The silver cyprinid (Rastrineobola argentea) also known as the Lake Victoria sardine or mukene, is a species of pelagic, freshwater ray-finned fish in the carp family, Cyprinidae from East Africa. it is the only member of the genus Rastrineobola.
Kwa jina naitwa Francis maimu napatikana mkoani tanga,ni muzajii wa dagaa wabichi na wakavu wanaovuliwa kwenye bahari ya hindi
Tunauza kuanzi kilo hadi guni la kilo 100 kwa bei ya jumla ambayo ni shilingi 6500
Napatikana kwa mawasiliano no 0672844844
NIPE DILI
Amani iwe nanyi nyoote. Wakuu naomba kufahamishwa bei na pahara wanapopatkana dagaa wakavu either wa Mwanza, Bukoba n.k kwa hapa jiji la Dar. Nahitaji wanaouzwa kwa kipimo cha debe (ndoo ya lita 20) na sio kwa kg.
Thanks for advance.
Dagaa wa matafuta kutoka ZIWA VICTORIA,TUPO MWANZA mikoani tunasafirisha buree kabsa .
Mawasiliano yetu.
0755213580 Au whattsapp 0755213580.
Kiasi kikubwa na kidogo tunauza..
Karibu sana mteja wetu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.