Vile vyumba vya dada poa kwenye majiji nani anavimiliki kwanini havibomolewi?

Best home tutor

Senior Member
Joined
May 8, 2026
Posts
194
Reaction score
268
Salama wakuu

Ukipita kwenye majiji makubwa hasa uchochoro unaweza Kishangaaa kukutana na vyumba vidogo sana zaidi ya 100 ambavyo vinatumika kufanya shughuli za ukahaba mfano katika jiji la dar es Salaam kuna maeneo kama kimboka ,uwanja wa fisi ,mwananyama hospital,temeke Sudan temeke sokota,buguruni Rozana ,kigamboni polisi karibu shule ya makonda na mbezi mwisho magufuli stendi karibu na baa ya rugumbashi mikoa mingine hivyohvyo zipo sehemu kama hizo

Sasa polisi wanadai huwa wanafanya doria na kuwakamata lakini badae wanawaachia nilisikiaga wanachanga pesa nyingi wanampa mkuu wa kituo na majina yao kwa hiyo anawalinda kuwakamata inakua geresha tu maana kila mwezi wanapeleka mzigo wa maana kama 5m sasa sijajua ukweli wa jambo hili.

Anyway ,swali langu la msingi kama tunahitaji kuwaondoa kwa nini hatubomoi vyumba vyao? Na nani ana mamlaka ya kujenga vyumba vile katikati ya jiji vikiwa vimerundika hivyo ? Nani anawapa kibali cha ujenzi na wanajenga makazi ya watu au nini?

Lakini najua kuna watetezi wao humu ndani basi watengewe maeneo maalumu ya mahoteli ili wasizagae mitaani na kuendelea kuharibu maadili ,maana unakuta wapo kwenye njia na wanafunzi wa shule wanapita na watoto huku mikao na mavazi yao yakiwa yanahamasisha ngono.

Nawasilisha.
 
nani kasema anahitaji kuwaondoa? mbona unasingizia uwongo?
Wale wote wanatakiwa kuondolewa mtaani hakuna sheria inayoruhusu madanguro kwenye maeneo yenye makazi ya watu ,ndio maana doria za mara kwa mara huwa wanakamatwa
 
Mahitaji muhimu sana hayo..... Yapo tangu enzi za kale.... Kuna watu wanahitaji kumwaga oil tu na kuendelea na safari.
Haha hayo mahitaji sio salama na ni hatari kwa afya ya kijana ndio maana ninayapinga kwa nguvu zote
 
Salama wakuu

Ukipita kwenye majiji makubwa hasa uchochoro unaweza Kishangaaa kukutana na vyumba vidogo sana zaidi ya 100 ambavyo vinatumika kufanya shughuli za ukahaba mfano katika jiji la dar es Salaam kuna maeneo kama kimboka ,uwanja wa fisi ,mwananyama hospital,temeke Sudan temeke sokota,buguruni Rozana ,kigamboni polisi karibu shule ya makonda na mbezi mwisho magufuli stendi karibu na baa ya rugumbashi mikoa mingine hivyohvyo zipo sehemu kama hizo

Sasa polisi wanadai huwa wanafanya doria na kuwakamata lakini badae wanawaachia nilisikiaga wanachanga pesa nyingi wanampa mkuu wa kituo na majina yao kwa hiyo anawalinda kuwakamata inakua geresha tu maana kila mwezi wanapeleka mzigo wa maana kama 5m sasa sijajua ukweli wa jambo hili.

Anyway ,swali langu la msingi kama tunahitaji kuwaondoa kwa nini hatubomoi vyumba vyao? Na nani ana mamlaka ya kujenga vyumba vile katikati ya jiji vikiwa vimerundika hivyo ? Nani anawapa kibali cha ujenzi na wanajenga makazi ya watu au nini?

Lakini najua kuna watetezi wao humu ndani basi watengewe maeneo maalumu ya mahoteli ili wasizagae mitaani na kuendelea kuharibu maadili ,maana unakuta wapo kwenye njia na wanafunzi wa shule wanapita na watoto huku mikao na mavazi yao yakiwa yanahamasisha ngono.

