Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Tukikubali ku normalize binadamu kupotea kama vile mtu unavyopoteza funguo au goroli, halafu kunakuwa hakuna outrage kwenye jamii, tutakuwa tunawapa ushindi mkubwa sana Samia na hao watu wake.
Hivi inawezekanaje kwa mtu aliyekuwa makamu wa Rais ajiuzulu hiyo nafasi yake halafu watu tunakuwa hatujui alipo?
Nchimbi alikuwa ni mtumishi wa umma na aliyelipwa mshahara wake na sisi walipa kodi.
Hivyo tuna haki ya kujua alipo tokea atangaze kujiuzulu.
Yaani sielewi kabisa.
Mimi tu hapa mbeba maboksi nikipotea hata kwa siku moja tu, kutatolewa APB [all points bulletin] karibu dunia nzima.
Wapendwa wangu hawatakaa kimya.
Sasa hapa najiuliza……EN yeye hana watoto? Hana siblings? Hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kusema alipo?
Hata kujitokeza tu anonymously na kutoa neno nako wameshindwa?
Hata kama hawajui alipo na hawajui ana hali gani, kusema hawajui nako wameshindwa kufanya?
Mke wake je? Au naye wamepotezwa pamoja naye?
Nchi ya ajabu sana hii.