Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 51,453
- 41,274
Gentleman,Yes, lakini pia , Unatoka na bolt nyumbani, unafika ofinini unapana lify ya ofisi, unaagiza chips yai, usiku unacheza tv game!
unaelewa malalamiko mengi ya wamama kwenye majumba yao dhidi ya performance mbovu sana za waume zao ni kwasababu,
Unakuta mbaba anaacha pesa ya chai, chakula cha mchana na usiku nyumbani. Na vyote hivyo anakula mumama na watoto wake nyumbani.
huyo mubaba akiwa huko kwenye mihangaiko,
yeye anakula mihogo ya buku asubuhi, mchana anapitisha deshi, na usiku nyumbani akifika amechoka na chakula cha hapo nyumbani anagusagusa tu na kupitiliza kitandani kulala.
Ikifika wakati muafaka wa game,
mumama aliekula vizuri asubuhi, mchana na jioni, vichocheo vya kingono viko high, yuko tayari kunyanduana, huku mubaba alieshindia mihogo na kazi ngumu, vichocheo vya mwili kingono viko low.
Kwa hali hiyo,
baada ya muda,
ndoa haijavunjika hapo?
halafu huyo mubaba hata akiona mbususu iko wazi hawez shituka coz hamna kazi kwasababu ya lishe duni kazi ngumu 🐒