Dada iko hivi, maisha ni magumu, kijana wa miaka 28 hana kazi au kapata kazi lakini ana ndugu zake kibao wanamtegemea. Kama akikupa hata elfu kumi ya saluni au nauli ya kurudia ridhika maana naye anatafuta.
Wewe unalalamika halafu unajilinganisha na wale rafiki zako ambao kila siku wanakula...
Wakuu tujadiliane hili kidogo
Hivi karibuni nilizama kwenye dimbwi la mapenzi na mrembo mmoja hivi mtaani kwetu, wakati penzi likiendelea kunoga kaka yake ambaye ni shimeji yangu alishtukia kuwa natoka na mdogo wake. Cha kusangaza alitafuta namba yangu na kunicheck na kunichimba mkwara mara...
Hivi umewahi kujiuliza mahali walipokimbilia wale dada poa (vipozeo) baada ya kudhibitiwa na mkuu wa wilaya ya Ubungo?
Wako wapi?
Ama wanafanya nini kwa wakati huu?
Walijiajiri ama kuajiriwa wapi?
Hii inastaajabisha sana! Hata Dinosours hawaku-perish kirahisi hivi kutoka kwenye uso wa dunia...
DADA HUYU YAMEMKUTA😂😂😂
Tukumbushie kidogo miaka ya nyuma. Mwanamke mmoja nchini nigeria alilalamika mtandaoni baaada ya kutembea zaidi ya km 250 kumfata mwanaume aliyekuwa anachart nae mtandaoni
Lakini alichoka baada ya kujua aliyemfata ni kijana mwenye umri wa miaka 15 😂😂😂
Asilimia 80 ya wakina dada wa migahawa mmekuwa ni wachafu sio tu mazingira hata usafi wa mwili badilikeni uwezi kumuhudumia mteja huku umejifunga kanga au kijora kichafu miguu imepauka
Ebu angalieni hizi uniform muone kama nigharama kuzinunua au ni nyinyi mmeamua kufanya kazi kimazoea
MKAKA: Mambo.?
MDADA:- Poa
MKAKA: Pandezipi?
MDADA:- Dodoma
MKAKA: Unasoma?
MDADA:- Ndio
MKAKA: Hakika nimeona picture zako vile umedamshi nimetokea kukupenda ghafla!
MDADA:- Una kazi gani?
MKAKA: Me Headmaster wa Igunga secondry school.
MDADA:- Wao upo sahihi kweli kunipenda mie na najisikia...
Nimeileta hii hapa ili kummpa heshima. She was the best fan.
Miaka ile ya kina Ngasa, kabla. Ya filters ktk cm.. 2011..2013..
Mimi binafsi nilimpenda na nikamfolow FB.
YUKO WAPI SASA, ANYONE p'se.
Dada angu kaolewa miaka karibia 10 Sasa , ana watoto watatu , wamejenga nyumba, na wanamiliki mashamba makubwa ambayo Yana mazao kila mwaka wanavuna.
Bwana ake (shemeji) mpaka Sasa hajamtolea mahali dada angu tumejaribu kufwatilia kama family bwana shemej anapiga Kona Kona nyingi sana , Hilo la...
Ni binti mrembo anampenda MUNGU na mwenye akili ila amezaa na Mume wa mtu ambaye mwanzoni wakati penzi limepamba moto Mwanaume alimuambia Mdada aache kazi atamuhudumia na mtoto ila penzi life kwakuwa hakuwa tayari kuzaa nae.
Muda umeenda Mdada kweli alikubali kuacha kazi. Mwanaume anamtimizia...
Nimei copy X
Leo nimeshuhudia fedheha.
Yaani leo ilikuwa birthday ya dem mmoja hivi karibu na hapa ofisini, sasa ana jamaa anayempenda kweli. Na Jamaa sijui machale yakamcheza kutaka kujua yupo peke yake kwa dem, so akamuandalia zawadi nyingi tu na nyingine akamtumia kupitia mtu mwingine...
