Habari za Leo Wanajf,
Katika pitapita yangu Leo jioni,Nimekuta mada ya watu wakibishana kuhusu swala la kukaa kwa hao ndugu!mmoja wa wachangiaji amedai anayekaa kwa dada anakuwa huru na Raha zaidi kuliko anayekaa kwa kaka aliyetoa!Hebu tupe maoni Yako mwanajf na sababu zako...
Mwishoni mwa miaka ya 90 kulitokea kesi ya mauaji huko Baraboo Wisconsin iliyomuhusu Peter Kupaza ambaye alituhumiwa kumuua kisha kumchuna ngozi mpwa wake Mwinvano Mwambashi na baadae kuutupa mwili huo katika mto.
Bahati mbaya sikuweza kupata hatma ya kesi hii baada ya mtuhumiwa kukata rufaa...
Sina mengi ya kusema, natoa ushauri tu kwa dada zangu hasa nyinyi mnaoishi kwenye miji mikubwa.
Dada, kama bae wako anajifanya mbahili, hakupi pesa, wewe pika uji asubuhi ukauze kazini kwake.
Usisahau kuja kunishukuru baadae.
Huyu dada anajini kali sana amepitia kila mahali halitoki tumechoka kumsaidia je nani anayeweza kumsaidia maana linamfungia kila kitu chake . Hata atakaje lipo tu.
Kumuomba Mungu . Kachoka . Kwa waganga amechoka mijusi minyoka mikila kitu anatumiwa .
Aisee.
Mnajua Mfike Mahali Mumuogope Mungu, hii ni Roho ya mtu asokuwa na hatia, ilopotewa, Kwa Kuchinjwa , Tena Kuchinjwa na kutenganishwa Kichwa na Kiwiliwili.
Maumivu aloyapata marehem, wakati Chombo chenye ncha Kali kikipita Shingoni mwake , pengine akirusha miguu na mikono, Chombo che ncha kali...
Aisee nimekamatika mpaka jana nikatoroka, na leo nimesingizia naumwa ili niwe nae nisiende ofisini. Mimi ni mchapakazi sana na mara ya nyingi ni wa mwisho kuondoka ofisi, lakini naona mapenzi yataenda kufanya kibarua chagu kiote nyasi
Mahusiano haya yenye mwezi sasa yanazidi kunibadilishia...
Kuna tukio limetokea kwenye familia yetu hivi karibuni (Februari hii 2024), baada ya kufikiria nikaona ni vema nishee na watu ili pengine inaweza kuwa sehemu ya kuiamsha Serikali na Jamii kwa jumla juu ya kinachoendelea baadhi ya maeneo nchini.
Dada yangu ni binamu hapa tumpe jina la “Bi Dada”...
Anonymous (31b6)
Thread
dadadada zetu
iangalie
makini
mawakala
serikali
uarabuni
Habari wadau.
Ukweli maisha ya kisasa sio rafiki kabisa kwa dada zangu ama wanawake wote.
Wanawake wana biological age tofauti na wanaume.
Dada zangu wanamaliza elimu mapema wakiwa ealy 20s tu wameshamaliza masomo. Hapo wapo hot. Sura nzuri. Mayai ya uzazi yapo vizuri ukigusa tu mimba...
1. Ni mbaguzi wa Wachezaji
2. Alimkataa Clement ( Warid ) Mzize asiichezee Taifa Stara kwakuwa tu alikataa awe Wakala wake
3. Ni Mtu wa Majungu, Mfitini na Muongo
4. Amechangia pakubwa kwa Mchezaji Simon Msuva kupata matatizo ya kutochezea Timu Kubwa nchini Algeria kutokana na kumkataa asiwe...
Yaani nyie Mkigombana tu na Sisi Wapenzi au Waume zenu Hasira zikiwapanda mnaanza kutuponda kuwa HATUNA JIPYA Kitandani.
Sasa tungekuwa kweli hatuna jipya mngekuwa mnatukatia Viuno vya bidii kama Feni za Ukutani na Darini za Phillips pale Mkuyenge ukiwa unazama na kuibuka kunako Mbunye...
Mimi ni Kijana wa kitanzania nipo chuo mwaka wa tatu hapa Chuo kikuu Cha Sar es Salaam.
Kutokana na tatizo la uhaba wa ajira nime develop wazo la biashara hili takapo maliza chakula;
Wazo langu nataka nifungue kampuni ya chakula yaani itakayo kuwa inajihusisha na usambaji wa chakula cha...
Kwema wakuu,
Huyu dada ni member wa jamiiforums, namkubali sana nimekuwa nikimtumia ujumbe pm lakini hajibu. Kusema kweli namuelewa sana nataka awe mama watoto ila hataki kujibu pm.
Nishamwambia kama ni suala la pesa asiwaze kabisa.
Nipeni mbinu nifanyaleje wakuu. Nataja jina lake baadae.
TAAZIA: NINAVYOMKUMBUKA DADA YANGU HAKI HANYA (MRS. HAKI KILOMONI)
Haki mimi ni dada yangu.
Napata akili namuona Haki na marehemu dada yangu Mengi mashoga, wote wanasoma chuo cha Shariff Abdulrahman Mtaa wa Sukuma na Mafia. Hii ni katikati 1950s tunaishi Mtaa wa Kiungani na Sikukuu.
Siku...
Kama kuna kitu cha kifedhuli ni kubomolewa n'nya kwa ahadi ya kuolewa.
Ni bora ubomolewe n'nya ukiwa unatambua kuwa unafanya ufuska, kuliko kulaghaiwa ati utaolewa.
Wanaume hawaridhiki wala kutosheka ngono, huwa wanatafuta majike yaliyoshindikana kwa ajili ya ngono na uchafu tu, halafu wakati...
Kila nikijaribu kuzama nashindwa kabisa, nimejaribu sana lakini nikifika karibu kuanza kuna kitu kinaniambia " acha uboya wewe".
Dada ukipata mwamba wa aina hiyo mfunge kabisa kamba.
ukweli mchungu changamoto za uzazi ni kubwa sana nowdays. sababu kuu mabinti wanachelewa kuolewa.
mwanamke wa miaka 30 mimba haipati kwa urahisi kama mwanamke wa miaka 25 ama mwanamke wa miaka 18
30 yrs is a prime for women mental maturity but not for carrying and birthing a human.
WAGANGA...
Dada unatembea na kitega uchumi, halafu unalalamika maisha magumu ? Unakwama wapi?
Ili kuyakabili maisha na kuwa na uchumi wa kati jirembe, jibebishe na uwe mtu wa kukaa maeneo ya mawindo.
Anyway. Kuna mwenzenu siku kama ya leo ametengeneza 1M. Asubuhi aliitwa na mshefa wakutane sehemu...
Naamini hunijui. Na mimi nakiri kuwa sikujui. Hatujuani! Lakini zamani wakati sijajiunga JF ulikuwa unaandika sana hasa kuhusu ushauri wa kimahusiano, malezi ya watoto, familia, mambo ya kiroho; na maisha kwa ujumla.
Mwaka 2018 au 2017 (sikumbuki vizuri), nilisoma comment yako moja hivi...
dada zangu nawaeshimu sana mnaofanya kazi za bar na piss kali haswa,
ila hii tabia ya kuniona nimeanza kupendeza na kuja kuniomba bia mnaniaribia bajeti na bora hatauagize bia ndiyo kwanza mnaagiza lii savana alfu tano mnaniaribia bajeti mbona kabla sijalewa mnanichora tu mpaka nilewe
muache...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.