Dada wa kazi za nyumbani anahitajika, nyumba ipo Kinondoni studio Dar es Salaam.
Kuna dada mwingine yupo anahitajika mwingine wa kusaidiana naye.
Kazi za kawaida za nyumbani na malezi ya Watoto.
Kazi sio ya kuja na kuondoka ni ya Kuishi apo apo.
Mshahara utakuwa makubaliano baina ya pande...
Ni ijumaa ya mwisho ya mwezi huu wa tano, watumishi wa umma na sisi wa sekta binafsi sote tumejidamka zetu makazini kama kawa, si unajua tena… Mambo ya kuwajibika. Mambo yote yamekwenda sawa, ila tu kwa kutimiza wajibu wangu mwingine usio rasmi, nachelea kuwadokolea kidogo yaliyojiri. Ni stori...
Gwala kwa wana Jf wote, kwa wengine wote ninawapa salamu yangu ya heshima!
NB: Naomba kwanza niombe samahani kwa ambaye atakereka na mada tajwa, pia hii sio sehemu ya utafiti na hivyo haitakiwi kuchukulia hili jambo kwa ujumla.
Naomba rasmi nianze na uzi huu, kwa miaka ya hivi karibuni...
Anamlalamikia kama ilivyo kawaida ya wamama kulalamikia karibia kila kitu. ila mimi sijaona sababu ya msingi ya kumtimua lakini najua nikimwambia si ajabu akadhani nnamtaka huyu dada
Habari zenu wanaJF wenzangu,
Ki ukweli hili suala la bandari ilikuwa ni lazima litokee ili watanzania tuweze kuwajua maadui wetu wa taifa. Lakini pia ilikuwa ni lazima litokee ili tuweze kuwajua wale Chui na Simba, waliojivika ngozi ya Kondoo na Swala.
Watanzania wenye akili zetu timamu we...
Wakuu GT
Bila kupoteza muda naomba niende kwenye mada moja kwa moja.
Niliinunua CDya huyu dada mara ya mwisho kama miaka 10 iliyopita (ilikua 2013) kwa sababu nilivutiwa sana na nyimbo zake. Kwa bahati mbaya hiyo CD imevunjwa na watoto na sina copy nyingine.
Kwa yeyote anayemfahamu huyu dada...
Niende moja Kwa moja kwenye mada bila kuwachosha.
Ninaitaji msaada wa dawa ya kifua kubana hasa usiku na kutoa sauti kama ya filimbi kwa umbali na nikikohoa natoa kama kama vikamba kamba.
Tatizo hili limeanza ukubwani japo sina historia ya kusumbuliwa na kifua. Na tatizo hili hutokea nikivuta...
1. Wanaume sasa tunashindana kufanya twerking......yaani tunatwerk tu. Kama unabisha angalia videos nyingi za wanamuziki wa sasa. Kiufupi ni kuwa tunatamani kuwa wanawake kama alivyowahi kukiri Mpwayungu Village. Kwakuwa 'you are what you think' basi hali hii kwa kasi...
Kuna ofisi moja nimekuwa nikienda tangu siku nyingi kupata huduma, katika hiyo ofisi receptionists ni wanawake. Katika hao receptionists kuna mmoja kila akiona nikizungumza na mwenzake yeyote hapo kwenye desk lao la reception anaonesha ishara za kukasirika. Ingawa kila nikifika tu ofisini kwao...
Wakuu Habari, huu uzi ni wa kuwatia moyo kina Dada walioamua kuachana na wanaume malofa na kuamua kufuata ndoto zao.
Ipo hivi;
Nina Dada yangu nampenda sana, baada ya kumaliza masomo tukamsisitiza aendelee kupambana na masomo apate kaz nzur, kama wenzake.
Akakataa akasema anataka aanze na...
Wanabodi,
Kama kawaida yangu, kila nipatapo fursa, huja na makala zangu za "Kwa Maslahi ya Taifa" zenye swali, hoja, kisha majibu utatoa wewe msomaji mwenyewe.
Kuna msemo wa Kiswahili usemao "Mwenye Dada Hakosi Shemeji!". Hii IGA iliyoridhiwa na Bunge, ni barua tuu ya posa!, jee tuendelee...
Kwa muda Sasa toka nihamie kufanya kazi katika bank Moja hapa Kariakoo. Katika pitapita zangu nikakutana na Dada mmoja akanialika kwenye party ya vikoba ili niwashauri namna ya kuweka pesa na kupata mikopo.
Sasa nilifika kwenye party Ile nikakuta waume wanne na wasichana umri wa Kati kama 50...
Wakuu hamjamboni nyote?
Naomba kufahamu hiyo gari pichani ni aina gani na inagharimu kiasi gani ukiamua kuinunua kwa fedha za Kitanzania ikiwa mpya kabisa
Naomba pia kujua kiwango cha matumizi ya mafuts pet kilometa
Aksanteni niwatakie usiku mwema
Kuna umri unafika kwenda kwa ndugu iwe ni kwajili ya kumjulia hali unarudi kwako, umeenda mkoa wake kikazi kakuhost ukae kwake ukimaliza unarudi kwako, unaumwa kakupeleka kwake akuuguze ukipona tafta shughuli nenda kwako
Ndugu yako kashaanza maisha ya familia ni vema umpishe,
Haya ni mambo...
Wanaume huvutiwa na tabasamu la mwanamke na sio mavazi yake.
Hivyo hakikisha unalivaa tabasamu kama unahitaji kumvutia mwanaume yoyote umtakaye na sio kuvunja kabati, kazi bure.
Anapenda pesa kama Bank. Hazipiti week mbili anaomba pesa. Yeye zake anatanua sana maisha. Simu anabadilisha kila mara na vitu vya thamani. Kushindana na wenzie kuwa ana boyfriend tajiri. Mimi siyo tajiri. Nimekuwa tu fala nikidhani atathamini mapenzi yangu.
Now its too much. Aende zake kwa...
Dar es Salaam. Mkaguzi wa Polisi, Mahita Omari Mahita ameieleza Mahakama kuwa walifanikiwa kumtia mbaroni mshtakiwa wa pili, Revocatus Everist Muyella katika kesi ya mauaji ya Aneth Msuya, baada ya askari mmoja kumuomba lifti amkampeleka hadi kituo cha polisi.
Mahita alieleza mbinu hiyo jana...
Watu wengi wapo tayari kuanzia maisha na wenza wao Ila kuna mmoja bado anasuasua; ili kuwezesha kukutana Kwa watu ambao wapo tayari kuvutana muanze maisha muendele Kula mema ya nchi pamoja Kwa kuishi pamoja, kwani kuishi peke yako Kwa vijana kuna changamoto nyingi na wengi wetu hatupendi Ila...
Helloww
Naomba ushauri mume wa dada kaniambia nioe nikioa nikakae na mkeo nyumban kwake uko arista kuhusu kula kila kitu atashughulikia yeye je nioe au nikatae
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.