Wote hao wamepigwa pin,yule bibi ni jini mtoa rohoThis shyt is weird AF!
Tukikubali ku normalize binadamu kupotea kama vile mtu unavyopoteza funguo au goroli, halafu kunakuwa hakuna outrage kwenye jamii, tutakuwa tunawapa ushindi mkubwa sana Samia na hao watu wake.
Hivi inawezekanaje kwa mtu aliyekuwa makamu haramu wa Rais ajiuzulu hiyo nafasi yake haramu halafu watu tunakuwa hatujui alipo?
Nchimbi alikuwa ni mtumishi [haramu] wa umma na aliyelipwa mshahara wake na sisi walipa kodi.
Hivyo tuna haki ya kujua alipo tokea atangaze kujiuzulu.
Yaani sielewi kabisa.
Mimi tu hapa mbeba maboksi nikipotea hata kwa siku moja tu, kutatolewa APB [all points bulletin] karibu dunia nzima.
Wapendwa wangu hawatakaa kimya.
Sasa hapa najiuliza……EN yeye hana watoto? Hana siblings? Hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kusema alipo?
Hata kujitokeza tu anonymously na kutoa neno nako wameshindwa?
Hata kama hawajui alipo na hawajui ana hali gani, nako wameshindwa kufanya?
Mke wake je? Au naye wamepotezwa pamoja naye?
Nchi ya ajabu sana hii.
Si ndio itakuwa hivyo kuanzia Tarehe 4?Wanapaswa kufunguka sasa.
Sawa, lakini si anaweza tu kusema kuwa kwa sasa yupo salama na kwamba ataongea zaidi hapo baadaye…Labda kuna kitu kapanga au anapanga, akisema mapema itakuwa premature.. Tumpe muda apumzike na apange draft upya. Si mtoto mdogo.. Anajua afanyacho.
Na Watanganyika wanamwangalia tu….Mzanzibari ameiteka Tanganyika, anafanya atakacho kwa yeyote muda wowote.
We ni mavi ya popo shoga kumammakoAcha kiherehere wewe. Kwani wewe ndiye mke wake? Wewe ni mtoto wake? Au wewe ni Mke Mwenza ? Nani kakuambia kuwa kapotea? Nani kakuambia kuwa anatafutwa na ndugu zake na mke wake na watoto wake?
Embu basi jitokeze hadharani useme unamtafuta na kwamba umekwenda kwake hujamkuta na una shida naye fulani
Atakuwepo, ila kaamua tu kukaa kimya.This shyt is weird AF!
Tukikubali ku normalize binadamu kupotea kama vile mtu unavyopoteza funguo au goroli, halafu kunakuwa hakuna outrage kwenye jamii, tutakuwa tunawapa ushindi mkubwa sana Samia na hao watu wake.
Hivi inawezekanaje kwa mtu aliyekuwa makamu haramu wa Rais ajiuzulu hiyo nafasi yake haramu halafu watu tunakuwa hatujui alipo?
Nchimbi alikuwa ni mtumishi [haramu] wa umma na aliyelipwa mshahara wake na sisi walipa kodi.
Hivyo tuna haki ya kujua alipo tokea atangaze kujiuzulu.
Yaani sielewi kabisa.
Mimi tu hapa mbeba maboksi nikipotea hata kwa siku moja tu, kutatolewa APB [all points bulletin] karibu dunia nzima.
Wapendwa wangu hawatakaa kimya.
Sasa hapa najiuliza……EN yeye hana watoto? Hana siblings? Hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kusema alipo?
Hata kujitokeza tu anonymously na kutoa neno nako wameshindwa?
Hata kama hawajui alipo na hawajui ana hali gani, nako wameshindwa kufanya?
Mke wake je? Au naye wamepotezwa pamoja naye?
Nchi ya ajabu sana hii.
CCM ilipofikia ..kuangamiza familia ni simpo tu..This shyt is weird AF!

We zuzu ujapewa nafasi hadi leo?Acha kiherehere wewe. Kwani wewe ndiye mke wake? Wewe ni mtoto wake? Au wewe ni Mke Mwenza ? Nani kakuambia kuwa kapotea? Nani kakuambia kuwa anatafutwa na ndugu zake na mke wake na watoto wake?
Embu basi jitokeze hadharani useme unamtafuta na kwamba umekwenda kwake hujamkuta na una shida naye fulani
Mombo ni mzenji..acheni kujizima data, watanganyika wenzenu ndio wapumbavu.Mzanzibari ameiteka Tanganyika, anafanya atakacho kwa yeyote muda wowote.
Ccm oyeeeeAcha kiherehere wewe. Kwani wewe ndiye mke wake? Wewe ni mtoto wake? Au wewe ni Mke Mwenza ? Nani kakuambia kuwa kapotea? Nani kakuambia kuwa anatafutwa na ndugu zake na mke wake na watoto wake?
Embu basi jitokeze hadharani useme unamtafuta na kwamba umekwenda kwake hujamkuta na una shida naye fulani
Hakuna cha kupigwa pin, wao wenyewe watanganyika ndio wapangaji na watekelezaji wa utekaji na mauaji halafu wanajificha kwa kivuli cha abduli..ana nini huyo mtoto hapo alipo ni shoga hiyo akili ya ubazazi anaipata wapi?Wote hao wamepigwa pin,yule bibi ni jini mtoa roho
Hakuna hicho kitu..wnamdemonize abduli ili kumis-direct attention ya wajinga km wewe kufikiri fikiri km hiv ulivyosema kwa jambo ambalo haliwezekani.Kigumu kwangu kuamini ni kuwa Abdul ndiye mkuu wa usalama wa taifa. Inawezekanaje?
Ndugu anao, tena ni wengi tu....This shyt is weird AF!
Tukikubali ku normalize binadamu kupotea kama vile mtu unavyopoteza funguo au goroli, halafu kunakuwa hakuna outrage kwenye jamii, tutakuwa tunawapa ushindi mkubwa sana Samia na hao watu wake.
Hivi inawezekanaje kwa mtu aliyekuwa makamu haramu wa Rais ajiuzulu hiyo nafasi yake haramu halafu watu tunakuwa hatujui alipo?
Nchimbi alikuwa ni mtumishi [haramu] wa umma na aliyelipwa mshahara wake na sisi walipa kodi.
Hivyo tuna haki ya kujua alipo tokea atangaze kujiuzulu.
Yaani sielewi kabisa.
Mimi tu hapa mbeba maboksi nikipotea hata kwa siku moja tu, kutatolewa APB [all points bulletin] karibu dunia nzima.
Wapendwa wangu hawatakaa kimya.
Sasa hapa najiuliza……EN yeye hana watoto? Hana siblings? Hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kusema alipo?
Hata kujitokeza tu anonymously na kutoa neno nako wameshindwa?
Hata kama hawajui alipo na hawajui ana hali gani, nako wameshindwa kufanya?
Mke wake je? Au naye wamepotezwa pamoja naye?
Nchi ya ajabu sana hii.
Huenda wana taarifa au wanawasiliana.This shyt is weird AF!