cuf 70 wahamia ccm

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania PreGE2025 CCM yapokea Wanachama wengine zaidi ya 70 kutoka CUF, wakiongozwa na Vedasto Ngombale

    Chama cha Mapinduzi (CCM) kimepokea wanachama wapya zaidi ya 70 kutoka Chama cha Wananchi (CUF), wakiongozwa na aliyekuwa mbunge wa Kilwa Kaskazini, Vedasto Ngombale. Wanachama hao walipokelewa jana, Aprili 10, 2025, na Katibu wa Halmashauri Kuu ya CCM Taifa (NEC) wa Itikadi, Uenezi na Mafunzo...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…