Hivi Nchimbi hana watoto, kaka, dada, mabinamu, na ndugu wengine wa karibu?

Ivi ni kweli wapo wenye akili wanategemea
Mh Lissu akiwa Rais Tanzania itapata Maendeleo
yoyote ‼️

zaidi uyo Lissu atapambana na Watesi wake muda wake utaishia kwenye migogoro tu👈

Ndivyo Watu weusi walivo popote wapo ivyo

Mh Lissu kapigwa risasi lkn hajafa
Si ndio ipo ivyo👈

Lkn ushawai kujiuliza kama Lissu angekufa ile siku
Ilikuwa ni uponyaji wa kitaifa
Yumkin Watesi wake walikuwa na maono ya mbali zaidi kuliponya Taifa

Sasa hakufa ile siku Je Taifa limepata Faida au hasara jiulize upya‼️

Leo yule yule Mh Lissu ndio chanzo cha KUFA WATANZANIA 500+

Kama tungejua ya mbele‼️

Kwenye Vitabu vya Dini kuna maandiko ya kufanana na uwepo wa kiumbe mwenzetu mwenye Mfanano na Mh Lissu

Wenye kujua maandiko mtatusaidia
Kuna kisa nakumbuka ya Mtoto kuuwawa kipindi cha NABII MMOJA
uyo NABII ikamuuma sana
Lkn baadae akaja kuteguliwa kile kitendawili kuwa uyo MTOTO angekuwa mkubwa angemsumbua sana Mamake Mzazi na jamii kwa Ujumla wake👈

Nasema aya kwangu Mh Lissu ata ikiwa Mahakamani ikumuona hana Hatia lkn kwangu kwa kile kafanya waziwazi na tunajua niyeye kafanya na clip tunazo
Niwazi yeye ni mwenye Hatia mbele za Mungu

Kama sio yeye kukiendesha chama kwa matakwa yake
Chadema wasingesusia Uchaguzi

Lkn pia tunajua sote kwa pamoja Kama bado angekuwa mwenyekiti ni Mzee mbowe
Napo tunajua WATANZANIA wenzetu 500+ wangekuwa hai
Mana Mzee mbowe hasingegomea Uchaguzi

Uwepo wa Lissu kama kiongozi mkuu Chadema ni chanzo cha
maafa yale

Huu ni ukweli mchungu kuzungumzika lkn ndio ukweli wa kweli mimi nitasema kweli

Kupingana na maelezo yangu kugumu👈

mana unaepinga huwezi kusimama kwa HOJA yoyote zaidi ya Ushabiki matusi nk.

Huwezi kuwa na HOJA
Mnafungwa kujitetea na ukweli huu

1)
Rais Dk Samia Suluhu Hassan
Sisi yeye katunga Sheria mnazogomea leo

2)
Sio kwasababu ni yeye yule ata ingekuwa ni niwewe unaesoma hii Msg ujumbe wangu👈

Husingefanya ujinga ule ❌️

ilikuwa analazimishwa kufanya jambo gumu kwa yoyote yule 👈

na Wapinzani pamoja taasisi za Dini nk,
Sasa ukweli
Huwezi kufanya Mabadiriko ya KATIBA au Sheria za Uchaguzi wakati wewe mwenyewe ni Mgombea wa Uchaguzi usika 🤔🤔

Manake wanaofanyaga Mageuzi ya Sheria zozote za Uchaguzi ni wale Viongozi kikatiba hawagombei tena✅️

Uwezi kukata tawi la Mti nawewe bado upo Juu yake!!

Angeshindwa Uchaguzi angechekwa na
Dunia yote ✍️
Wewe ni Mtu evil kabisa. Upumbavu wenu unawafanya muwe na roho mbaya kabisa.
 
