dabi ya kariakoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. C

    Huyu wakili anaitwa Mgogolo anapita kwenye media akiwaaminisha kuwa Yanga anastahili pointi 3 na magoli matatu

    Nimemsikia na anajiaminisha sana kwamba Simba hawakupeleka timu hivyo wspinzani wao walistahili ushindi wa mezani. Nahisi kumbe elimu haina msaada kabisa kwa watu wengi. Au ni mahaba na timu yake ya yanga tu ndio yanamfunga ufahamu. Simba walisema hatutapeleka timu iwapo waliowafanyia fujo...
  2. Mbabani

    KUAHIRISHWA DABI YA KARIAKOO NI "SCRIPT"

    Salam wanamichezo. Tukio la kuahirishwa kwa dabi ya kariakoo halikutokea bahati mbaya ila ilikua "script" na "mamlaka"(sio mamlaka ya soka). Mechi itapangiwa tarehe nyingine itachezwa bila shida yoyote. Hii nchi ni mabingwa wa kutengeneza matukio ili kufunika matukio fulani kwa manufaa ya...
  3. Waufukweni

    Mgongolwa: Yanga itanufaika kwa kupewa alama 3 na fidia, sakata la Simba kugomea dabi ya Kariakoo

    Kufuatia sakata la Simba kugomea mechi ya Watani wa Jadi, Machi 8 Mwanasheria Alex Mgongolwa amesema; "Kikanuni Yanga itaweza kunufaika kwa kupewa alama tatu pamoja na kukabidhiwa fidia baada ya kupeleka madai kutokana na tendo lilofanyika lilikuwa ni kinyume na kisheria" Soma, Pia Yanga...
  4. Waufukweni

    Yanga yatoa msimamo mkali: Yadai pointi 3 kwa Simba, yakataa mechi ya marudio na kutaka Kamati ya Ligi Kuvunjwa!

    Kamati ya Utendaji ya Yanga, chini ya Rais Mhandisi Hersi Said, imefanya kikao cha dharura kujadili sintofahamu ya kuahirishwa kwa mechi yao dhidi ya Simba iliyopaswa kuchezwa tarehe 8 Machi 2025. Katika taarifa yao, Yanga imetoa pole kwa mashabiki waliokuwa wamejitokeza kushuhudia mchezo huo...
  5. Waufukweni

    VIDEO: Yanga wamewafuata Simba huko Bunju Mo Arena ili mechi ipigwe dabi ya Kariakoo

    Klabu ya Yanga iliwafuata wapinzani wao wa jadi, Simba SC, huko Bunju kwa ajili ya kuhakikisha mechi yao inachezwa. Hata hivyo, badala ya msafara mzito, ni dereva na watu wachache tu waliofika Mo Arena kisha kupiga honi na kuondoka
  6. S

    Sakata la Mechi ya YangaSc vs Simba, Kigogo Mmoja abwaga Manyanga bodi ya ligi kuu

    BREAKING: Mjumbe wa kamati ya Usimamizi na Uendeshaji wa ligi kuu Tanzania bara Ndugu Filimon Ntahilaja amejihudhuru nafasi yake muda mfupi uliopita na kutoka nje ya kikao baada ya maamuzi ya kutolewa ambapo yeye anaamini hayakuwa maamuzi sahihi. Imefahamika kuwa Ndugu Filimon Ntahilaja...
  7. Mkalukungone mwamba

    Azam Media Limited yasikitishwa na tangazo la kuahirishwa kwa mechi kati Yanga na Simba

    Azam Media Limited (AML) inasikitishwa na tangazo la kuahirishwa kwa mechi iliyokuwa ikisubiriwa kwa hamu kati ya Yanga SC na Simba SC ambayo ilipaswa kufanyika leo Jumamosi Machi 8, 2025 kuanzia saa 1:15 usiku katika Uwanja wa Benjamin Mkapa, Dar es Salaam. Tukio hili limeleta athari kubwa kwa...
  8. OKW BOBAN SUNZU

    Video: Mzee mpili asema shauri yenu mimi naingia

    Hawa wahuni ni kundi kubwa, vijana mixer na wazee. Mzee Mpili ameonekana yupo viunga vya uwanja wa Mkapa akaitaka kuingia uwanjani ili kupata kushuhudia mchezo wao wa ligi kuu kati ya Simba. Ambapo kiuhalisia mchezo huo umeharishwa na bodi ya ligi kuu. Soma Pia: Bodi ya Ligi kuu yaahirisha...
  9. Waufukweni

    Licha ya mechi kuahirishwa, Yanga watuma Kikosi chao kwa TFF wakisisitiza mchezo upo

    Licha ya mchezo kusogezwa mbele na Mamlaka za Mpira nchini, Yanga wametuma kikosi chao kinachoanza leo dhidi ya Simba kwa TFF hicho pichani, wakidai mechi ipo kama kawaida kwa upande wao Yanga SC walikuwa wanaingia hivi leo. 1. Djigui Diarra 2. Israel Mwenda 3. Chadrack Boka 4. Dickson Job...
  10. holoholo

    Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba

    Kamati ya Uendeshaji na Usimamizi wa Ligi Kuu Tanzania (TPLB) katika kikao chake cha leo Machi 8, 2025, ilipitia shauri la klabu ya Simba kuzuiliwa kuingia kwenye uwanja wa Benjamin Mkapa kwa ajili ya kufanya mazoezi ya mwisho kuelekea mchezo namba 184 wa Ligi Kuu ya NBC (Young Africans SC vs...
  11. The Watchman

