Picha ya dada aliyeiba mtoto Chanika sasa yawekwa wazi, atakayemuona atoe taarifa

Picha ya dada aliyeiba mtoto Chanika sasa yawekwa wazi, atakayemuona atoe taarifa

waweke dau waone
Hata bila dau huyo atapatikana tu...
Anakaaje na mtoto siyo wake siku zote hizo...

Mtoto mwenyewe mdogo, amemuiba,haijulikana alikuwa na nia gani na huyo mtoto kama yupo hai au lah...anawaumiza wazazi wa mtoto tu😭
 
Hivi walio karibu nae wanaruhusuje mtu asie na mtoto kumuona yupo na mtoto?

Asambaze mitandao yote ya kijamii naamini itasaidia.
 
Ilikuwaaje mpaka akataka kwenda chooni na muhusika yupo site? Hapakua na mtu mwingine? Mpaka anatoka chooni muda wote ule huyo dada alotoka anakimbia? ushirikina unamchango, nimedhani tu
 
Hakuna dau lolote nianze mtafuta mikoa yote hapa visiwani na bara?
 
Back
Top Bottom