crdb

  1. B

    Taasisi ya CRDB Bank Foundation, UNDP kuwajengea uwezo wajasiriamali fursa za AfCFTA

    Dar es Salaam. Tarehe 16 Januari 2024: Katika kuimarisha uwezo wake na ushirikishaji wa wadau, Taasisi ya CRDB Bank Foundation imesaini Mkataba wa Makubaliano (MoU) na Shirika la Maendeleo la Umoja wa Mataifa (UNDP). Mkataba huo wa miaka mitano unakusudia kufanikisha uwezeshaji wananchi hasa...
  2. cleokippo

    CRDB Bank na makato ya matumizi ya kadi za ATM

    Nimeandika kwa masikitiko makubwa sana, last two weeks nilienda kuangalia salio la acc yangu crdb bank, nikakuta sehemu flan ya pesa imepungua nikakaa kimya Leo hii tena tar 14 nikasema niangalie tena salio nikakuta pia sehemu ya pesa imepungua, uzalendo ukanishinda ikabid niwapigie huduma...
  3. S

    ATM za CRDB Bank Kigamboni zinasumbua saana

    Habar wanamajumui, niende moja kwa moja kwenye mada, Mashine za kutolea Hela (ATM) za bento ya CRDB eneo la Kigamboni zinasumhuq saana hasa wakati wa siku za wiki, mfano wa ni ile ilioko kituo cha Mbuyuni karibu na Ilioko Kigamboni Ferry wakati mwingine ziko slow saana ha mara nyingi...
  4. B

    Benki ya CRDB yapata Cheti cha Viwango vya Kimataifa cha Usimamizi wa Huduma za TEHAMA ISO 20000-1:2018

    Dar es Salaam 11 Desemba 2023 – Benki ya CRDB leo imekabidhiwa cheti cha viwango vya Usimamizi wa Huduma za TEHAMA cha ISO 20000-1:2018 kilichotolewa na Shirika la Viwango la Uingereza (BSI). Cheti hicho kimekabidhiwa katika hafla fupi iliyofanyika Makao Makuu ya Benki yaliyopo barabara ya Ali...
  5. M

    CRDB sim banking huduma ya ovyo inayowalaza njaa wateja wao kila siku

    Benki ya isiyojali na kufikiria kero za wateja wao ni hii bank. Hawafai basi tu. Kila siku app ina matatizo huku wateja wakilala njaa kwa kukosa huduma.
  6. M

    Ninataka kuchukua mkopo wa Tsh. Milioni 50 Benki ya CRDB kwa miaka 9, marejesho jumla nitalipa M90

    Habari za asubuhi wadau. Nishaonana na Afisa mikopo tukapiga hesabu kabisa, nikichukua Tsh. Milioni 50 kwa miaka 9 riba ni 16% na nitatakiwa kurejesha Tsh. Milioni 90. Naombeni mnishauri kwenye hili wadau, niache au nichukue mkopo huu?
  7. B

    Benki ya CRDB yaingia makubaliano na Shirika la Nyumba Zanzibar (ZHC)

    Mkurugenzi Mkuu wa Shirika la Nyumba la Zanzibar (ZHC), Mwanaisha Ali Said, na Mkuu wa Kitengo cha Wateja Binafsi wa Benki ya CRDB, Stephen Adili. Kwa pamoja walisaini makubaliano ya ushirikiano kati ya Benki hiyo na Shirika la Nyumba La Zanzibar (ZHC) yenye lengo la kuwawezesha Wafanyakazi na...
  8. E

    Wating ticket za CRDB

    Unafika unachukua ticket yako ya kusubiri huduma, ticket imeandikwa waiting customer ni mmoja , Ila utakaa hapo unasubiri huyo mmoja amalizike masaa zaidi ya Mawili Hadi unaondoa matumaini. Hii imekaaje CRDB
  9. YoyoTheDeveloper

    Kutoa Pesa Payoneer Kuja Bank nitumie NMB au CRDB

    Habari, nimejiunga na mtandao wa UPWORK hivi karibu. Swali langu kwa wazoefu, Je nitumie bank gani ya uhakika kati ya NMB na CRDB kwa ajili ya kutoa pesa payoneer?
  10. C

    Msaada wa connection CRDB Bank kwa anayeweza nisaidia

    Ni majuzi hapa nimeomba MKOPO wa CRDB kwenye biashara wakahitaji vielelezo vyote nikawapa. Dhamana ipo (nyumba) iliyopo 25km tokea High Way, wakaenda itembelea dhamana wakajitidhisha ila wakaniambia POLICY yao haiwaruhusu kukopesha dhamana iliyo mbali kiasi hicho. Wakaniambia kwamba nitafute...
  11. M

    Vigezo vya kupata Mkopo CRDB Benki

    Habari za asubuhi Wanajf! Bila kipoteza muda,naombeni kujua ni vigezo gani vitaniwezesha kupata mkopo wa Biashara CRDB Benki. NB: Ni mara ya kwanza na naona kwenda Tawini ni changamoto nipo Shambani
  12. senkoP

