Hivi Nchimbi hana watoto, kaka, dada, mabinamu, na ndugu wengine wa karibu?

Mimi nasubiri akishajiuzulu. Yaani tarehe 04 naisubiri kwa hamu.

Naamini yupo Salama, ndugu, Marafiki, kanisani kwao wangeshafunguka, Ndugu wanajua alipo.. Naamini kimya kingi kina mshindo
Unajua kumvua uanachama maana yake ni kwamba hatakiwi hata kukabidhi ofisi!???
Maana yake hiyo tarehe 4 Sept, hataonekana.
 
Sawa, lakini si anaweza tu kusema kuwa kwa sasa yupo salama na kwamba ataongea zaidi hapo baadaye…
Au mmoja wa watu wake aseme maneno hayo. Inatosha.

Lakini Kimya tu?

Hata kama ni yeye kaamua kufanya hivyo, atakuwa bwege kwelikweli.
 
Unajua kumvua uanachama maana yake ni kwamba hatakiwi hata kukabidhi ofisi!???
Maana yake hiyo tarehe 4 Sept, hataonekana.
Umetoa kabambe.
Na kwamba hata chama hakina sababu yoyote ya kumzungumzia mtu ambaye siyo mwanachama wake.

Huko serikalini watasema alijiuzuru vyeo vyote mwenyewe; serikali haina lolote la kusema juu yake.

Natamani tungekuwa na waandishi wa habari ndani ya taifa hili, hii ndyo habari ambayo ingeweza hata kumpa mwandishi tuzo ya kimataifa.
 
This shyt is weird AF!

Tukikubali ku normalize binadamu kupotea kama vile mtu unavyopoteza funguo au goroli, halafu kunakuwa hakuna outrage kwenye jamii, tutakuwa tunawapa ushindi mkubwa sana Samia na hao watu wake.

Hivi inawezekanaje kwa mtu aliyekuwa makamu haramu wa Rais ajiuzulu hiyo nafasi yake haramu halafu watu tunakuwa hatujui alipo?

Nchimbi alikuwa ni mtumishi [haramu] wa umma na aliyelipwa mshahara wake na sisi walipa kodi.

Hivyo tuna haki ya kujua alipo tokea atangaze kujiuzulu.

Yaani sielewi kabisa.

Mimi tu hapa mbeba maboksi nikipotea hata kwa siku moja tu, kutatolewa APB [all points bulletin] karibu dunia nzima.

Wapendwa wangu hawatakaa kimya.

Sasa hapa najiuliza……EN yeye hana watoto? Hana siblings? Hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kusema alipo?

Hata kujitokeza tu anonymously na kutoa neno nako wameshindwa?

Hata kama hawajui alipo na hawajui ana hali gani, nako wameshindwa kufanya?

Mke wake je? Au naye wamepotezwa pamoja naye?

Nchi ya ajabu sana hii.
Hii ngozi nyeusi ina watu wa hovyo sana. Imagine hata ndugu zake wamegeuka kuwa machawa, wanasikilizia watu wengine ndio wampigie kelele ndugu yao.
 
Acha kiherehere wewe. Kwani wewe ndiye mke wake? Wewe ni mtoto wake? Au wewe ni Mke Mwenza ? Nani kakuambia kuwa kapotea? Nani kakuambia kuwa anatafutwa na ndugu zake na mke wake na watoto wake?

Embu basi jitokeze hadharani useme unamtafuta na kwamba umekwenda kwake hujamkuta na una shida naye fulani
Lucas unaf*irwa, uchawa wako kwa mnuka punani huyo unadhihirisha ujuha wako.
Mtu ambaye wamekuwa wakiwasiliana regularly Mzee JS Warioba ameshasema openly kuwa Ima boy hajulikani alipo na namba zake zote hazipatikani, wanaosali naye wamesema openly kuwa Sunday hakuonekana kanisani jambo ambalo si kawaida yake ukozingatia after all the fracas involving him waumini wenzake na wanajumuiya wenzake wana hamu kubwa ya kumuona na kumu-encourage ya kuwa the shit that has happened doesn't mean that it's the end of the world.
Kiharamu kabisa alikuwa amekalia kiti cha VP kama ambavyo huyo mwenye hippopotamus kinuka K yuko kiharamu kwenye helm lakini kibinadamu wengi wanataka kujua kama yuko salama au la simply because he was a public figure(kiharamu though).
 
