Habari za usiku wapendwa katika Bwana.
Nijikite moja kwa moja kwenye mjadala hususan ni kwa kampuni zinazotoa huduma za kifedha.
Tunashukuru tunapata huduma za kifedha masaa24, unaweza kutuma fedha, kutoa, kufanya manunuzi n.k
ILA
1. Licha ya huduma hii muhimu kupatikana masaa24 ila msaada...