mjingamimi
JF-Expert Member
- Aug 3, 2015
- 47,054
- 58,689
Kuna dalili sijui kama tutamuona tena .tumuombee
Chicken syndrome…..💯%.Huenda wana taarifa au wanawasiliana.
Ila kuhusu tabia ya kutokuuliza maswali hutokea iwapo jamii imeshakubali kuadhibiwa kinyume cha sheria."chicken syndrome"
Chicken syndrome is when a society is taught to accept unlawful punishment as normal, shifting blame from the act of punishment to the person punished
Huu ukimya sio Bure.Labda kuna kitu kapanga au anapanga, akisema mapema itakuwa premature.. Tumpe muda apumzike na apange draft upya. Si mtoto mdogo.. Anajua afanyacho.
Sasa nao mbona wamekaa kimya tu? An nao wametekwa?Ndugu anao, tena ni wengi tu....
Boss bado uko Marekani tuje kukuteka? Mafwele hapa.This shyt is weird AF!
Tukikubali ku normalize binadamu kupotea kama vile mtu unavyopoteza funguo au goroli, halafu kunakuwa hakuna outrage kwenye jamii, tutakuwa tunawapa ushindi mkubwa sana Samia na hao watu wake.
Hivi inawezekanaje kwa mtu aliyekuwa makamu haramu wa Rais ajiuzulu hiyo nafasi yake haramu halafu watu tunakuwa hatujui alipo?
Nchimbi alikuwa ni mtumishi [haramu] wa umma na aliyelipwa mshahara wake na sisi walipa kodi.
Hivyo tuna haki ya kujua alipo tokea atangaze kujiuzulu.
Yaani sielewi kabisa.
Mimi tu hapa mbeba maboksi nikipotea hata kwa siku moja tu, kutatolewa APB [all points bulletin] karibu dunia nzima.
Wapendwa wangu hawatakaa kimya.
Sasa hapa najiuliza……EN yeye hana watoto? Hana siblings? Hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kusema alipo?
Hata kujitokeza tu anonymously na kutoa neno nako wameshindwa?
Hata kama hawajui alipo na hawajui ana hali gani, nako wameshindwa kufanya?
Mke wake je? Au naye wamepotezwa pamoja naye?
Nchi ya ajabu sana hii.
HURUMA SIO MALEZi 🔥🔥Ndugu zake na watoto wake wapo,Tena walikua wanachekelea kweli kweli wakati waTanzania wakilalamikia utekaji na mauaji yanayofanywa na serikali ya ndugu Yao..
Kuimba kupokezana, wachawi wakimaliza kula nyama za watesi wao , hugeukiana wao kwa wao.Sina huruma na CCM yeyote.Angekua mwema angekataa kushika hiyo nafasi ya umakamu after what happened oct 29, 2025.
Huruma siyo malezi..Huko aliko Acha wamnyabagule vilivyo
Mafwele qumamamako 🖕😂Boss bado uko Marekani tuje kukuteka? Mafwele hapa.
✔️We are fake human beings
Hawakuwahi kuwa nae karibu sana kisiasa, ni aina ya familia/ukoo usiofatulia sana mambo ya wao wenyewe....Sasa nao mbona wamekaa kimya tu? An nao wametekwa?
Sawa, lakini suala la yupo hai na ni mzima wa afya wala si suala la kisiasa.Hawakuwahi kuwa nae karibu sana kisiasa, ni aina ya familia/ukoo usiofatulia sana mambo ya wao wenyewe....
Niko na Polepole na Nchimbi hapa tunapiga story za hapa na pale.Mafwele qumamamako 🖕😂
Abduli ndio alimzuia..Huu ukimya sio Bure.
Majaliwa siku anataka kwenda kuchukua fomu za kugombea ubunge walimzuia nyumbani Kwake akatii akawa mpole ndo pona yake
MKo mahali kila kitu kinaweza kufanyika lkn akili na uwezo wa kufikiri ni km bado mko manzese..mmeshindwa kusaidia nchi kwa vitu vdg kbs, kitu gani mnaweza kufanya nyinyi ukiacha kupiga domo na kulalamika..Sawa, lakini suala la yupo hai na ni mzima wa afya wala si suala la kisiasa.
Sema nini!CCM ilipofikia ..kuangamiza familia ni simpo tu..
Wewe umefanya nini?MKo mahali kila kitu kinaweza kufanyika lkn akili na uwezo wa kufikiri ni km bado mko manzese..mmeshindwa kusaidia nchi kwa vitu vdg kbs, kitu gani mnaweza kufanya nyinyi ukiacha kupiga domo na kulalamika..
Na Msako kwake badounaendelea sana tu kwa kila mbinu..Sema nini!
CCM wasipomuwahi Raisi wao, Hakuna rangi wataacha kuiona mpaka wale wanaodhani wana-control (Genge).
Hii ndio Tanzania mpya ya sa100. Watu kupotea, kutekwa au kufichwa sio ishu tena.