The silver cyprinid (Rastrineobola argentea) also known as the Lake Victoria sardine or mukene, is a species of pelagic, freshwater ray-finned fish in the carp family, Cyprinidae from East Africa. it is the only member of the genus Rastrineobola.
Kweli hii vita hatari sana Jana nimeenda kununua dagaa Bukoba kilo moja ni Tsh 11,000 na nikaenda buchani kununua nyama ni 8000 nikastajaabu jinsi dagaa zilivyokuwa ni chakula cha mtu wa chini kwa kipato now azishikiki yaaani sasa nyama ni chakula cha mtu wa chini dagaa matawi ya juu mambo...
Nimesikia Serikali kwenye bajeti kuwa kodi imeondolewa/punguzwa kwenye kununua malori yenye friji ndani. Hii ni habari nzuri kwa upatikanaji wa fresh foods. Mtufanyie wepesi basi tupate dagaa mchele na pweza na sisi huku mikoani. Nasi tutafanya mpango mpate ulanzi, sungura, matunda na mnafu fresh.
Wakuu,
Nataka nianze kuuza ugali na dagaa mchele wale wa kukaanga, nitaweka na kachumbari kunogesha au mboga za majani.
Nimefikiria ugali na nyama ya kukaanga lakini nimeona itanikost sana kwenye nyama. Kwahiyo mbadala nimeona ni dagaa mchele ambao kuwapata ni hapa hapa Kigamboni. Kuna mwenye...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Tanga linamshikilia mkazi wa kijiji cha Bwembwela wilayani Muheza kwa tuhuma za kumuua, Eliasa Omari (55) kwa kumkata mapanga akidai kumuibia unga na dagaa.
Akizungumza na waandishi wa habari leo Jumatano Aprili 20, 2022 Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Safia Jongo...
Habari wakuu!
Nina dagaa nyama wengi Sana kutoka Tanga,naomba munijuze wapi Kuna SOKO la uhakika kwenye mikoa yetuu.Pia wenye uzoefu wa biashara hii kwa mikoani.
Ahsante Products inawaletea dagaa wa kukaanga pamoja na wale ambao bado hawajakaangwa kwa bei poa. Tunauza kwa jumla na rejareja kuanzia package ya 1000, 2000 na 5000. Kwa mawasiliano piga 0679 147 967. Tupo Musoma
Nipo chuo na ninaishi na mshkaji wangu. Huyu jamaa ninayeishi nae, ni mpenzi mkubwa sana wa dagaa. Ila, jamaa hawezi kuzipika.
Kwa wiki ni LAZIMA tuzile angalau mara 1 ila ladha ndio mtihani.
Nilikuwa ninapenda sana kula dagaa ila huyu jamaa ameniharibia kabisa taste yangu.
Kwa wenye ujuzi...
Mwenyekiti wa NCCR Mageuzi James Mbatia ameitaka serikali kutaja hadharani majina ya waliofisadi mabilioni ya fedha za benki kuu yaliyotajwa katika ripoti ya CAG.
Mbatia amesema kuwasimamisha maofisa wachache wa wizara ya fedha waliogawana fedha hizo kama posho haitoshi, wale ni dagaa tu...
Habari zenu wote, na poleni na changamoto za maisha zikiwemo maradhi.
Kwa utafiti wangu usio rasmi nilioufanya, nimebaini bei ya dagaa wa Mwanza katika mkoa wanakotoka iko juu kuliko mikoa mingine Tanzania kwa sababu ya matumizi ya makopo maarufu kama vitini/visado.
Baadhi ya mikoa ikiwemo...
Alikuwa ni rafiki yangu, akimhoji mchumba wake,
Lahaula!,
Rafiki, Eti bidada unapenda chakula na vinywaji gani ?
Bidada akasema anapenda ugali dagaa na soda ya mirinda nyeusi.
Dah! Rafiki akashindwa kuendelea mbele kwa kushangaa sana mara bidada akamuuliza vipi?
Jamaa akasema hamna shida...
Poleni na majukumu wadau, me naomba kwa yeyote mwenye uzoefu wa biashara ya dagaa (wakavu) wa mwanza kupeleka Dar, naomba kujua gharama za kununulia kwa wavuvi, gharama za kuwakausha pamoja na usafirishaji, soko lake na mtaji wa kuanzia na yote yanayohusu biashara hii.
Natanguliza shukrani...
Kama uko Arusha au unamfahamu mtu yeyote mwenye stoo, naomba tuwasiliane kwa namba hii: 0629 255 677 . Nitumie hata sms.
Natafuta stoo ya kuhifadhia mzigo wa dagaa. Niko Arusha. Asanteni sana.
Kwa wale wateja wangu wa dagaa nyama toka Tanga, ninawakaribisha kuweka oda...bei imepanda kidogo....kwa jumla kg 7000, kwa rejareja 9000...
Hawa ni dagaa kutoka Tanga, dagaa waliochemshwa ndipo wakakaushwa...ni watamu sana na hawana michanga hata kidogo, ni wasafi 100%. Dagaa hawa unaweza...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.