Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepokea wanachama wapya zaidi ya 70 kutoka Chama cha Wananchi (CUF), wakiongozwa na aliyekuwa mbunge wa Kilwa Kaskazini, Vedasto Ngombale.
Wanachama hao walipokelewa jana, Aprili 10, 2025, na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.