Mmetumwa nanani kumpigia Mikelele
Mtu mweusi nikweli sisi weusi majanga makubwa

Makamu rais yupo Salama

Bado wanataka kujua yupo wapi lengo nini ‼️

Kati yenu wapo wazuri kwake lkn pia wapo wabaya wanalengo baya kwake wapo tayali hata kumuuwa pale alipo ili kuchochea Wananchi wajue ni Serikali ndio imemuuwa

Kwaiyo kimya chake ni kujilinda Usalama wake
Kipindi ichi sio rafiki huwezi kujua nani mzuri nani
Yupo na wachochezi kama kina Mange nk.

Wachochezi wanatafuta kila fursa watuashie MOTO 💥💥💥💥💥💥💥💥💥💥

So kama wewe ni mwema kwa ndugu Emanuel Nchimbi basi jua uyo mwamba yupo Salama yupo Tanzania

Ajawai kuota ndoto ya kukimbia Tanzania au kufia nje ya Tanzania kama wale Vimama uko kwa Wazungu👈

lkn hawezi kujichanganya Kipindi ichi kigumu kwake kiusalama
Wachochezi ndio Mwiba kwake sio Serikali ❌️

Ukimya wake ni sehemu ya kujilinda Kipindi ichi kigumu kwake .

Mwenyewe anajua Wachochezi wanatamani zaidi kusikia Kafa 👈

sio kusikia yupo hai ❌️

Kwasasa chenye muhimu tahadhari kwa Usalama wake✍️
Let's assume anajilinda kama alivyojilinda Polepole, you're so damn fool.
 
Ivi ni kweli wapo wenye akili wanategemea
Mh Lissu akiwa Rais Tanzania itapata Maendeleo
yoyote ‼️

zaidi uyo Lissu atapambana na Watesi wake muda wake utaishia kwenye migogoro tu👈

Ndivyo Watu weusi walivo popote wapo ivyo

Mh Lissu kapigwa risasi lkn hajafa
Si ndio ipo ivyo👈

Lkn ushawai kujiuliza kama Lissu angekufa ile siku
Ilikuwa ni uponyaji wa kitaifa
Yumkin Watesi wake walikuwa na maono ya mbali zaidi kuliponya Taifa

Sasa hakufa ile siku Je Taifa limepata Faida au hasara jiulize upya‼️

Leo yule yule Mh Lissu ndio chanzo cha KUFA WATANZANIA 500+

Kama tungejua ya mbele‼️

Kwenye Vitabu vya Dini kuna maandiko ya kufanana na uwepo wa kiumbe mwenzetu mwenye Mfanano na Mh Lissu

Wenye kujua maandiko mtatusaidia
Kuna kisa nakumbuka ya Mtoto kuuwawa kipindi cha NABII MMOJA
uyo NABII ikamuuma sana
Lkn baadae akaja kuteguliwa kile kitendawili kuwa uyo MTOTO angekuwa mkubwa angemsumbua sana Mamake Mzazi na jamii kwa Ujumla wake👈

Nasema aya kwangu Mh Lissu ata ikiwa Mahakamani ikumuona hana Hatia lkn kwangu kwa kile kafanya waziwazi na tunajua niyeye kafanya na clip tunazo
Niwazi yeye ni mwenye Hatia mbele za Mungu

Kama sio yeye kukiendesha chama kwa matakwa yake
Chadema wasingesusia Uchaguzi

Lkn pia tunajua sote kwa pamoja Kama bado angekuwa mwenyekiti ni Mzee mbowe
Napo tunajua WATANZANIA wenzetu 500+ wangekuwa hai
Mana Mzee mbowe hasingegomea Uchaguzi

Uwepo wa Lissu kama kiongozi mkuu Chadema ni chanzo cha
maafa yale

Huu ni ukweli mchungu kuzungumzika lkn ndio ukweli wa kweli mimi nitasema kweli

Kupingana na maelezo yangu kugumu👈

mana unaepinga huwezi kusimama kwa HOJA yoyote zaidi ya Ushabiki matusi nk.

