Dada yangu kipenzi Rais Samia, bila kuwa sawa na CHADEMA utaendelea kutawala kwa tabu mno

Li ngunda ngali

JF-Expert Member
Joined
Jun 22, 2023
Posts
731
Reaction score
2,707
Huenda nisieleweke, lakini ujumbe wangu wa wazi kwa dada yangu Rais Samia, kwa maslahi ya amani ya moyo wake akiwa Mtawala ni muhimu azungumze na Chadema na waelewane

Pamoja na kwamba dada Samia ni Rais lakini haiondoi ukweli kwamba papo pahali Chadema hawatendewi haki

Binafsi, kwa nia njema kabisa na kwa unyenyekevu, Rais Samia angeuacha upande unaomfitinisha na Chadema kwa maslahi yao binafsi na ausikilize upande wenye nia njema ya maridhiano ya dhati

Huwezi eti uridhiane na NLD na ukawaweka kando kwa mapuuzo Chadema na ukatawala ukiwa na amani ya moyo-haiwezekani!

Ni wazi, CCM bado ni wakubwa kwa Chadema, japokuwa ki bongo bongo Chadema ni wa pili. Wazingatiwe kwa maslahi mapana ya Nchi

Wasalaam!
 
Samia hawezi kuwa na dada wa hovyo km wewe. Hao mambwa ndiyo waliopanga, kuhamasisha, kuratibu, kufadhili na kutekeleza mauaji ya watanzania, wizi, uharibifu wa mali.
Samia hawezi kukaa siti moja na hao wauaji. Anasubiri ripoti ya tume ya uchunguzi hao mambwa ni kuwakamata wote wajibu mashitaka yote hayo!
 
Huyu alisemaga yeye ni chura Kixiwi
 
Samia hawezi kuwa na dada wa hovyo km wewe. Hao mambwa ndiyo waliopanga, kuhamasisha, kuratibu, kufadhili na kutekeleza mauaji ya watanzania, wizi, uharibifu wa mali.
Samia hawezi kukaa siti moja na hao wauaji. Anasubiri ripoti ya tume ya uchunguzi hao mambwa ni kuwakamata wote wajibu mashitaka yote hayo!
Member mpya umeingia na matusi na miharo kibao 💩
 
na bila chadema kuheshimu sheria za nchi na ikiendelea kuleta fujo kwa kisingizio cha haki, mazingira ya kufanya siasa yatakuwa magumu sana.
 
Huenda nisieleweke, lakini ujumbe wangu wa wazi kwa dada yangu Rais Samia, kwa maslahi ya amani ya moyo wake akiwa Mtawala ni muhimu azungumze na Chadema na waelewane

Pamoja na kwamba dada Samia ni Rais lakini haiondoi ukweli kwamba papo pahali Chadema hawatendewi haki

Binafsi, kwa nia njema kabisa na kwa unyenyekevu, Rais Samia angeuacha upande unaomfitinisha na Chadema kwa maslahi yao binafsi na ausikilize upande wenye nia njema ya maridhiano ya dhati

Huwezi eti uridhiane na NLD na ukawaweka kando kwa mapuuzo Chadema na ukatawala ukiwa na amani ya moyo-haiwezekani!

Ni wazi, CCM bado ni wakubwa kwa Chadema, japokuwa ki bongo bongo Chadema ni wa pili. Wazingatiwe kwa maslahi mapana ya Nchi

Wasalaam!
Dada yako anapambana asitoke madarakani wewe unaongelea habari ya kutawala kwa tabu.
 
Huenda nisieleweke, lakini ujumbe wangu wa wazi kwa dada yangu Rais Samia, kwa maslahi ya amani ya moyo wake akiwa Mtawala ni muhimu azungumze na Chadema na waelewane

Pamoja na kwamba dada Samia ni Rais lakini haiondoi ukweli kwamba papo pahali Chadema hawatendewi haki

Binafsi, kwa nia njema kabisa na kwa unyenyekevu, Rais Samia angeuacha upande unaomfitinisha na Chadema kwa maslahi yao binafsi na ausikilize upande wenye nia njema ya maridhiano ya dhati

Huwezi eti uridhiane na NLD na ukawaweka kando kwa mapuuzo Chadema na ukatawala ukiwa na amani ya moyo-haiwezekani!

