daladala

Dala dala are minibus share taxis in Tanzania. Often overcrowded and operated at unsafe speeds, these minibuses developed as a response to an insufficient public transport system in the country. While the name may be a corruption of the English word "dollar", they are also referred to as thumni.Before minibuses became widely used, a truck with benches placed in the bed was the typical Tanzanian privately owned public transport. Called chai maharagwe, these were popular c. 1990.While dala dala may run fixed routes picking up passengers at central locations, they will also stop anywhere along their route to drop someone off or allow a prospective passenger to board.In contrast to most of these minibuses, in Dar es Salaam some dala dala are publicly operated as of 2008.

View More On Wikipedia.org
  1. Kwa Askofu Kakobe - Baada ya kufunga ndoa, maharusi wapanda daladala na pikipiki kwenda makwao

    Ilikuwa siku ya Ijumaa 19.2.2021, ni siku nyingine ya kukumbukwa, katika Kanisa la Full Gospel Bible Fellowship (FGBF), Dar-Es-Salaam, lililoko Barabara ya Sam Nujoma; pale ambapo jumla ya wahusika 84 waliposhiriki katika kufungwa kwa Ndoa 21, zilizofungwa kwa pamoja katika Ibada ya Ndoa...
  2. Tabia za daladala za kwenu

    Kila mtu ana mtaa wake aliotoka, na tabia mbalimbali leo tuongelee kuhusu hizi daladala zetu wa UBER mtuache kwanza🤣 Sisi daladala za huku kwetu huwa zinajaa mpaka KONDA anapanda BODABODA vipi daladala za huko kwenu?
  3. J

    Tahadhari zote dhidi ya Corona tunachukua ila hili la Distancing Serikali itusaidie, hasa kwenye daladala

    Leo jijini Dar es Salaam nimeshuhudia watu wengi wakiwa wamevalia barakoa na maeneo mengi kuna maji tiririka. Hata benki na TRA nimeshuhudia barakoa za kutosha tu kwa watumishi. Kiufupi wananchi wanajitahidi kuchukua tahadhari dhidi ya Corona ila kwenye vyombo vya usafiri ndio wanakofelishwa...
  4. J

    LATRA yapiga marufuku Taxi kutumika kama daladala Chato, wenyewe wasema ni ushindani wa soko!

    Mamlaka ya usafiri wa ardhini Latra mkoani Geita imepiga marufuku magari madogo yaani Taxi kubeba abiria kama daladala Afisa wa Latra amesema leseni za magari madogo haziwaruhusu kubeba abiria kama daladala. Nao wamiliki wa magari madogo wamesema wanalazimika kutumia utaratibu huo kwa sababu...
  5. Kilichonikuta ndani ya Daladala

    Nakumbuka tulikuwa tumetoka Kibaha tukashuka pale mbezi stend kuu ilikuwa ni mida kigiza ndio kinachukua nafasi yake kuelekea kukamilisha siku Sasa bhana tumesubiri zile coaster za kuja huku mjini tukakosa na zilikua hazipaki pale stend maana zilikuwa zimeshajaa kabisa hadi kwenye seat ya...
  6. Kwanini baadhi ya madereva na makondakta wa daladala ni wachafu?

    Tanzania na hasa Dar es Salaam, kuna uchafu wa kutisha ambao hautajiki kabisa sijajua kwa nini, ni mazoea au hauonekani, sio rahisi kusikia utajwe na watu serikalini, binafsi, mashirika, wala viongozi wa umma. Nakumbuka usafi wa Jumamosi ulivyozingatiwa lakini huu wa makondakta na daladala zao...
  7. R

    Nimetapeliwa na konda wa daladala, nifanyeje?

    Habari za muda huu wana JamiiForums hope mpo poa na maandalizi ya Chrismass Leo nimejifunza kitu nikiwa karume saa 3 ucku kuna basi lilikuja likawa linatangaza G/Mboto sh 1000 dah kwa wazee ambao hatupend fujo tukazama ndan kwanza basi lenyewe si la G/Mboto rangi ni za root nyingine Konda...
  8. Nimepoteza kadi mbili ndani ya daladala za Mbezi/Makabe

    Habari zenu mabibi na mabwana, juzi Jumapili nikiwa maeneo ya Mbezi nikielekea Makabe nikadondosha kadi zangu mbili ya bank na leseni ya udereva. Msaada ninaoomba kwa mtu anayemjua dereva ama konda kwa ruti ya Mbezi/Makabe anipatie niwasiliane nae aniangalizie huenda wakawa wameziona hizo...
  9. K

    Daladala

    1. Daladala nyingi za Dar, taa za kulia huwa ni full light tu. 2. Makonda wa daladala karibu route zote isipokuwa Posta-Mwenge ni wachafu sana 3. Madereva wengi hutumia pombe kali, hasa K-Vant 4. Huzuia usingizi kwa kunywa energisers kama Azam Energy na Mo energy 5. Makondakta wakiwa na pesa ni...
  10. Msiopanda 'DalaDala' mnakosa Uhondo, Vituko na Maajabu makubwa ya Kuzijua vyema zilivyo Akili 'Tata' za Waswahili Wenzetu