Huwezi kuwa na HOJA
Mnafungwa kujitetea na ukweli huu

1)
Rais Dk Samia Suluhu Hassan
Sisi yeye katunga Sheria mnazogomea leo

2)
Sio kwasababu ni yeye yule ata ingekuwa ni niwewe unaesoma hii Msg ujumbe wangu👈

Husingefanya ujinga ule ❌️

ilikuwa analazimishwa kufanya jambo gumu kwa yoyote yule 👈

na Wapinzani pamoja taasisi za Dini nk,
Sasa ukweli
Huwezi kufanya Mabadiriko ya KATIBA au Sheria za Uchaguzi wakati wewe mwenyewe ni Mgombea wa Uchaguzi usika 🤔🤔

Manake wanaofanyaga Mageuzi ya Sheria zozote za Uchaguzi ni wale Viongozi kikatiba hawagombei tena✅️

Uwezi kukata tawi la Mti nawewe bado upo Juu yake!!

Angeshindwa Uchaguzi angechekwa na
Dunia yote ✍️
Unasema Lissu atakuwa busy kupambana na watesi wake does it mean kufanya current 'illegal' rulers kuwa accountable kwa makosa yao hakupaswi kufanyika?
Lissu ni chanzo cha lufa Watanganyika Oct,29th-2025 are you insane? Lissu ndiye aliamuru polisi watumie risasi za moto kuwalenga watoto wetu risasi za vichwa? Lissu ndiye aliamuru uchaguzi unajisiwe kwa forgeries za kumpa ushindi Samia? Lissu ndiye alizima internet? Lissu ndiye alipanga Samia akaapishiwe kwenye military barracks kwa jambo ambalo huwa ni national and public ceremony? Na aliyawezesha yote hayo whilst behind the bars? He be possessing supernatural powers then.
Lissu kuongoza CHADEMA ni matakwa ya chama chao unless ukituambia hajapata madaraka kihalali kama ilivyo kwa Samia.
Ni kweli Samia hajatunga sheria zilizopo lakini pamoja na uozo wa current laws bado hizohizo anazivunja, mass killings(massacre/human cleansing/genocide), kidnappings, kuficha maiti za Watanganyika na kinajisi utu wa Watanganyika haviko ndani ya katiba lakini Samia anavifanya.
Kama unaona ni sawa alivyoua Watanganyika kwa kuogopa kuwa angeshindwa uchaguzi angechekwa na dunia hapo umethibitisha mambo mawili, la kwanza ni kwamba pamoja na 'kushinda' kwa 98% ina maana katika uchaguzi halali(free, fair and transparent) angeshindwa na pili ni kuwa roho chafu aliyonayo Samia na wewe uko nayo hiyohiyo
 
Tukikubali ku normalize binadamu kupotea kama vile mtu unavyopoteza funguo au goroli, halafu kunakuwa hakuna outrage kwenye jamii, tutakuwa tunawapa ushindi mkubwa sana Samia na hao watu wake.

Hivi inawezekanaje kwa mtu aliyekuwa makamu wa Rais ajiuzulu hiyo nafasi yake halafu watu tunakuwa hatujui alipo?

Nchimbi alikuwa ni mtumishi wa umma na aliyelipwa mshahara wake na sisi walipa kodi.

Hivyo tuna haki ya kujua alipo tokea atangaze kujiuzulu.

Yaani sielewi kabisa.

Mimi tu hapa mbeba maboksi nikipotea hata kwa siku moja tu, kutatolewa APB [all points bulletin] karibu dunia nzima.

Wapendwa wangu hawatakaa kimya.

Sasa hapa najiuliza……EN yeye hana watoto? Hana siblings? Hana ndugu, jamaa, na marafiki ambao wanaweza kusema alipo?

Hata kujitokeza tu anonymously na kutoa neno nako wameshindwa?

Hata kama hawajui alipo na hawajui ana hali gani, kusema hawajui nako wameshindwa kufanya?

Mke wake je? Au naye wamepotezwa pamoja naye?

