Hiyo kichwa inahusika
Watoto wa kike wakiolewa kaka zao wanakuja kama ndgu wengine. Cha ajabu tena katika umri mkubwa 30s wanajiachia kama mazombie.
Hii kitu siielewi na nimeshuhudia vijana kwenye nyumb a kadhaa wakiwa very free na hawajali hata dada yao akitoa milio ya kupelekewa moto wanaona...
Huyu jamaa ni kweli tulimkabidhi dada yetu kifamilia, lakini baada ya miezi 6 kupita kuwasiliana adi tumpigie sisi, na sisi tumeamua hatutomtafuta akijisikia sawa tu,
Jengine bado hajamalizia mahari, kuhusu maisha wanaishi vizuri na dada yetu ila sina uhakika 100%.
Nyie vijana acheni dharau...
Yupo Dada anahitaji nafasi ya kazi za ndani .
Yupo Dar DSM
Kuhusu yeye
Ana age 18
Darasa la saba
Anatoka Mtwara vijijini
Dini yake Muslim.
Uzoefu kazini ni miaka miwili amelea mtoto alikuwa Zanzibar
Taarifa zake kuhusu boss wake wa zamani zipo pia
Familia yake ipo na unaweza wasiliana...
Hivi ndivyo ilivyo wakuu......
Shemeji zetu wanapo onyesha upendo hadharani Kwa dada zetu kuwanunulia zawadi kadhaa wa kadhaa . Dada zetu hufarahii sana na kusema haya mahaba (Upendo/Anapendwa)
Ni mara kadhaa tunaona mashemeji wakijenga ukweni. Familia nzima itamsifia sana huyo...
Katika pitapita zangu za Krismasi, nilijikuta huko Mbezi kwa ndugu nikiwa nasubiri sinia la pilau na nyama ya sungura. Mazungumzo ya hapa na pale yakazua skendo inayotikisa mtaa: Jamaa mmoja alimfukuza mkewe na watoto na kuanza kuishi na "kaka poa" (shoga).
Kwa maelezo ya wenyeji, huyo kaka poa...
Hii imetokea Desemba 24 kijijini Butiama ambapo Richard (Nyerere) Masanza mtoto wa dada yake Mwalimu Nyerere amefariki Dunia baada ya kuugua kwa muda mfupi.
Richard amesoma shule ya msingi hapa Dar es Salaam, Kurasini.
Alas,that is the only education he had.
Ni binamu yangu,mtoto wa shangazi...
Mdogo wa Martha Mwaipaja aanika mabaya ya dada yake akidai kuwa Martha Mwaipaja ana fedha nyingi sana lakini hamsaidii mama yake vilevile akidai kuwa amejitenga na ndugu zake
Tazama Video hizi kwa utulivu
Wakuu,
Vijana wa Tanga mna salamu zenu huko kutoka kwa RC wenu.
===========================================
Mkuu wa Mkoa wa Tanga Mhe Balozi Dkt Batilda Burian amesema Halmashauri ya Jiji la Tanga bado kuna Changamoto ya Vijana wenye Umri kati ya Miaka 15-35 ambao wanataka kulelewa na Mama...
Wakuu jana nilileta story kuhusu dada yetu aliyerudi nyumba baada ya kuacha utawa leo tulienda parokiani baada ya kuitwa na parokia na mama mkubwa wa shirika lao la usister aisee kumbe dada alianza vurugu kitambo sana za kutaka kuacha usister ila parokia walikuwa wanamsihi kwa sababu...
Tupo hapa nyumbani mikocheni familia mzima tupo na kikao na dada yetu tumeshangaa kwanini amerudi kutoka utawani na wakati yeye mwenyewe ndiyo alisema anataka kuwa Sister halafu na leo amaerudi mwenyewe anasema wito wa Kanisa Katoliki umemshinda anataka kuolewa
Daaah familia mzima tumepigwa na...
Dada kujulikana ukweni sio kuolewa. Kuongea na mtu masaa yote sio kuolewa. Kutolewa barua sio kuolewa.
Unaweza ukawa na mtu miaka na msioane, Lakini ukaja kutana na mtu ghafla tu akawa ndio rizki yako.
......usijimalize sana dadangu.
DADA ANGU KIPENZI NAKUKUMBUSHA TU
Dada angu mwema, naipenda furaha yako nami sisiti kukuhusia katika yale niyafahamuyo mimi ambayo ni mambo mema kwenye maisha yako
1. DADA ANGU mwema, mwanaume yeyote anayekupenda kwa dhati na anayekuwazia mema hawezi kukushawishi akulale kinyume cha maumbile...
1. WANAUME wenye miaka 20-27 wengi hawako serious na ndoa au mahusiano yenye kesho labda wale wa vijijini. Kijijini vijana wengi huoa kwasababu kama waongeze nguvu kazi ya familia, mahari mara nyingi zinatoka kwa wazazi sio zao (hawajazitesekea) lakini wanaume waliko mjini kwa 20-27 wengi ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.