Habari za Leo wapendwa!
Leo nawaletea biashara ambayo unaweza kuifanya kwa mtaji mdogo na kuifurahia. BIASHARA YA DAGAA NYAMANONO yaan dagaa waliokaangwa kutoka Mwanza.
Dagaa Hawa wakiwa wabichi, huoshwa vizuri na kuwekewa viungo Kama Chumvi, Swaum, tangawizi na limao. Baada ya hapo...