Unatumia njia gani kuishi na dada wa kazi ( house girl) muda mrefu?

Tupeane uzoefu kwenye hili
Usimkaripie/kumfokea ovyo ovyo au kumsema sema mpe uhuru wa kujitawala ,mnunulie baadhi ya mahitaji yake,kama mnatoka na familia nae usimwache,kazi za nyumbani baadhi kama watoto wakubwa/kujitanvua baadhi ya kazi wasaidiane nae kwa zam,jitahidi ukipeleka watoto wako auti nae mbebe nenda nae yaani ishi nae kama moja ya familia yako hakikisha mnachokula na familia yako hata kama umeleta nje ya nyumbani kama zawadi nae mpe.ukifanya hivyo hata kaa akumbuke kwao.
Mi nimeishi na mfanyaazi miake 8 hadi kaolewa harusi kutokea kwangu
 
Naa

m wa stend mwenyewe
 
Tupeane uzoefu kwenye hili
Unamchukulia kama ndugu Yako,akifanya vizuri,mpongeze hata kwa kumpa zawadi kama nguo,viatu nk,na alikosea muonye kama vile umuonyavyo nduguyo,Mimi nimekaa na house girl Hadi mmoja,nilimuozesha na nlisimama kama baba yake! Maana baba mtu alikataa Kwa Nia nzuri akisema nimewaheshimisha sana.Maana huyu house girl unamwachia nyumba, watoto Kwa nini usikae nae Kwa Heshima, Maana anaweza kukudhuru hata kudhuru watoto wako nk .
 
Maneno ya hekima Mkuu
 
Usimkaripie/kumfokea ovyo ovyo au kumsema sema mpe uhuru wa kujitawala ,mnunulie baadhi ya mahitaji yake,kama mnatoka na familia nae usimwache,kazi za nyumbani baadhi kama watoto wakubwa/kujitanvua baadhi ya kazi wasaidiane nae kwa zam,jitahidi ukipeleka watoto wako auti nae mbebe nenda nae yaani ishi nae kama moja ya familia yako hakikisha mnachokula na familia yako hata kama umeleta nje ya nyumbani kama zawadi nae mpe.ukifanya hivyo hata kaa akumbuke kwao.
Mi nimeishi na mfanyaazi miake 8 hadi kaolewa harusi kutokea kwangu
Safi mkuu, big up!
 
Umenena vyema mkuu
 
Mi nilijipa umuhimu kama kaka, mpaka kwenye cherehan nikampeleka ebwana eeh. Huko ndo akapata walimu akasema hata mwaka hajamaliza. Ukitafuta mdada wa kazi usimtese ila pia usijipe umuhimu sana
 
Back
Top Bottom