This shyt is weird AF!

Tukikubali ku normalize binadamu kupotea kama vile mtu unavyopoteza funguo au goroli, halafu kunakuwa hakuna outrage kwenye jamii, tutakuwa tunawapa ushindi mkubwa sana Samia na hao watu wake.

Hivi inawezekanaje kwa mtu aliyekuwa makamu haramu wa Rais ajiuzulu hiyo nafasi yake haramu halafu watu tunakuwa hatujui alipo?

Nchimbi alikuwa ni mtumishi [haramu] wa umma na aliyelipwa mshahara wake na sisi walipa kodi.

Hivyo tuna haki ya kujua alipo tokea atangaze kujiuzulu.

Yaani sielewi kabisa.

Mimi tu hapa mbeba maboksi nikipotea hata kwa siku moja tu, kutatolewa APB [all points bulletin] karibu dunia nzima.

Wapendwa wangu hawatakaa kimya.

Sasa hapa najiuliza……EN yeye hana watoto? Hana siblings? Hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kusema alipo?

Hata kujitokeza tu anonymously na kutoa neno nako wameshindwa?

Hata kama hawajui alipo na hawajui ana hali gani, nako wameshindwa kufanya?

Mke wake je? Au naye wamepotezwa pamoja naye?

Nchi ya ajabu sana hii.
nchi kwa sasa inatawaliwa na majini/mapepo. Tukemee haya masheitwani waziwazi. Tukiyabembeleza masheitwani tumepigwa
 
Acha kiherehere wewe. Kwani wewe ndiye mke wake? Wewe ni mtoto wake? Au wewe ni Mke Mwenza ? Nani kakuambia kuwa kapotea? Nani kakuambia kuwa anatafutwa na ndugu zake na mke wake na watoto wake?

Embu basi jitokeze hadharani useme unamtafuta na kwamba umekwenda kwake hujamkuta na una shida naye fulani
Huu ndio ufyatu wenyewe.
 
This shyt is weird AF!

Tukikubali ku normalize binadamu kupotea kama vile mtu unavyopoteza funguo au goroli, halafu kunakuwa hakuna outrage kwenye jamii, tutakuwa tunawapa ushindi mkubwa sana Samia na hao watu wake.

Hivi inawezekanaje kwa mtu aliyekuwa makamu haramu wa Rais ajiuzulu hiyo nafasi yake haramu halafu watu tunakuwa hatujui alipo?

Nchimbi alikuwa ni mtumishi [haramu] wa umma na aliyelipwa mshahara wake na sisi walipa kodi.

Hivyo tuna haki ya kujua alipo tokea atangaze kujiuzulu.

Yaani sielewi kabisa.

Mimi tu hapa mbeba maboksi nikipotea hata kwa siku moja tu, kutatolewa APB [all points bulletin] karibu dunia nzima.

Wapendwa wangu hawatakaa kimya.

Sasa hapa najiuliza……EN yeye hana watoto? Hana siblings? Hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kusema alipo?

Hata kujitokeza tu anonymously na kutoa neno nako wameshindwa?

Hata kama hawajui alipo na hawajui ana hali gani, kusema hawajui nako wameshindwa kufanya?

Mke wake je? Au naye wamepotezwa pamoja naye?

Nchi ya ajabu sana hii.
Ukiona watu wake wa karibu (baba, mama, Kaka, dada, mke, watoto na marafiki) wako kimya basi jua wanajua yupo wapi na hawana shida. Wewe kiherehere chako maana hata yeye alisema anastaafu Utumiahi na Siasa. Unataka aropokeropoke kama Mzee Warioba wakati kustaafu?
 
