Je, Mama , Dada na Binti kuanika Chupi Hadharani kwachangia vijana kujichua?

Jaji Mfawidhi

JF-Expert Member
Joined
Feb 20, 2016
Posts
17,434
Reaction score
27,177
Siku hizi imekuwa kawaida mama kuanika chupi zake nyumbani na kuagiza mtoto wake wa kiume aka anue.
imekuwa tabia ya kawaida wauza chupi na bikini au "vikamba-ngono" kuvalisha kwenye midoli na kuweka hadharani chupi na kuonyesha hasa sehemu ya mbele ya mwili.

Wanaume wakiona hupata picha ambayo inakwenda kwenye ubongo na kupa akhshi na hivyo kwenda kujichua ama kwenye gari ama choo cha umma au hata nyumbani .

kuna ushahidi wa moja kwa moja unaothibitisha kwamba kuona chupi iliyoning'inizwa kwenye kamba au dukani husababisha wanaume kwa ujumla kujichua.

Hata hivyo, ni kweli kwamba watu hutofautiana katika kile kinachoweza kuwachochea kingono. Baadhi ya watu wanaweza kupata msisimko kutokana na vitu fulani, ikiwemo nguo za ndani (hii inaweza kuhusiana na kile kinachoitwa fetish ya nguo za ndani), wakati wengine hawapati msisimko wowote.

Msisimko wa kingono na uamuzi wa kujichua hutegemea mambo mengi, kama vile hisia za mtu, mawazo yake, mazingira, na mapendeleo yake binafsi. Kuona chupi peke yake hakumaanishi kwamba mtu atajichua.

Ombi, ewe muuza chupi , usisababishe wati kujipigia puli na kukosa nguvu za kiume huko baadae.​
 
Kwahiyo unapigia punnets chupi ya mama yako?

Dah.
 
Kwa hiyo mtu timamu aone chupi ya mama yake akajichue?dah kuna watu mnaendekeza sana libeneke
Sio vyema kwa mzazi kuweka hovyo nguo zake za ndani ila hili la jamaa la kupigia punnets chupi ya Mama, Dada na ndugu zake inasikitisha sana.
 
Siku hizi imekuwa kawaida mama kuanika chupi zake nyumbani na kuagiza mtoto wake wa kiume aka anue.
imekuwa tabia ya kawaida wauza chupi na bikini au "vikamba-ngono" kuvalisha kwenye midoli na kuweka hadharani chupi na kuonyesha hasa sehemu ya mbele ya mwili.

Wanaume wakiona hupata picha ambayo inakwenda kwenye ubongo na kupa akhshi na hivyo kwenda kujichua ama kwenye gari ama choo cha umma au hata nyumbani .

kuna ushahidi wa moja kwa moja unaothibitisha kwamba kuona chupi iliyoning'inizwa kwenye kamba au dukani husababisha wanaume kwa ujumla kujichua.

Hata hivyo, ni kweli kwamba watu hutofautiana katika kile kinachoweza kuwachochea kingono. Baadhi ya watu wanaweza kupata msisimko kutokana na vitu fulani, ikiwemo nguo za ndani (hii inaweza kuhusiana na kile kinachoitwa fetish ya nguo za ndani), wakati wengine hawapati msisimko wowote.

Msisimko wa kingono na uamuzi wa kujichua hutegemea mambo mengi, kama vile hisia za mtu, mawazo yake, mazingira, na mapendeleo yake binafsi. Kuona chupi peke yake hakumaanishi kwamba mtu atajichua.

Ombi, ewe muuza chupi , usisababishe wati kujipigia puli na kukosa nguvu za kiume huko baadae.​
hapana,
si kweli,

kujichua kunatokana na mpiga nyetro mwenyewe kushindwa kudhibiti vichocheo vya homoni mwilini vinavyosababisha na kuamsha hisia za kingono,

miguno ya kingono, video au picha za kingono humshawishi kijana alielemewa na vichocheo vya kingono mwilini kupiga nyetro mara kwa mara, sina hakika ikiwa pichu pia huchochea kijamii kushindwa kudhibiti hisia zake za kingono akaishia kupiga nyetro.

hata hivyo ni utovu wa kimaadili kuanika pichu iliyofuliwa kambani nje ya majumba tuishipo 🐒
 
Vichocheo vinakuaj kwa kuona .
 
Vichocheo vinakuaj kwa kuona .
kula vizuri, kunywa vizuri, kulala vizuri hujaza wazungu wa kutosha mwilini, ambao wakikulemea,
ukiskia miguno ya mnyanduano au kuona video au picha za faragha unaweza kujikuta nyetroni 🐒
 
Yes, lakini pia , Unatoka na bolt nyumbani, unafika ofinini unapana lify ya ofisi, unaagiza chips yai, usiku unacheza tv game!
 
Ukiwa una afya njema na unakula vizuri, kichupa kikijaa kitaitaji kumwaga, kama huna pa kumwagia, ndio wengine uchukua sheria mkononi; kwa hiyo, kuhusu kuanikwa nguo za ndani nje haziwezi kuwa kisababishi kikuu.​
 
Back
Top Bottom