Picha ya dada aliyeiba mtoto Chanika sasa yawekwa wazi, atakayemuona atoe taarifa

Joined
Jul 15, 2026
Posts
64
Reaction score
187
Unamkumbuka huyu mtoto? Aliibiwa katika hospitali ya NguvuKazi huko Chanika tarehe 06/07/2026. Mama yake alimuomba dada mmoja aliyevaa kama daktari/Muuguzi amsaidie kumshika ili aingie msalani. Alipotoka hakumuona na alipotoa taarifa kwa uongozi wa hospitali walisema hawamtambui.

Baada ya takribani wiki mbili hatimaye uongozi wa Hospitali hiyo umetoa picha ya CCTV iliyomnasa dada huyo kabla hajaiba mtoto (Swipe left). Kama unamfahamu dada huyo au ikiwa utamuona mahali popote piga simu 0713456236 / 0627634894 au toa taarifa kituo chochote cha Polisi kilichopo karibu nawe.!

FB_IMG_1784807629818.jpg
 
Kubwa kbs asimfanyie ubaya wowote huyo mtoto!!
 
Back
Top Bottom