dabi ya kariakoo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Mkalukungone mwamba

    Matokeo ya mechi ya Watani wa Jadi Yanga SC vs Simba SC Mwezi Machi

    Homa ya pambano la watani wa jadi inazidi kupanda ni Jumamsoi hii, Machi 08, 2025. Yanga SC watakuwa dimba la Benjamin Mkapa wakiwakaribisha Simba SC. Leo tutazame head to head katika mechi zao katika mwezi March. Katika michezo 9 Yanga SC ameshida mechi 3, Simba SC ameshinda mechi 1, sare...
  2. Beira Boy

    Toka Dunia iumbwe kwanini Simba hajawahi mfunga Yanga kila wanapokutana tarehe 8?

    Amani iwe nanyi watumishi Kumbukumbu zangu zimenipeleka mbali sana Lakin hasa nikiikumba yanga mbovu kabisa iliyokutana na Simba imara kabisa iliyosheheni kila kitu Hapo nakumbuka mwaka 2020 mwezi wa 3 tarehe 8 Simba alilia sana baada kupigwa moja bila na Yanga unga unga gori la Bernad...
  3. M

    Salamu za Pili leo kwa Kocha Fahdu Davis na Benchi lake la Ufundi Kuelekea Derby ya Tarehe 08 Machi 2025

    Ndugu Fahdu Davis, Kocha wa Simba Awali ya yote nakupongeza sana kwa kazi nzuri unayoendelea kuifanya ndani ya klabu ya Simba Sports Club. Ama hakika hadi sasa kupitia wewe na benchi lako la ufundi sisi wanachama na mashabiki wa Simba tumeridhika na performance ya timu yetu hadi sasa. Timu...
  4. Dabil

    Ni hujuma Ramadhani Kayoko kuchezesha derby

    TFF wamekosea sana mechi ya tarehe 8 refa wa kati kuwa Kayoko. Kayoko ana madhaifu mengi kwanini wasimlete Arajiga kwa mechi kama hii? Kayoko tangu derby iliyopita kachezesha mechi moja tu wiki zilizopita,mda huo wote aliwekwa benchi na kamati ya marefa baada ya kuona mapungufu yake kwenye...
  5. M

    Salamu zangu za kwanza kuelekea Derby zinaanzia kwa Uongozi wangu wa Simba Sports Club

    Ndugu Mohamed Dewji Mwenyekiti wa Bodi Bodi ya Wakurugenzi Simba Sports Club DAR ES SALAAM YAH: MECHI YETU DHIDI YA YANGA AFRICANS A.K.A UTOPOLO SIKU YA TAREHE 08 MACHI 2025 Ndugu Mwenyekiti, pokea salamu hizi za dhati kabisa kutoka kwangu mwanachama wa Simba Sports Club. Ndugu Mwenyekiti...
  6. Waufukweni

    Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 10 kwa kupita mlango usio rasmi mechi ya Dabi ya Kariakoo

    Klabu ya Yanga imelimwa faini ya TSh. Milioni 12 na Bodi ya Ligi kwa makosa tofauti ikiwa ni pamoja na kupita mlango usio rasmi kwenye mechi ya Dabi ya Kariakoo, ambayo walishinda bao 1-0 mbele ya Simba SC Pia, Ramadhan Kayoko na Waamuzi waliochezesha mechi za Yanga (Vs Simba Vs Coastal Union)...
  7. K

    Binafsi mimi sijaona makosa ya refa Ramadhani Kayoko kwenye mchezo wa Simba na Yanga

    Nakupongeza sana Refa Ramdhani Koyoko kwa kusimamia sheria zote za mpira wa miguu kati ya Klabu ya Simba na Yanga. Timu yeyote iwe Yanga au Simba ikishindwa lazima ilalamike. Wanaokulaumu wanakuonea ulichezesha vizuri sana. Binafsi mimi sina timu ninayopendelea. TFF msiwasikilze...
  8. kavulata

    Kama haki ingetendeka Simba wangekuwa na pointi 3 tu mpaka sasa

    Mechi 2 za kwanza walipangiwa timu ambazo zilikuwa hazijakamilisha usajili wao, mechi ya Dodoma jiji walipewa goli la hovyo, mechi dhidi ya Tanzania Prisons Samson Mbangula aliangushwa ndani ya penati box wakanyimwa penati, wangetoka sare.
  9. L

    Baada ya kuwasikiliza na kutafakari sana naunga mkono hoja za wazee wa Simba kwa asilimia 100%

    Juzi wazee wetu wameitisha Press na wameongea sana, kwa watu wasiojua ball ambapo wamekuja mjini miaka ya hivi karibuni akina Eddo Kumwembe na wachambuzi wenzako wajinga wajinga ambapo elimu zao ni za kuunga kuunga wanachukulia poa kauli za wazee wetu na kuona hazina mashiko. Ukweli ni kuwa...
  10. S

    Diarra: Mechi yangu bora ni hii ya juzi

    Huwa naangalia mechi za Simba, nawajua, kwahiyo nilimuona anavyocheza na nilifahamu akipata mpira eneo lile atafanya nini, nilijua ataenda kushoto na sikuwa na presha. "Nilivyookoa sikuhama eneo nikasimama vile vile nilijua mpinzani atapiga nikaokoa tena" Mechi yangu bora ya Simba na Yanga...
  11. kavulata

