Yaani katika kitu huwa nashangaa yaani watu ambao wamebahatika kuwa na dada kuruhusu fukara amuoe dada yake yaani Mimi ningekua na dada fukara hawezi kumuoa yaani masikini akishaingia kwenye familia yetu ya Matajiri analeta mikosi aisee tafuteni hela nyie masikini sio mnakaakaa kizembe kizembe...
Ndugu wanajamvi, nimeingia uwanjani kuzungumza mada ikiwa, hawa madada zetu wa kileo wanavyo jiachilia kwenye mahusiano. Nazugumzia wadada walio kwenye macho yetu kila mara, yaani mtu anae onekana kwenye runinga, kwenye mitandao ya ki jamii, wengi ni 'ma celeb' , wanavyo jiita wengi haswa...
Wazee wa mahaba mpo?
Huwa sielewi ambavyo huwa kunakuwa na mjadala kuhusu dada wa kazi kufua nguo za baba mwenye nyumba au kupika chakula chake, yaani ishu ni nini?
Kama anafanya kazi nyingine ikiwemo kufua na kupikia wengine kama mna mtoto/watoto kwanini ni ishu zikifuliwa nguo za wenye...
Wakuu Habari zenu. Nina kisa hiki siwezi kisahau muda mwingine nikikumbuka nacheka. Kuna Manzi mmoja ofisini tulikuwa idara tofauti katika tasisi moja muhimu Dar es salaam
Basi nilivutiwa nae nikawa nampenda sana na nilijitahidi kila ambacho angekitaka Urahis kwake kazini nampambania, aliwahi...
Kila Kona nchini watu wamekuwa wakilalamikia Visa vinavyofanywa na Dada wa Kazi.
Visa hivyo hufanyiwa Watoto, na hata Ma Boss wenyewe waliowaajiri.
Wengine hufikia hatua ya kueleza kuwa pengine malezi yanasababisha visa hivyo kutokea.
Mfano wa Kisa kimoja huu hapa chini
Ni vita ambayo wao hudhani hatujui ipo lakini huwa tunajifanya washamba mambo yaende, kwa wanaume wengine huwa hawajui haya mambo wanaishia kuharibu.
Wanaume wengi wanavuta jiko pale mambo yanapoanza kukaa sawa panapokuwa na chanzo cha kipato, nguvu ya pesa inakuwepo unaanza kusaidia nyumbani...
Kwema wakuu,
Kuna huyu binti nimempata siku za karibuni tuna kama miezi miwili kwenye mahusioano na anasema ananipenda.
Shida inakuja hataki tufanye mapenzi anasema mpaka nitakapomuoa. Sasa ndugu zangu nashindwa kumuelewa, nifanyeje?!
Pia soma...
1. Kundi la Dada zetu (diaspora pori) wanapambana huko Arabuni.
2. Nilikua Dubai, Ile kuingia Tinder nakutana na mbongo ila nikajikausha kama sitoki Bongo.
3. Hela ngumu Sana aisee. Wacha wapambane.
NB: wengi Wanakwenda na viza za miezi mitatu ikiisha anakwenda Qatar au Oman kuzuga masaa tu...
Mariah Carey appears with her mother Patricia and daughter Monroe during a ceremony honoring her with a star on the Hollywood Walk of Fame in Los Angeles on Aug. 5, 2015.
Staa wa Muziki, Mariah Carey (55) amesema amepoteza watu wawili muhimu katika Maisha yake ambao ni mama yake mzazi...
Kuna Mwenzenu mmoja kafanywa vibaya ( narudia tena kusema kafanywa vibaya ) na Dophin ( Pomboo ) baada ya Kuthubutu kwenda Kuogolea Baharini huku akiwa katika Siku zake ( Hedhini ) na kakipata alichokipata. Video yake iko ina trend itafuteni kwani Kimaadili siwezi Kuiweka hapa.
Na wataalam wa...
Kama unajijua kuwa huwa unapandwa na pressure unapoona Sandakalawe basi huu uzi unakuhusu kwa asilimia 100.
FACT - Ewe Matonya! Usipende vya bure tambua kuwa wenzako hizo vocha wamezitafuta kwa jasho na kufanya kazi.
Note: Mjanja M1 kwasasa napatikana Shanghai nchini CHINA 🇨🇳
Nilipata mwaliko wa kwenda huko mkoani kwenye tukio la rafiki yangu mmoja, nikaona si vibaya nikaongozana na bibie.
Bibie akanipa bajeti yake kuanzia mavazi pamoja na vitu vidogo vidogo, ikabidi nimuwezeshe ili tu tutoke wote.
Siku ya tukio, tukawa tunakula pamoja na kupiga maji, tulipiga sana...
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu(LHRC) kimelaani hatua ya Jeshi la Polisi kuwashikilia baadhi ya Viongozi na Wafuasi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) na baadhi ya Waandishi wa Habari, baada ya Chama CHADEMA kupanga kufanya kongamano la maadhimisho ya siku ya Vijana Duniani...
Jamaa walitoa tahadhari mapema wakasema,mikong'oto heavy ni Kwa ajili ya Vibaka na Walanguzi walioshindikana hapa Barani Afrika,yeyote atakaye ingia kati wakati mikong'oto hiyo ikiendelea, atajikuta anapokea kichapo kisichokuwa na huruma kama Paka shume aliyekunya kwenye debe la Unga wa uwele...
Leo nimekuja kuangalia maendeleo ya binti yangu anayesoma katika huu mkoa wa Kilimanjaro, baada ya kutoka hapo imebidi niingie kiwanja kimoja hapa angalau kujiliwaza na kupunguza uchovu wa safari.
Imebidi niagize altar wine na maji, angalau iniliwaze kwa mazingira haya niliopo kwa sasa.
Kwa...
Kwa yaliyomkuta yule binti anayelia kuwa wanaume wote ni mbwa utamuonea huruma...
Nasikia mwamba alimpeleka lodge baada ya ile kazi binti usingizi ukampitia,kuamka jamaa kaishakimbia na simu na pesa za binti,binti akajikuta hana hata nauli na simu imekwenda.
Yaani unamtelekeza mtu na hela na...
Nimemwambia hivo dada mmoja jirani yangu nashangaa ananijibu eti "eeh kujenga nishindwe hadi kupendeza nishindwe" huku anajichekelea mwenyewe kwa furaha.
Nimeshindwa kuelewa perfume inamfanya vp mtu kupendeza?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.