Nawasilisha.
Kama kuna sheria za nchi zilizovunjwa peleka shauri mahakamani, simple and straightforward.
 
Lucas Mwashambwa aliposikia NIDA kabadilisha ID kuhusu nyumba za wageni sasa kawa Tlaatlaah
Screenshot_20260701-194659.png
 
nilipata mmoja kati yao akanipeleka kweny chumba kama selo kigodoro kimeisha na kuchakaa. kwakua nilikua nimeshawaka naitaj huduma nitoke nikavua nguo zote ili nimtungue vizur alitamka neno moja tu na ugwadu ukakata. UNAVUA NGUO ZOTE KWANI HAPA NI KWAKO?
 
Hoja yako haina mashiko. Hao wanasaidia kupunguza visa vya Ubakaji mitaani. Pia wanawasaidia wanaume ambao hawataki kuwa na demu wa kumsumbua Kila mara Kwa kupigwa vizinga.
 
Malaya they will always remain

Huwezi kuzuia Malaya wasiwepo otherwise utasababisha Ongezeko la wabakaji Duniani
 
Nawaonea huruma mnaoenda kwenye vile vyumba vyao ,vidogo sana halafu pia naona kama wale watu wana maradhi wanahitaji ushauri wa saikolojia
Ww ndo unahitaj ushaur wa kisaikolojia

Watu wanatumia quuma zao wewe unaumia Nini? Unataka utombwe ww
 
Salama wakuu

Ukipita kwenye majiji makubwa hasa uchochoro unaweza Kishangaaa kukutana na vyumba vidogo sana zaidi ya 100 ambavyo vinatumika kufanya shughuli za ukahaba mfano katika jiji la dar es Salaam kuna maeneo kama kimboka ,uwanja wa fisi ,mwananyama hospital,temeke Sudan temeke sokota,buguruni Rozana ,kigamboni polisi karibu shule ya makonda na mbezi mwisho magufuli stendi karibu na baa ya rugumbashi mikoa mingine hivyohvyo zipo sehemu kama hizo

Sasa polisi wanadai huwa wanafanya doria na kuwakamata lakini badae wanawaachia nilisikiaga wanachanga pesa nyingi wanampa mkuu wa kituo na majina yao kwa hiyo anawalinda kuwakamata inakua geresha tu maana kila mwezi wanapeleka mzigo wa maana kama 5m sasa sijajua ukweli wa jambo hili.

Anyway ,swali langu la msingi kama tunahitaji kuwaondoa kwa nini hatubomoi vyumba vyao? Na nani ana mamlaka ya kujenga vyumba vile katikati ya jiji vikiwa vimerundika hivyo ? Nani anawapa kibali cha ujenzi na wanajenga makazi ya watu au nini?

Lakini najua kuna watetezi wao humu ndani basi watengewe maeneo maalumu ya mahoteli ili wasizagae mitaani na kuendelea kuharibu maadili ,maana unakuta wapo kwenye njia na wanafunzi wa shule wanapita na watoto huku mikao na mavazi yao yakiwa yanahamasisha ngono.

Nawasilisha.
Nyingi zilishabomolewa...hata hiyo Mwananyamala ni magofu yamebaki tu pale na mateja na wezi...hawaruhusiwi kujenga tena...zimebaki maeneo machache sana..
 
Hahaha wale hawatoi mpa
nilipata mmoja kati yao akanipeleka kweny chumba kama selo kigodoro kimeisha na kuchakaa. kwakua nilikua nimeshawaka naitaj huduma nitoke nikavua nguo zote ili nimtungue vizur alitamka neno moja tu na ugwadu ukakata. UNAVUA NGUO ZOTE KWANI HAPA NI KWAKO?
Hawatoi mapenzi ni huduma
 
Hoja yako haina mashiko. Hao wanasaidia kupunguza visa vya Ubakaji mitaani. Pia wanawasaidia wanaume ambao hawataki kuwa na demu wa kumsumbua Kila mara Kwa kupigwa vizinga.
Hahaa ko wameachwa makusudi
 
Back
Top Bottom