    Simba wanaungua ugonjwa wa lose of insight, hawaponí

    Lose of insight ni ugonjwa ambao mgonjwa hajui kama anaumwa na hajui kama anaumwa nini, hivyo hatafuti matibabu bila watu wengine kumsaidia. Simba hawaamini kama Yanga ni Bora pamoja na kucheza finali ya CAF confederation, kucheza robo finali CAF champions, kutoka sare na Mamelods, kucheza na...
  12. de Gunner

    Derby ya Kariakoo isiamuliwe na Mtanzania tena

    Though league yetu bado iko nyuma sana katika aspect ya referees. Ila isiwe hadi kwenye Dabi... makosa yaleyale na hata hao referees tunaodhani hawawezi kukosea? Mechi ya juzi tumenyongwa wanasimba... tuichukulie Dabi serious, especially kama tunaamini ni ya 3 kwa bora africa. Vilabu vyetu ni...
  13. Tajiri Tanzanite

    Nimethibitisha juzi tarehe 19.10.2024 Yanga hana uwezo wa kumfunga Simba ila refa ndio anaweza kumfunga Simba

    Hapo vip!! Sina maneno mengi ila mpira umeonekana yanga alizidiwa kila kona na Simba. Na Simba tumeona amezulumiwa bao,nasema amezulumiwa kwasababu kama Kayoko anaweza kuruhusu mpira uliotoko nje kuchezwa na kuhalalisha goli,kwanini aliona lile bao la Simba ni Offside? Lingine kwa mujibu wa...
  14. Waufukweni

    Wazee wa Simba kuanika majina ya Mawaziri waliohujumu Dabi ya Kariakoo

    Kipigo cha bao 1-0 kwenye derby ya Kariakoo kimewaibua Wazee wa klabu ya Simba, ambao sasa wametoa siku saba kwa mawaziri ambao wanawashutuma kwa kile wanachodai kuwa ni hujuma dhidi ya klabu yao. Wazee hao wanadai kuwa baadhi ya viongozi wa Serikali, TFF, GSM na Yanga walihusika katika mpango...
  15. U

    Wazee wa Simba wagundua mbinu zilizo wahujumu mechi ya derby

    Wazee wa Simba wameitisha mkutano na waandishi wa habari na kulaani mambo mengi yaliyotokana na kipigo kutoka yanga. 1. TFF wanapokea maagizo kutoka Kwa mawaziri wakiongozwa na Mwigulu kuhakikisha Yanga wanafaulu Simba wanafeli. 2. Philip Mpango alisema SIKU YA YANGA DAY KUWA YANGA ATAKUWA...
  16. M

    Hivi Simba amewahi kumfunga Yanga mara nne mfululizo?

    Tupeni takwimu nani amewahi kufungwa na mtaani wake mara mfululizo , au Yanga Jana kavunja rekodi. Soma Pia: Simba kufungwa mara nne mfululizo siyo dili kama tunavyoaminishwa FT: Simba 0 - 1 Yanga | NBC Premier League | Benjamin Mkapa Stadium | Oktoba 19, 2024
  17. SAYVILLE

    Simba kufungwa mara nne mfululizo siyo dili kama tunavyoaminishwa

    Unajua sisi wasomi tunajua takwimu ni kitu unachoweza kukitumia kwa manufaa yako kulingana na angle uliyoamua kuitumia, wakati huo huo kumbe kwa angle nyingine kuna takwimu zinaweza kukuhukumu vibaya, kwa hiyo jambo la msingi ni kujifanya zile takwimu zinazokuhukumu hauzioni au kuzizingatia...
  18. Mkalukungone mwamba

    Matukio 4 bora dabi ya Kariakoo kati ya Simba SC dhidi ya Yanga SC

    Simba Sc imeendelea kunyanyasika mbele ya Wananchi Young Africans Sc baada ya kupoteza mechi nne mfululizo ya Derby Kariakoo kwenye michuano yote. Simba Sc dhidi ya Yanga Sc kwenye michezo minne iliyopita: Simba Sc 0-1 Yanga Sc (Ligi Kuu) Yanga Sc 1-0 Simba Sc (Ngao ya Jamii) Yanga Sc 2-1...
  19. Kidagaa kimemwozea

    Simba bado inamuhitaji John Bocco

    Simba baada ya kukurupuka na kumwachia nahodha wakutumainiwa John Bocco, imeendelea kuwa mnyonge kwa Yanga. Capten fantastic hawezi kukubali unyonge wa kufungwa na Yanga Mara kwa Mara. Hata Zile 5 angekuwepo tusinge fungwa 5. Hata hivyo Bocco mpaka Sasa ameshaingia kambani Goli mbili JKT...
  20. C

    Ni vema Simba washinde derby hii, lakini!

    Kwa maslahi mapana ya utani wa jadi, itapendeza Simba wakishinda. Kwa miaka mingi, watani hawa wamekuwa na matokeo yanayokaribiana, timu moja haikukubali kuwa mteja kwa awamu tatu kama ilivyo sasa. Ili kuendeleza utani wa kiwango kilichopo, ni vizuri Simba wapambane washinde ili kuwarejesha...
Back
Top Bottom