The silver cyprinid (Rastrineobola argentea) also known as the Lake Victoria sardine or mukene, is a species of pelagic, freshwater ray-finned fish in the carp family, Cyprinidae from East Africa. it is the only member of the genus Rastrineobola.
Habari ya leo wanajamii forum ?natumaini tunaendelea kupambana na kuendesha gurudumu liende mbele.
Waswahili wanasema ili usianguke na baiskeli hauna budi kukanyaga pedeli ili isonge mbele na ukiacha kukanyaga lazima udondoke.Hivyo endelea kukanyaga MUNGU WA WOTE Haijalishi kiasi gani tunamkosea...
Habari ya leo wanajamii forum ?natumaini tunaendelea kupambana na kuendesha gurudumu liende mbele.
Waswahili wanasema ili usianguke na baiskeli hauna budi kukanyaga pedeli ili isonge mbele na ukiacha kukanyaga lazima udondoke.Hivyo endelea kukanyaga MUNGU WA WOTE Haijalishi kiasi gani tunamkosea...
Wafanyabishara Soko la Samaki na Dagaa katika Mwalo la Mswahili hapa jijini Mwanza wameendelea kufanya shughuli zetu katika mazingira yasiyo rafiki.
Soko hill lipo kando ya Ziwa Victoria ambapo shughuli zote zinafanywa pembezoni mwa ziwa hilo kama kuosha samaki, hali hiyo inaweza kuwa mbaya...
Huyu binti alikuwa ni mpenzi wa rafiki yangu,sijui walizinguana nini,saa nne usiku akanipigia simu kuwa amezinguana na rafiki yangu yaani mpenzi wake na hajui atalala wapi hana hata mia mbovu
Nikamwambia njoo ulale kwangu,usiku mrefu ndugu zanguni,nilikuwa naishi kighetogheto chumba kimoja...
Habari ndugu, kama kichwa Cha tangazo kilivyoandikwa nahitaji kuanzisha biashara ya kuuza dagaa waliokaangwa kutoka Bukoba -Dar hivyo nahitaji watu wa kushirikiana nao kupata soko, dagaa ni rejareja kwenye packet au kwa jumla pia wanapatikana kuanzia ndoo ya lita 10 mpk 20, hivyo kwa ambae yupo...
Habari ya leo wakuu,
Ninauza dagaa kwaajili ya chakula ya kuku.
Mawasiliano: +255679903535
Napatikana Dar es Salaam
Bei:
Ndoo ndogo 15,000.
Ndoo kubwa 30,000.
JamanI mimi nataka nifanye biashara ya dagaa nakua nasafirisha kutoka mwanza kupereka songea na iringa je ni changamoto gani ninaziweza kukutana nazo.
Nahitaji TahadharI, faida zake na hasara zake kabla sjaamua kuanza kufanya biashar rasimi maana uzoefu ninao ila sio kuuzia nje ya mkoa
Mambo yasiwe mengi napenda zaidi mchicha wa mafuta wenye mchuzi maana yake nyanya inahusika, naomba kujuzwa formular nataka kutowa kitu na ugali.
Mahitaji ni nini na nini na kiwango chake.
Wakazi wa Mwanza ukaushaji dagaa bado ni kitendawili kwao kutokana na mwalo wa kuanikia dagaa kujaa maji.
Wakizungumza na NyakiTv wakazi wa Kijiwenu Chifunfu Sengerema Mwanza wameeleza changamoto wanazopitia kwenye ukaushaji dagaa Domina Benedicto Mwenyekiti wa kikundi cha Faraja ambacho...
MBUNGE WA RORYA MH. JAFARI WAMBURA CHEGE AWAKA NA BEI YA DAGAA KWENYE MIALO
👍Leo akichangia Wizara ya Mifugo na Uvuvi,Mbunge huyo wa Rorya Mh JWC atoa Ushauri kuhusu Bei ya Dagaa mwaroni walipo walaji wa Chini.
👍Mh Chege Amesema kutokana na walanguzi wa Dagaa Kutoka Nje ya Nchi,Kufika hadi...
Wadau hamjamboni nyote?
Asubuhi ya leo badala ya kunywa chai na vitumbua nimeamua kula ugali wa muhogo na dagaa.
Naomba mnishauri ikiwa ni vema niendelee na utaratibu huu au niandae utaratibu mwingine mbadala
Asubuhi njema kwenu nyote
Nahitaji wale dagaa wa mafuta wale wanaokaangwa baada ya kuvuliwa sio wale mafuta wanaoanikwa kwanza juani
nahitaji kwa bei ya jumla mwenye nazo anicheki pm au mwenye connetion anisaidie zinapopatikana huko mwanza nahitaji bei halisi na sio bei za mtandaoni nitashukuru nikipata msaada
Hivi hawa CCM walishatuona maboya?
Leo hii PM Majaliwa amegeuka kuwa kamanada wa Takukuru Tanzania nzima.
Kila wilaya ina ofisi za Takukuru na wachunguzi kibao. PM Majaaliwa halijui hili? Pesa anazotumia kuzunguka si zingejenga shule kibao?
Huyu Makonda mwenye mikwara mbuzi majukwwani mbona...
Habari ndugu zangu.
Nadhani kila mmoja wetu yupo hai kwa anae soma hapa.
Kama kawaida mr .waziri nazidi kuwarahisishia wateja wangu kupata mzigo wa dagaa kutoka ziwa victoria kwa wale waliopo mikoani.
KWA WALE WALIOPO TUNDUMA SONGWE.
Leo mzigo wa dagaa aina ya full mzigo umefika nenda kachukue...
Natafuta Dalali wa bidhaa za sokoni mkoani Dodoma. Nina Dagaa nyama kutoka Tanga kilo za kutosha nahitaji kupata wanunuaji.
Mwenye namba za Dalali wa bidhaa za sokoni mkoani DODOMA anisaidie tafadhali.
Habari wana JF,
Kwa wakazi wa Dodoma nina Dagaa aina ya uwono kutoka Tanga. Kwa anayehitaji au anayejua wapi ninaweza kupata wanunuzi wengi basi naomba anifahamishe ili tuwasiliane.
Habari za Leo wapendwa!
Leo nawaletea biashara ambayo unaweza kuifanya kwa mtaji mdogo na kuifurahia. BIASHARA YA DAGAA NYAMANONO yaan dagaa waliokaangwa kutoka Mwanza.
Dagaa Hawa wakiwa wabichi, huoshwa vizuri na kuwekewa viungo Kama Chumvi, Swaum, tangawizi na limao. Baada ya hapo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.