Dada wa kazi anahitajika, eneo la kazi ni Dodoma. Majukumu ni kukaa na mtoto mmoja na kazi ndogo ndogo za nyumbani.
Posho yake ni 70,000/= kwa mwezi.
Awe anajitambua.
Tuwasiliane inbox 📥
Kuna sababu nyingi kwa nini msichana anaweza kupenda kujipiga picha na kuweka kwenye mitandao baada ya kufikisha miaka 27 bila kuolewa.
Moja ya sababu inaweza kuwa ni
😍njia ya kujisikia vizuri kuhusu yeye mwenyewe na kujiamini, au njia ya kuonyesha maisha yake kwa marafiki na familia.
Pia...
Kabla ya yote tukae kimya dakika moja kuwaombea wale wote ambao wake zao wanaendeleza mawasiliano na waliokuwa wapenzi wao (ma-ex). Wanapitia magumu kwa kujua au bila kujua. Wanastahili sala zetu.
Mimi nikiwa kijana mwenye uzoefu mkubwa na haya mambo ya mapenzi kwa huu ukanda chini ya jangwa la...
Ni bora kuzuia ili Taifa lisonge mbele, hii mikutano na miandamano ni baadhi ya viongozi wa siasa kutumia mwamvuli huo kukwiba hela za chama bila ya wanaoibiwa kujua. Kinachoendelea na pia kutumika siasa vibaya.
Mambo kama ulaya hakuna mikutano mpaka wakati wa uchaguzi.
Ndugu hawa damu, Kyle na Brianna wana-trend mitandaoni kwa kuchumbiana.
Wanapanga kuoana na kupata watoto pamoja huku Mama yao anaunga mkono uamuzi wao.
Hata hivyo, hawakujua kama wana undugu wa damu mwanzoni wakati wanaanzisha mahusiano.
Jambo hili limezua hasira mtandaoni huku watu wengi...
Tuiangalie dhana ya 50/50 katika nyanja ya uchumi kwenye mahusiano. Hapo zamani mwanamke akupewa access yoyote kiuchumi kuanzia ajira, elimu, kumiliki mali, uongozi n.k katika hali kama iyo ni sharti ahudumiwe na mwanaume. Mwanamke hana ajira, hana makazi, hana mali sasa ataishi vipi lazima...
jitahidi sana kujizuia kumsomesha mchumba wako. Zingatia apo kwenye uchumba. Nachelea kusisitiza kukushauri kijana wa kike na wakiume, usithubutu kufanya hiyo kitu. Madhara yake ni mzigo mzito sana kubebeka mambo yanapogeuka, japo kwa asilimia chini ya 1 inawezekana 🐒
kwa mchumba,
invest only...
Leo nilikua kwenye ktuo kimoja cha mabasi ya mikoani, nikiwa nikisubiri usafiri wa kunipeleka mkoa x; wakati nikisubiri gari, nilikaa kwenye kimeza kimoja karibu na mchoma mishikaki na chipsi, nikiwa napata pepsi huku tukibadilishana mawazo na baadhi ya abiria.
Ghafla akatokea dada mmoja ambaye...
Mama/Baba yako anakupenda tu kwa sababu wewe ni mwanae. Alikuzaa, umekuwa anakuona, mmekuwa na bond ya muda mrefu.
Kaka na dada zako wanakupenda tu kwasababu wewe ni ndugu yao. Mmezaliwa pamoja. Mmekua pamoja.
Lakini kuna huyu mwanaume. Mume wako. Ulishawahi kujiuliza kwanini anakupenda kiasi...
Mtoto wa kiume amekuwa akipitia changamoto nyingi tu katika jamii kama mtoto wa kike, ila unakuta wao kusema inakuwa vigumu kwa sababu wameaminishwa kuwa wao Kidume, Nguzo ya Familia, akilia anaambiwa jikaze mtoto wa kiume halii, akionesha kuumia anachekwa anaambiwa acha kulegea, mwisho siku...
" My majesty Mr. Queen Sir, horrible ministers and members of parliament, invented Guests, ladies under gentlemen. I hereby thank you completely… Mr. Queen, sir; and also what he has done for me and my fellow Uganda who come with me.
We have really eaten very much. And we are fed up...
Huyu demu ni mzuri na anaonekana very decent kwa nje. Msukuma wa Shinyanga. Mimi kiukweli niitegemea ngekaa kwake kwa utulivu but baadaye nikaja ona ana ujanja wa kishamba.
Mimi nlikutana naye JF miaka kadhaa ya nyuma. Tukawa friends, tukapeana namba za simu. One time akaniambia nimfuate Nzega...
Dada mmoja ambaye ni Shabiki wa Simba aitwae Semeni amesema kuwa amevunja ndoa yake baada ya kumbetia mume wake Dada wa kazi endapo Prisons ikiifunga Simba amchukue Dada wa kazi awe mke wake.
"Nilimbetia mume wangu kwa Dada wa kazi, nilipoona tumepata ushindi wa goli sita kwa bila kwa mechi...
Hi guys…
VIKOBA NI NINI? ni mfumo wa kuweka na kukopa kwa wanachama waliojiunga kwa pamoja na kuunda kikundi kwa malengo ya kujikwamua kiuchumi.
Ni na ni sahihi ya kua vikundi hivi vimekua na matokeo chanya kijamii, na familia kiujumla
Ila kwa bahati mbaya kwa mkosaji wa kipato kwa muhusika...
Dunia ina maajabu na hayajawahi kuisha maajabu hayo...kila unaposikia moja la kuajabisha jua kuna mambo elfu moja ya kuajabisha zaidi ya hilo lakini hujalijua..
Essie Dunbar.. mwanamke aliyekuwa na miaka 30 mwaka 1915 alikuwa anaugua ugonjwa kifafa (epilepsy attack).
Siku moja akadondoka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.