This shyt is weird AF!

Tukikubali ku normalize binadamu kupotea kama vile mtu unavyopoteza funguo au goroli, halafu kunakuwa hakuna outrage kwenye jamii, tutakuwa tunawapa ushindi mkubwa sana Samia na hao watu wake.

Hivi inawezekanaje kwa mtu aliyekuwa makamu haramu wa Rais ajiuzulu hiyo nafasi yake haramu halafu watu tunakuwa hatujui alipo?

Nchimbi alikuwa ni mtumishi [haramu] wa umma na aliyelipwa mshahara wake na sisi walipa kodi.

Hivyo tuna haki ya kujua alipo tokea atangaze kujiuzulu.

Yaani sielewi kabisa.

Mimi tu hapa mbeba maboksi nikipotea hata kwa siku moja tu, kutatolewa APB [all points bulletin] karibu dunia nzima.

Wapendwa wangu hawatakaa kimya.

Sasa hapa najiuliza……EN yeye hana watoto? Hana siblings? Hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kusema alipo?

Hata kujitokeza tu anonymously na kutoa neno nako wameshindwa?

Hata kama hawajui alipo na hawajui ana hali gani, kusema hawajui nako wameshindwa kufanya?

Mke wake je? Au naye wamepotezwa pamoja naye?

Nchi ya ajabu sana hii.
Emmanuel Nchimbi mdogo wake (John) ni mbunge wa Nyasa - CCM.

Not too long ago alilalamika kudukuliwa simu yake.
 
Hii ngozi nyeusi ina watu wa hovyo sana. Imagine hata ndugu zake wamegeuka kuwa machawa, wanasikilizia watu wengine ndio wampigie kelele ndugu yao.

Mmetumwa nanani kumpigia Mikelele
Mtu mweusi nikweli sisi weusi majanga makubwa

Makamu rais yupo Salama

Bado wanataka kujua yupo wapi lengo nini ‼️

Kati yenu wapo wazuri kwake lkn pia wapo wabaya wanalengo baya kwake wapo tayali hata kumuuwa pale alipo ili kuchochea Wananchi wajue ni Serikali ndio imemuuwa

Kwaiyo kimya chake ni kujilinda Usalama wake
Kipindi ichi sio rafiki huwezi kujua nani mzuri nani
Yupo na wachochezi kama kina Mange nk.

Wachochezi wanatafuta kila fursa watuashie MOTO 💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥

So kama wewe ni mwema kwa ndugu Emanuel Nchimbi basi jua uyo mwamba yupo Salama yupo Tanzania

Ajawai kuota ndoto ya kukimbia Tanzania au kufia nje ya Tanzania kama wale Vimama uko kwa Wazungu👈

lkn hawezi kujichanganya Kipindi ichi kigumu kwake kiusalama
Wachochezi ndio Mwiba kwake sio Serikali ❌️

Ukimya wake ni sehemu ya kujilinda Kipindi ichi kigumu kwake .

Mwenyewe anajua Wachochezi wanatamani zaidi kusikia Kafa 👈

sio kusikia yupo hai ❌️

Kwasasa chenye muhimu tahadhari kwa Usalama wake✍️
 
Kigumu kwangu kuamini ni kuwa Abdul ndiye mkuu wa usalama wa taifa. Inawezekanaje?
Ili kujua ni yeye au siyo yeye nenda kwa Museveni Uganda kujifunze.

Siasa za kijima za kutekana zinasambaa ukanda wa Africa ya kati, mashariki na kusini.

Zambia baada ya uchaguzi upinzani ulioilalamikia Tanzania kuwaingilia Kiongozi wa upinzani kawekwa ndani kwa uhaini, baada ya huyo Msabato feki Hichilema kutangazwa mshindi na kuapishwa.
 
