Habari za saa wana Jf,
Jana majira ya saa moja usiku nilipanda daladala ya kwenda kwa moromboo,wenyeji wa arusha bac mtakuwa mnaelewa huu mtaa kwa sifa za matukio mengi ya wizi kwenye daladala na hata mtaani,na waathirika wengi wa haya matukio ni kina mama na wadada ndio wanakuwa wa hanga...