Kikosi changu cha Yanga baada ya kuitazama jana kuelekea tarehe 8 Agosti, 2024.
Baada ya mechi ya jana ya Yanga dhidi ya Red Arows kwa jicho langu nitaweka kikosi hapa ambacho kwenye mechi ya dabi .
Diarra
Boka
Yao
Bacca
Job
Aucho
Mudathiri
Aziz Ki
Pacome
Max Mpia
Prince Dube
Mfumo 4-3-1
Taja...
Kitu kikubwa nilichokiona kwa Wananchi, kwanza wameweza kuujaza uwanja, lakini sio tu kuujaza uwanja bali mashabiki wengi wametinga uzi mpya.
Tofauti sana na wazee wa ubaya ubwela uwanja waliujaza ila wengi walitinga uzi wa zamani.
Sasa sijui ni uchumi au lile neno sanda limechangia?
Mwisho...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.