Hivi karibuni jijini Dar es salaam, tukiwa tunapambana kuingia ndani ya basi la Mwendokasi lililokuwa ‘limeshona’ abiria, nilimsikia mwenzangu mmoja akisema kwa uchungu, “Kama Mwendokasi inatutesa namna hii, hiyo treni ya SGR si itatuua kabisa?”
Nilibahatika kuingia, lakini yeye hakufanikiwa...