Nchi ya ajabu sana hii.
Nchimbi ana ndugu na wanaposition serikalini kuna mdogo wake anaitwa JOHN NCHIMBI google utawaona
 
Ivi ni kweli wapo wenye akili wanategemea
Mh Lissu akiwa Rais Tanzania itapata Maendeleo
yoyote ‼️

zaidi uyo Lissu atapambana na Watesi wake muda wake utaishia kwenye migogoro tu👈

Ndivyo Watu weusi walivo popote wapo ivyo

Mh Lissu kapigwa risasi lkn hajafa
Si ndio ipo ivyo👈

Lkn ushawai kujiuliza kama Lissu angekufa ile siku
Ilikuwa ni uponyaji wa kitaifa
Yumkin Watesi wake walikuwa na maono ya mbali zaidi kuliponya Taifa

Sasa hakufa ile siku Je Taifa limepata Faida au hasara jiulize upya‼️

Leo yule yule Mh Lissu ndio chanzo cha KUFA WATANZANIA 500+

Kama tungejua ya mbele‼️

Kwenye Vitabu vya Dini kuna maandiko ya kufanana na uwepo wa kiumbe mwenzetu mwenye Mfanano na Mh Lissu

Wenye kujua maandiko mtatusaidia
Kuna kisa nakumbuka ya Mtoto kuuwawa kipindi cha NABII MMOJA
uyo NABII ikamuuma sana
Lkn baadae akaja kuteguliwa kile kitendawili kuwa uyo MTOTO angekuwa mkubwa angemsumbua sana Mamake Mzazi na jamii kwa Ujumla wake👈

Nasema aya kwangu Mh Lissu ata ikiwa Mahakamani ikumuona hana Hatia lkn kwangu kwa kile kafanya waziwazi na tunajua niyeye kafanya na clip tunazo
Niwazi yeye ni mwenye Hatia mbele za Mungu

Kama sio yeye kukiendesha chama kwa matakwa yake
Chadema wasingesusia Uchaguzi

Lkn pia tunajua sote kwa pamoja Kama bado angekuwa mwenyekiti ni Mzee mbowe
Napo tunajua WATANZANIA wenzetu 500+ wangekuwa hai
Mana Mzee mbowe hasingegomea Uchaguzi

Uwepo wa Lissu kama kiongozi mkuu Chadema ni chanzo cha
maafa yale

Huu ni ukweli mchungu kuzungumzika lkn ndio ukweli wa kweli mimi nitasema kweli

Kupingana na maelezo yangu kugumu👈

mana unaepinga huwezi kusimama kwa HOJA yoyote zaidi ya Ushabiki matusi nk.

Huwezi kuwa na HOJA
Mnafungwa kujitetea na ukweli huu

1)
Rais Dk Samia Suluhu Hassan
Sisi yeye katunga Sheria mnazogomea leo

2)
Sio kwasababu ni yeye yule ata ingekuwa ni niwewe unaesoma hii Msg ujumbe wangu👈

Husingefanya ujinga ule ❌️

ilikuwa analazimishwa kufanya jambo gumu kwa yoyote yule 👈

na Wapinzani pamoja taasisi za Dini nk,
Sasa ukweli
Huwezi kufanya Mabadiriko ya KATIBA au Sheria za Uchaguzi wakati wewe mwenyewe ni Mgombea wa Uchaguzi usika 🤔🤔

Manake wanaofanyaga Mageuzi ya Sheria zozote za Uchaguzi ni wale Viongozi kikatiba hawagombei tena✅️

Uwezi kukata tawi la Mti nawewe bado upo Juu yake!!

Angeshindwa Uchaguzi angechekwa na
Dunia yote ✍️
Sijui hata ukirudia kusoma utaelewa ulichokiandika, Lissu alikamatwa miezi kabla ya uchafuzi wenu.

Wiki 2 kabla mkamkamata na Heche na secretariat yote. Mkajipigia kura wenyewe.

Mkipanga kuuwa mtauwa kila mtu kama vichaa. Mnataka kila mnayekutana naye awakenulie meno na kunyenyekea kinafiki.

Ukiharisha ukaambiwa una kinyesi badala ya kutafuta maji uoge unatafuta bunduki unauwa na bado unaendelea kunuka.
 
Back
Top Bottom