekezo ya Bodi ya Wakurugenzi kuhusu malipo ya gawio la Shilingi 50 kwa kila hisa jambo linalofanya jumla ya thamani ya gawio la mwaka wa fedha 2023 kufikia Shilingi bilioni 130.6, sawa na 30.9% ya faida halisi...
Arusha 17 Mei 2024 - Rais wa Serikali ya Mapinduzi Zanzibar, Dkt. Hussein Ali Mwinyi ameipongeza Benki ya CRDB kwa kuendelea kutengeneza faida kubwa inayoiwezesha benki hiyo kutoa gawio kwa wanahisa wake kutokana na uwekezaji wao ndani ya benki hiyo.
Rais Mwinyi alitoa pongezi hizo wakati...
Job Reporting To: Manager; Cybersecurity Governance & Compliance
Department: Cybersecurity
Location: HQ
Job Summary.
Responsible for the creation, maintenance and management of cybersecurity architecture models and their lower-level components. Interpret, use, and apply information contained...
Arusha 16 Mei 2024 - Serikali imeipongeza Benki ya CRDB kwa kutoa msaada wa pikipiki kwa Jeshi la Polisi mkoani Arusha ili kuimarisha doria zitakazoongeza usalama kwa watalii wanaokuja nchini. Pongezi hizo zimetolewa na Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Paul Makonda alipopokea pikipiki hizo zenye thamani...
Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Dkt. Ally Laay (katikati), Makamu Mwenyekiti wa Bodi ya Wakurugenzi Benki ya CRDB, Prof. Neema Mori (wapili kushoto), Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (watatu kushoto), Katibu wa Kampuni Benki ya CRDB, John Rugambo (watatu...
Kwenye kujitafuta bhana nikasema niombe Uwakala wa benki ya CRDB
Sasa achana na Pesa ambayo nitaweka kwenye Account kwaajili ya kazi, naambiwa mashine yao inapatikana kwa Milioni 1 hadi nilishikwa na mshangao kwanza, hiyo mashine ni single purpose nailipia M.1... khaaaaa
Na tozo za nchi hii...
We mdada wa CRDB tawi la Mwanza customer care desk, kwanza nakuombea kwa mungu uzidi kukupa afya njema vingine nitafanya mimi, ninafanya juuchini nikupate, iwe ni kwa upendo, dua, viringe ama pesa nitazitoa ili tu uwe wangu.
Nimekutazama vizuri, una uzuri wa sauti, tabasamu, karangi kako dark...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.