Habari wakuu
Kuna dada mmoja nilisoma naye zamani, miaka mingi kidogo iliyopita. Katika mazingira ya shule tulikuwa tukionyeshana hisia kwa mbali ingawa mpaka tunamaliza hatujawahi kuwa wapenzi.
Baada ya kuhitimu kila mmoja aliendelea na maisha yake, yeye aliolewa na bwana x, aliyekuwa...
Kama wazazi wenu hawa muambii Ni vyema na haki mkaachana na biashara ya udangaji kwani ni hatari Kwa afya zenu na Kwa jamii pia.
Leo kwenye saa6 mchana mdada wawatu kidogo achinjwe.
IKO HIVI.....
Huyu dada alikuwa na bwanake permanent anaye muhudumia Kila kitu inshort ni nusu Mme wake...
Watoto wote wana haki sawa, maamuzi ya wazazi hayana uzito wa kuwabagua, Mali zipigwe pasu kwa pasu kwa watoto wote bila kujali ni wa ndani ya ndoa au nje.
Nimeshangazwa kusikia kinachoendelea huko Arusha kwamba mke wa marehemu bilionea YTemu anajitetea kwamba walifunga ndoa ya kikristo ya mke...
Kwa majonzi makubwa nachukua nafasi hii kuwatangazia ya kwamba dada mama na ndugu yetu mwanaJamiiForums mwenzetu dada niah ametwaliwa kutoka maisha haya..! Amefariki juzi tarehe 2 Dodoma General hospital alikokuwa akipatiwa matibabu
Msiba uko nyumbani kwake Dodoma na ndugu yetu Mwifwa yuko huko...
Salamu kwenu wakuu.
Jambo hili nimeona hapa ni mahali sahihi pa kupata solution ya kumaliza vizuri jambo la huyu dada.
Ipo hivi, leo kuna workmate mwenzangu na my best friend anafanyiwa send off huko kwao na huyu workmate mwenzangu ana rafiki aitwaye Clara wameshibana sana na huyu Clara ni...
Habarini,
Nlikuwa mahali kwenye sehemu wanapopatikana maafisa utamu, ndani ya Moja ya majiji makubwa yanayopatikana hapa nchini, nikizuga napata kilaji aloo, kwenye gesti wanazojiuza madada poa wanatoka watu wazima na vijana ambao kwa muonekano wa nje hawafananii kabisa, ukiwaangalia utasema ni...
Heshima yenu! Wanajamii Jf!
Ushauri kwa kijana wenu Nina miaka 24 tu na ndio nimemaliza Chuo miezi miwili Sasa!
Katika harakati za kuona nisikae kinyonge Daslamu niliamua kurudi nyumbani bwana! Geita
Basi dada yangu akawa amenipa 260000/=, nilimwambia nitafanya biashara ya kutembeza mayai...
Ww kama mwanamke mwenye akili timamu usiwahi kunyanyua mkono wako kumpiga mwanamke mwenzio au kumletea Fujo yoyote kisa anatembea na bwana ako...mwanamke anatongozwa..na Kwa madai ya kwamba alijipeleka mwenyew..swala linarudi pale pale kwamba huyo mwanaume na yeye alikubali ilhali anajua ana mke...
Hii tabia ya dada zetu wawapo chumbani usiku wakishikwa na haja ndogo unakuta wanajisaidia kwenye makopo Kisha asubuhi wanapishana kwenda chooni kumwaga kojo lao sio sawa na ni kero, leo ilibaki padogo nioge kojo baada ya dada mmoja kutaka kumwaga wakati mimi niko uko faraghani, kama mnahogopa...
Mnamo September 6 niliandika Uzi uliohusu Hali ya biashara yangu kukosa wateja, nilipokea maoni mbalimbali kwenye Uzi na PM pia (Nawashukuruni nyote kwa maoni yenu na ushauri )
Miongoni mwa PM nilizopokea ni za huyu dada (sitopenda kumtaja) dada huyu yupo Kigamboni
Alinifuata PM akanambia kama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.