Wamepanga kuua ukoo wake wote

Pole tu tunajua kwasasa kichwani kumejaa stress kibao ‼️

kujua Chadema hakina ruzuku hakina Mbunge yoyote wakuokoa Meli Baharani 👈

na ndio kwanza asubuhi hii 👈

miaka mbele 4 👈

sitashangaa wewe kuhamia lau ACT au CCM kabisa👈

njaa y tumbo aina rafiki au adui wa Kudumu ✍️
 
Acha kiherehere wewe. Kwani wewe ndiye mke wake? Wewe ni mtoto wake? Au wewe ni Mke Mwenza ? Nani kakuambia kuwa kapotea? Nani kakuambia kuwa anatafutwa na ndugu zake na mke wake na watoto wake?

Embu basi jitokeze hadharani useme unamtafuta na kwamba umekwenda kwake hujamkuta na una shida naye fulani
Uzuri CCM hua haina rafiki walikuwepo vihere here zaidi yako sasa hivi wana hali ngumu ni swala la muda tu na wewe utaingia humo
 
K
Sawa, lakini si anaweza tu kusema kuwa kwa sasa yupo salama na kwamba ataongea zaidi hapo baadaye…
Wa ile barua yake, inaonekana hataki kabisaa kujihusisha na yanayoendelea.." raia mwema...."
 
Ili kujua ni yeye au siyo yeye nenda kwa Museveni Uganda kujifunze.

Siasa za kijima za kutekana zinasambaa ukanda wa Africa ya kati, mashariki na kusini.

Zambia baada ya uchaguzi upinzani ulioilalamikia Tanzania kuwaingilia Kiongozi wa upinzani kawekwa ndani kwa uhaini, baada ya huyo Msabato feki Hichilema kutangazwa mshindi na kuapishwa.

Chama Tawala chama kombozi pale Zambia kilizikwa tangu 1991 kutokea apo ni Wapinzani ndio watawala wa Zambia

Sasa tujuilize Wapinzani wamefanya nini la maana kiuchumi kidemokrasia pale Zambia
Wametawala zaidi ya miaka 30×

Kenya napo chama cha KANU kilizikwa miaka mingi nyuma

Leo pale Kenya kuna Demokrasia yoyote ‼️‼️

Uchumi je ‼️

Kenya uchaguzi bado lkn wapo kwenye mikutano ya kawaida lkn tayali juzi kati watu wawili wameuwawa na wengine wengi Wamejeruiwa vibaya na Mapanga
Chaguzi Kenya ni Vita kabisa kwanzia ngazi ya majimbo‼️

Na ndio wamefanya tayali Mabadiriko ya KATIBA na Sheria za Uchaguzi ‼️‼️‼️

Africa Demokrasia ya vyama vingi ni koti kubwa kwetu hatukupaswa kubebeshwa au kujibebesha✍️
 
Chama Tawala chama kombozi pale Zambia kilizikwa tangu 1991 kutokea apo ni Wapinzani ndio watawala wa Zambia

Sasa tujuilize Wapinzani wamefanya nini la maana kiuchumi kidemokrasia pale Zambia
Wametawala zaidi ya miaka 30×

Kenya napo chama cha KANU kilizikwa miaka mingi nyuma

Leo pale Kenya kuna Demokrasia yoyote ‼️‼️

Uchumi je ‼️

Kenya uchaguzi bado lkn wapo kwenye mikutano ya kawaida lkn tayali juzi kati watu wawili wameuwawa na wengine wengi Wamejeruiwa vibaya na Mapanga
Chaguzi Kenya ni Vita kabisa kwanzia kazi ya majimbo‼️

Na ndio wamefanya tayali Mabadiriko ya KATIBA na Sheria za Uchaguzi ‼️‼️‼️

Africa Demokrasia ya vyama vingi ni koti kubwa kwetu hatupashwa kukubebeshwa au kujibebesha✍️
Huwa nasema ngozi nyeusi bado MUNGU anamtengeneza akili, anaiumba ikae sawa, hata ukimuita mtu mweusi kichaa, taahira bado hujamtukana, ndivyo alivyo.

Watu weupe MUNGU amekamilisha kuiumba akili yao.