    Ubabaishaji wa Benki ya NBC kwenye kutoa mikopo

    Bank ya NBC ni wababaishaji sana kuhusu utoaji wa mikopo. Sijui tatizo ni nini? Mtu anaomba mkopo taratibu zote zimesha kamilika mpaka makato tayari lakini hawaingizi mkopo. Kuna jamaa ameomba mkopo NBC yapata mwezi sasa umekwisha mkopo hawaingizi na anakatwa. Amefatilia kwa Afisa Mikopo...
  13. R

    Umekutana na kero gani benki ambayo ilikukwaza na kukupotezea muda? Wataje hapa wajirekebishe

    Wakuu, Kuna baadhi ya benki ukienda kupata huduma unaenda umetabasamu ukitoka unatamani upasuke kwa hasira. Baadhi ya kero ya kero ni wadumu kufanya mambo mambo taratibu sana, mtu mmoja anatumia hata nusu saa halafu kikubwa kinachofanyika hakuna. Ama unakuta benki ina madirisha mengi lakini...
  14. B

    Benki ya CRDB yafungua tawi wilayani Magu mkoani Mwanza kusogeza huduma kwa wananchi

    Magu. Tarehe 17 Novemba 2023: Siku chache baada ya kubeba tuzo za huduma bora na mtandao mpana wa mashine za kutolea fedha zinazotoa huduma, Benki ya CRDB imefungua tawi lake jipya wilayani Magu mkoani Mwanza. Tawi hilo linaloifanya Benki ya CRDB kufikisha matawi 262 nchini kote, lilizinduliwa...
  15. R

    Kwa wataalamu wa online banking CRDB karibuni tubadilishane mawazo

    Habari za majukumu kila mmoja, Niko nchini Israel kwa sasa ila Huwa nikipata pesa huku (shekhel) Huwa nakutumia kwa kadi yangu ya visa ya crdb ambayo ninayo huku. Tatizo ni kuwa Sina uwezo wa kujua kama pesa yangu ipo kwa account yangu kama nilivyotuma. Ndipo wazo la online banking likanijia...
  16. Financial Intelligence

    NMB yawaburuza CRDB na wenzake kifaida chini ya Mwanamama Ms Ruth Zaipuna, huenda Ukimwacha Rais Dkt Samia na Spika Dkt. Tulia mwingine ni huyu Mama

    MS Ruth Zaipuna Mkurugenzi Mkuu NMB. ====== Wasalaam Jf team, Waswahili tunasema " Mnyonge Mnyongeni lakini haki yake Mpeni " Sote tunakumbuka baada ya NBC Bank kuvunjwa Mwaka 1997 na baadae kuanzishwa kwa Benki mpya ya Makabwera ya NMB na baadae Benki hiyo kubinafsishwa kwa Rabobank ya...
  17. B

    Benki ya CRDB yaingiza dola 150 milioni kuwakopesha wateja wakubwa

    Mwenyekiti wa Bodi ya Benki ya CRDB, Dkt Ally Laay (wa pili kushoto) akiwa Mkurugenzi Mtendaji wa Benki ya CRDB, Abdulmajid Nsekela (wa pili kulia) wakionyesha mkataba wa mkopo wa dola za Marekani milioni 150 uliowezeshwa na Benki ya Intesa Saopaulo na Benki ya Investec. Wa kwanza kulia ni...
  18. Selwa

    CRDB wamekuwa ovyo sana

    Nsekela kama kazi imekushinda acha. Crdb wamekua hovyo sana jamani. Customer service unapiga unasubiri dakika 10 kuongea na mhudumu. Hela zinatolewa kwenye account hazirudi ukipiga simu kureport hamna majibu wala msaada aise. Leo rasmi nimehama benki. Naomba kwa usalama wako msiweke pesa crdb...
  19. B

    Benki ya CRDB yaadhimisha wiki ya huduma kwa wateja

    Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Edward Mpogolo (kulia) akipokea fomu ya uwekezaji katika hatifungani ya kijani ya "Kijani Bond" kutoka kwa kaimu Afisa Mtendaji Mkuu na Afisa Mkuu wa Bishara Benki ya CRDB, Boma Raballa wakati wa uzinduzi wa Wiki ya Huduma kwa Wateja 2023 iliyofanyika katika tawi la...
  20. Afro Super Bags

    Nimefungua account ya CRDB BANK ila naogopa kuweka akiba, nasikia wanamakato makubwa sana

    Mimi ni mfanyabiashara mdogo, natengeneza vikapu vya ain mbalimbali. Kwa siku nyingi sikuweza kuwa na account ya bank kutokana na gharama kubwa za kufungua account, hivyo pesa yangu niliitunza kwenye line ya simu. Juzi kati nikiwa kwenye biashara yangu nilitembelewa na watumishi wa CRDB BANK...
Back
Top Bottom