    Mtu ( Abiria ) anapanda DalaDala halafu anaamua Kukaa katika Siti ambayo japo kuna Jua Kali linapiga lakini Dirisha lake ni zima na linapitisha Upepo ( Hewa ) vizuri tu ( hasa Kipindi hiki cha Joto Kali jijini Dar es Salaam ) anaamua Kuhama hapo ili kulikwepa hilo Jua na kwenda Kukaa katika Siti...
  11. Morogoro: Stand ya Daladala kuhamishiwa kilomita 2+ kutoka katikati ya mji ni kero kwa Wananchi

    Ndugu wanajamvi, Nimefika mjini Morogoro kwenye hekaheka zangu nikashangazwa na kitendo cha kuhamishia stand ya daladala kutoka katikati ya mji na kuipeleka karibu na Chuo Kikuu cha Sokoine umbali wa kama Km 2+. Ni jambo jema kuboresha huduma kwa jamii kutokana na kukua kwa mji, lakini...
  12. Upi ni uamuzi sahihi wa kufanywa na abiria pindi gari (hususan daladala) inapoanza kurudi nyuma baada ya kushindwa kupanda mlima? Yaliwahi kukukuta?

    Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa JamiiForums. Ndugu zangu Watanzania; Upi ni uamuzi sahihi wa kufanywa na abiria pindi gari (hususan daladala) inapoanza kurudi nyuma baada ya kushindwa kupanda mlima? Je, ulishawahi kujikuta katika hali hii na ulifanya nini? Nimeamua kuomba ushauri...
  13. Daladala ziruhusiwe kupita Barabara za Mwendokasi Dar es Salaam

    Ukiangalia idadi ya magari yaliyotarajiwa kwenda kwa haraka yanayopita kwenye barabara hizi za haraka utagundua kuwa ujenzi wa barabara hizi una harufu ya ufisadi. Ujiangalia idadi ya magari na abiria wanaotumia hizi barabara ni kidogo sana kulinganisha na thamani ya ujenzi wa mradi. Barabara...
  14. Ni kwanini wasiopenda Kulipa Nauli ndani ya DalaDala ( Wakwepaji Nauli ) hupenda sana Kukaa Siti za katikati tu pekee?

    Je, ni kwanini Makondakta wa DalaDala nguvu zao nyingi za Kudai Nauli kwa Abiria wao huziweka sana kwa Abiria tu wa mbele na nyuma lakini mara nyingi mno wale Abiria wanaopenda Kukaa Siti za katikati hujikuta wakiwa wamesahaulika Kudaiwa Nauli? Na imegundulika pia kuwa Wakwepaji wengi wa Kulipa...
  15. J

    Daladala nyingi za Bunju na Tegeta zimekodiwa na CHADEMA, kuna nini leo jijini Dar es Salaam?

    Mabasi mengi ya daladala yanayofanya kazi kati ya Makumbusho, Bunju, Tegeta na Mbweni yamekodiwa na CHADEMA kubeba wanachama wake na yanapeperusha bendera za CHADEMA. Nauliza tu bwashee Mmawia, Salary Slip na tindo leo mna shughuli gani jijini DSM maana kama ni kampeni nadhani mlishazindua jana...
  16. T

    Vituko vya kwenye daladala

    Kama wewe ni mtumiaji wa usafiri wa daladala, pasipo na shaka umewahi kukutana na vituko kadha wa kadha vya baadhi ya abiria, makondakta au madereva. Embu kila mtu aweke vituko alivyowahi kuvishuhudia. mimi vyangu ni hivi vifuatavyo. 1. Mimi niliwahi shuhudia kondakta akilumbana na mama mmoja...
  17. P

    Level seat na barakoa hazizingatiwi tena daladala za Dar

    Pamoja na kutangaziwa kupungua kwa maambukizi ya Corona. Hali ya kujikinga na kuchukua tahadhari haipo tena maeneo mengi Dar. Mabasi ya daladala yamekuwa yakijaza abiria bika kuzingatia maagizo yaliyotolewa. Daladala za Mbezi, Buguruni na Gongolamboto na mengine nyakati za usiku na asubuhi...
  18. Bei ya daladala yapaa juu, toka maeneo ya Mbezi, Kimara, Korogwe kwenda Kariakoo ni shilingi 1000, nani amepanga bei hii?

    Habari JF, Hakika hii imenishtua sana baada ya kuona bei ya daladala zinazofanya safari ndani ya jiji la dar es salaam kupandisha bei ya nauli kimyakimya au naweza kusema kinyemera pasipo kuutarifu umma Kwa sasa usafiri kutoka mbezi, kimara kuelekea city center si tatizo tena kwani coaster...
  19. M

    Serikali tafadhalini wasaidieni abiria wa daladala wa Dar es salaam

    Sasa hivi kuna wizi wa kulazimishana unafanywa na makonda wa daladala. Makonda na madereva wanaweka mazingira ya kulazimisha watu walipe nauli mara mbili ya nauli halali. Wanachokifanya ni hivi: wakifika kituo cha mwisho wa gari wanawatoza abiria kulipa nauli ya kuzunguka. Yaani ukipandia...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…