Chochote cha mtu mweusi ni kituko, kuanzia ujenzi wa barabara, miradi, maendeleo, tabia, demokrasia, ugunduzi, elimu nk.
 
Screenshot_20260831-072134.jpg

Wengine wakisema, teuzi zinaweza kuwa undone. Wamejifunza kwa ndugu yao
 
Ivi ni kweli wapo wenye akili wanategemea
Mh Lissu akiwa Rais Tanzania itapata Maendeleo
yoyote ‼️

zaidi uyo Lissu atapambana na Watesi wake muda wake utaishia kwenye migogoro tu👈

Ndivyo Watu weusi walivo popote wapo ivyo

Mh Lissu kapigwa risasi lkn hajafa
Si ndio ipo ivyo👈

Lkn ushawai kujiuliza kama Lissu angekufa ile siku
Ilikuwa ni uponyaji wa kitaifa
Yumkin Watesi wake walikuwa na maono ya mbali zaidi kuliponya Taifa

Sasa hakufa ile siku Je Taifa limepata Faida au hasara jiulize upya‼️

Leo yule yule Mh Lissu ndio chanzo cha KUFA WATANZANIA 500+

Kama tungejua ya mbele‼️

Kwenye Vitabu vya Dini kuna maandiko ya kufanana na uwepo wa kiumbe mwenzetu mwenye Mfanano na Mh Lissu

Wenye kujua maandiko mtatusaidia
Kuna kisa nakumbuka ya Mtoto kuuwawa kipindi cha NABII MMOJA
uyo NABII ikamuuma sana
Lkn baadae akaja kuteguliwa kile kitendawili kuwa uyo MTOTO angekuwa mkubwa angemsumbua sana Mamake Mzazi na jamii kwa Ujumla wake👈

Nasema aya kwangu Mh Lissu ata ikiwa Mahakamani ikumuona hana Hatia lkn kwangu kwa kile kafanya waziwazi na tunajua niyeye kafanya na clip tunazo
Niwazi yeye ni mwenye Hatia mbele za Mungu

Kama sio yeye kukiendesha chama kwa matakwa yake
Chadema wasingesusia Uchaguzi

Lkn pia tunajua sote kwa pamoja Kama bado angekuwa mwenyekiti ni Mzee mbowe
Napo tunajua WATANZANIA wenzetu 500+ wangekuwa hai
Mana Mzee mbowe hasingegomea Uchaguzi

Uwepo wa Lissu kama kiongozi mkuu Chadema ni chanzo cha
maafa yale

Huu ni ukweli mchungu kuzungumzika lkn ndio ukweli wa kweli mimi nitasema kweli

Kupingana na maelezo yangu kugumu👈

mana unaepinga huwezi kusimama kwa HOJA yoyote zaidi ya Ushabiki matusi nk.

Huwezi kuwa na HOJA
Mnafungwa kujitetea na ukweli huu

1)
Rais Dk Samia Suluhu Hassan
Sisi yeye katunga Sheria mnazogomea leo

2)
Sio kwasababu ni yeye yule ata ingekuwa ni niwewe unaesoma hii Msg ujumbe wangu👈

Husingefanya ujinga ule ❌️

ilikuwa analazimishwa kufanya jambo gumu kwa yoyote yule 👈

na Wapinzani pamoja taasisi za Dini nk,
Sasa ukweli
Huwezi kufanya Mabadiriko ya KATIBA au Sheria za Uchaguzi wakati wewe mwenyewe ni Mgombea wa Uchaguzi usika 🤔🤔

Manake wanaofanyaga Mageuzi ya Sheria zozote za Uchaguzi ni wale Viongozi kikatiba hawagombei tena✅️

Uwezi kukata tawi la Mti nawewe bado upo Juu yake!!

Angeshindwa Uchaguzi angechekwa na
Dunia yote ✍️
 
Umesahau Magufuli mpaka anakufa mke na watoto wake hsta walikuwa hawajui Yuko wapi?
Hata Nchimbi most likely familia yake hawana mawasiliano naye tena.
 
Back
Top Bottom