Picha ya dada aliyeiba mtoto Chanika sasa yawekwa wazi, atakayemuona atoe taarifa

Makafiri wakishaona ushungi kichwani huwa wanakimbilia kusema mtu ni kobaz bila kuzingatia mavazi mengine
Ndio ile ukimuona mtu kavaa kanzu na barakashia, akaingia kibanda cha nyama ya mdudu pendwa, watu wanashangaa wakijua jamaa ni kobazi, yaani vazi limepewa ukobazi😄
 
Kwa mujibu wa makafiri ukivaa tu baraghashia basi wewe ni mjukuu wa Muhammad
 
Ndio ile ukimuona mtu kavaa kanzu na barakashia, akaingia kibanda cha nyama ya mdudu pendwa, watu wanashangaa wakijua jamaa ni kobazi, yaani vazi limepewa ukobazi😄
Kuna jamaa yangu ana asili ya urabuni( chotara )ila ni mchristo tukienda banda la kiti moto kula mdudu watu wanashangaa na wengine wanasonya
 
Back
Top Bottom