    Yanga, yasema mchezo dhidi ya Simba upo palepale hakuna mabadiliko yoyote

    Yanga yasema mechi dhidi ya Simba ipo TAARIFA KWA UMMA MACHI 08, 2025 Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutaarifu Umma kuwa, mchezo wetu wa Ligi Kuu ya NBC, uliopangwa kuchezwa leo tarehe 8/3/2025, dhidi ya Simba SC, saa 1:15 usiku upo palepale na hakuna mabadiliko yoyote. Young...
  12. Waufukweni

    Bodi ya Ligi yaitisha kikao cha dharura kujadili malalamiko ya Simba SC na kususia mechi ya dabi

    Kufuatia kile ambacho kimetokea usiku wa wa jana kwa Simba SC kuzuiwa kufanya mazoezi katika Uwanja wa Mkapa, na kueleza hawatashiriki mchezo wa Dabi ya dhidi ya Yanga SC. Mwenyekiti wa Bodi ya Ligi Kuu (TPLB) Mzee Steven Mguto ambaye amefunguka kwamba kamati ya usimamizi na uendeshaji wa Ligi...
  13. Joseverest

    Simba SC yatangaza haitacheza mechi dhidi ya Yanga, Wakidai vitendo visivyo vya kiungwana dhidi yao

    Katika taarifa kwa Umma waliyoitoa saa 7 na dakika 46 usiku wa 8/3/2025 klabu hiyo imesema haitoshiriki mchezo huo wa Derby uliopangwa kufanyika majira ya saa 1 usiku 8/3/2025 kutokana na kuzuiliwa kufanya mazoezi uwanja wa Benjamin Mkapa na Wanaojiita Makomandoo wa Yanga Nini maoni yako? soma...
  14. ngara23

    Tetesi: Simba kugomea mechi kwakuwa hawakuruhisiwa kufanya mazoezi ya mwisho uwanja wa Mkapa

    Taarifa nilizonazo kutoka Kwa viongozi waandamizi wa club ya Simba ni kuwa katika kikao kilichofanyika usiku huu wamedhamiria kususia mechi Nilipomhoji kuhusu kanuni Kwa timu isiyofika uwanjani ni kukatwa points 3 na magoli 3 pamoja na kushushwa daraja, amejibu kuwa wako tayari Kwa lolote na...
  15. Waufukweni

    POSTPONED (PP): Yanga SC VS Simba SC | Ligi Kuu NBC | Benjamin Mkapa Stadium | 08.03.2025

    KARIAKOO DERBY | Leo Jumamosi kwa Mkapa kinapigwa, Yanga SC Vs Simba SC Saa 1:15 usiku | 🔴 LIVE updates hapa Je, Simba anakwenda kufungwa kwa mara ya 5 mfululizo na Yanga? Ama kukata uteja…!🫣🤯 🚨 Bodi ya Ligi kuu yaahirisha Mechi ya Derby kati ya Yanga dhidi ya Simba
  16. M

    Simba ni lini mlikuja kufanya mazoezi ya mwisho na mabasi mawili makubwa kwenye derby?

    Hii sio kawaida na sijawai kuiona kwamba Simba anaenda kufanya mazoezi ya mwisho siku Moja kabla ya mechi akiwa na mabasi mawili makubwa la wachezaji na jingine aijulikani limejaza watu wa shughuli Gani! Wasimamizi wa uwanja nawapa kongole Kuna ujinga ulitaka kufanyika pale ndani kwa kisingizio...
  17. Ubaya Ubwela

    Ateba Ateba Ateba Kesho usirudie kosa kama hili

    Wana simba walikusamehe ile mechi ya Kwanza kwa kukosa weredi wa kutumbukiza mpira golini ulikua na option mbili ufunge wewe au umpe pasi kibu wakati huo diara hakua golini ukareta mbwembwe za kutaka kufunga kistaa Kesho ukirudia kosa kama hilo nadhani ndo utakua umejichimbia kaburi lako hapo...
  18. Waufukweni

    Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi

    Wakuu Ubaya Ubwela umewageukia! Kwa mjibu wa Watangazaji wa EFm Inadaiwa Klabu ya Simba imezuiliwa kuingia Mkapa kufanya mazoezi kuelekea Kariakoo dabi Tazama video hii ya tukio husika Mwendelezo: Kikosi cha Simba, kimeondoka katika uwanja wa Benjamin Mkapa na kurejea kambini baada ya...
  19. Waufukweni

    Aziz Ki anasumbuliwa na nyonga, kukosekana mechi ya dabi dhidi ya Simba

    Kocha wa Yanga Moulid Hamdi anasema kuna hati hati kumtumia Stephane Aziz Ki katika Derby ya kesho kutokana na kuwa na maumivu ya nyonga. "Hii mimi sio dabi yangu ya kwanza kucheza nilishacheza dabi ambayo ina watu zaidi ya laki moja na ishirini uwanjani, nina mchezaji mmoja pekee ambae hayupo...
  20. The Watchman

    Yanga wakisikia Ateba na Mukwala wanapata kiwewe kuelekea Machi 08

    Mastaa wawili kwenye eneo la ushambuliaji ndani ya kikosi cha Simba kinachonolewa na Kocha Mkuu,Fadlu Davids ngoma ni nzito kutokana na kuliamsha dude kwenye eneo la ufungaji katika mechi ambazo wamechza. Ni Machi 8 2025 Uwanja wa Mkapa unatarajiwa kuwa kazini kwa wababe wawili Yanga na Simba...
Back
Top Bottom