Ni wazi, CCM bado ni wakubwa kwa Chadema, japokuwa ki bongo bongo Chadema ni wa pili. Wazingatiwe kwa maslahi mapana ya Nchi

Wasalaam!
ukubwa wao ni nini? kuteka, kutesa na KUUA waTanganyika?

chadema wamebeba agenda za WANANCHI. hivyo waTanganyika ni chadema na chadema ni waTanganyika.

think twice
 
na bila chadema kuheshimu sheria za nchi na ikiendelea kuleta fujo kwa kisingizio cha haki, mazingira ya kufanya siasa yatakuwa magumu sana.
Na hata huyu Samuya ashirikiane na vyama mamluki 1000 na kuteka wasiompenda haitamsaidia kwenye urais wake. Ashirikiqne nao tu na awasikilize madai yao
 
Huenda nisieleweke, lakini ujumbe wangu wa wazi kwa dada yangu Rais Samia, kwa maslahi ya amani ya moyo wake akiwa Mtawala ni muhimu azungumze na Chadema na waelewane

Pamoja na kwamba dada Samia ni Rais lakini haiondoi ukweli kwamba papo pahali Chadema hawatendewi haki

Binafsi, kwa nia njema kabisa na kwa unyenyekevu, Rais Samia angeuacha upande unaomfitinisha na Chadema kwa maslahi yao binafsi na ausikilize upande wenye nia njema ya maridhiano ya dhati

Huwezi eti uridhiane na NLD na ukawaweka kando kwa mapuuzo Chadema na ukatawala ukiwa na amani ya moyo-haiwezekani!

Ni wazi, CCM bado ni wakubwa kwa Chadema, japokuwa ki bongo bongo Chadema ni wa pili. Wazingatiwe kwa maslahi mapana ya Nchi

Wasalaam!
Alishanuka sana acha apuyange hadi afe vilevile hatakiwi kabisa sio mtu wa kumsogelea kuongea nae tena acha apelekewe moto asipate amani milele ova ova
 
Huenda nisieleweke, lakini ujumbe wangu wa wazi kwa dada yangu Rais Samia, kwa maslahi ya amani ya moyo wake akiwa Mtawala ni muhimu azungumze na Chadema na waelewane

Pamoja na kwamba dada Samia ni Rais lakini haiondoi ukweli kwamba papo pahali Chadema hawatendewi haki

Binafsi, kwa nia njema kabisa na kwa unyenyekevu, Rais Samia angeuacha upande unaomfitinisha na Chadema kwa maslahi yao binafsi na ausikilize upande wenye nia njema ya maridhiano ya dhati

Huwezi eti uridhiane na NLD na ukawaweka kando kwa mapuuzo Chadema na ukatawala ukiwa na amani ya moyo-haiwezekani!

Ni wazi, CCM bado ni wakubwa kwa Chadema, japokuwa ki bongo bongo Chadema ni wa pili. Wazingatiwe kwa maslahi mapana ya Nchi

Wasalaam!
Kwanini unajitafutia kutekwa?
 
Aliwarudisha mwenyewe , acha apambane , huruma sio malezi.
 
Samia hawezi kuwa na dada wa hovyo km wewe. Hao mambwa ndiyo waliopanga, kuhamasisha, kuratibu, kufadhili na kutekeleza mauaji ya watanzania, wizi, uharibifu wa mali.
Samia hawezi kukaa siti moja na hao wauaji. Anasubiri ripoti ya tume ya uchunguzi hao mambwa ni kuwakamata wote wajibu mashitaka yote hayo!
Mkata viuno umeikimbia I'd yako ya tilatilah utapata taabu sanaaa
 
Huenda nisieleweke, lakini ujumbe wangu wa wazi kwa dada yangu Rais Samia, kwa maslahi ya amani ya moyo wake akiwa Mtawala ni muhimu azungumze na Chadema na waelewane

Pamoja na kwamba dada Samia ni Rais lakini haiondoi ukweli kwamba papo pahali Chadema hawatendewi haki

Binafsi, kwa nia njema kabisa na kwa unyenyekevu, Rais Samia angeuacha upande unaomfitinisha na Chadema kwa maslahi yao binafsi na ausikilize upande wenye nia njema ya maridhiano ya dhati

Huwezi eti uridhiane na NLD na ukawaweka kando kwa mapuuzo Chadema na ukatawala ukiwa na amani ya moyo-haiwezekani!

Ni wazi, CCM bado ni wakubwa kwa Chadema, japokuwa ki bongo bongo Chadema ni wa pili. Wazingatiwe kwa maslahi mapana ya Nchi

Wasalaam!
Nani kakwambia Samia anapata taabu?
 
Samia hawezi kuwa na dada wa hovyo km wewe. Hao mambwa ndiyo waliopanga, kuhamasisha, kuratibu, kufadhili na kutekeleza mauaji ya watanzania, wizi, uharibifu wa mali.
Samia hawezi kukaa siti moja na hao wauaji. Anasubiri ripoti ya tume ya uchunguzi hao mambwa ni kuwakamata wote wajibu mashitaka yote hayo!
Chadema ndio wanateka, kuua watu na kukandamiza haki za raia?.
Mambo yaliyopelekea maandamano mmoja wapo ni utekaji na uonevu kwa raia, je, Chadema wanahusikaje na haya mambo?.
 
Back
Top Bottom