Dala dala are minibus share taxis in Tanzania. Often overcrowded and operated at unsafe speeds, these minibuses developed as a response to an insufficient public transport system in the country. While the name may be a corruption of the English word "dollar", they are also referred to as thumni.Before minibuses became widely used, a truck with benches placed in the bed was the typical Tanzanian privately owned public transport. Called chai maharagwe, these were popular c. 1990.While dala dala may run fixed routes picking up passengers at central locations, they will also stop anywhere along their route to drop someone off or allow a prospective passenger to board.In contrast to most of these minibuses, in Dar es Salaam some dala dala are publicly operated as of 2008.
Hello...
Jijini hapa mihangiko mingi.
Wengine wamwaga zege.. Jioni mtu yuko hoi. Anaamka usiku anarudi usiku muda hautoshi.
Huo muda wa kwenye daladala wakati wa kusafiri. Ndio muda wengine wakamaria wanahangaika wanageuka na gari kwa ghalama ya ziada ili wapate muda watengeneze mikeka...
Maskini wazee wa matusi na makasiriko wasiopenda kuambiwa ukweli watakuja kunisemanga lakini ukweli utabaki palepale.
Haiwezekani eti account inasoma positive ukanyang'anyane siti kwenye daladala. Haiwezekani account inasoma positive ukakae kwenye siti ya daladala huku chini umewekewa ndoo ya...
Hivi sisi waafrika tunawezq nini hususani watanzania? UDART inakufa afadhri kupanda daladala kuliko kupanda hizi takataka wanazoita mwendo kasi.
Kutokq moroco tu mpaka kariakoo unatumia masaa matatu? Sasa dhana ya mwendokasi
Mhadhara 31:
Leo naomba niwajuze abiria wa daladala jambo ambalo makondakta wamesomea CUBA, na jinsi ambavyo wanatumia vizuri D2 za shuleni.
1. Matumizi ya D2:
Kumbukumbu walizonazo makondakta (tingo) za kuwakumbuka abiria wote ambao tayari wamewatoza nauli, na abiria ambao bado hawajawatoza...
Salaam wakuu.
Moja kwa moja kwenye mada.
1. Majohe "KWA NGOZOMA"
Huyu ngozoma nasikia yupo mpaka leo na ana bucha lake, alikuwa mfanyabiasha na alifungua duka kubwa sana maeneo hayo ya majohe wakati panaanzishwa miaka ya 2005 hivi.
2. Kwa Azizi Ali (Anayejua atuambie )
3. Kwa mpalange...
Salaam wanajukwaa
Hii mada itawahusu wapanda daladala watu ambao bado tunajitafuta (wenye magari yenu hatutaki ujuaji )
Unapo panda daladala mfano umekaa na mtu, alafu kondakta akaanza kuchukua hela, mfano mnapoenda nauli ni miatano, sasa wewe ukatoa miatano alafu jirani yako akatoa buku alafu...
Wakuu,
Kuna jambo nimejiuliza siku nyingi sana kuhusu maneno “City Bus” yanayoonekana kwenye daladala nyingi za Dar es Salaam. Font ya haya maneno yanafanana katika daladala zote na hili ndilo lililonifanya nijiulize kama hii font kuna mtu mwenye hakimiliki yake maana imekuwa kama ndiyo...
Habari zenu wana jamvi,
Hii biashara ya daladala hapa mjini(Dar) imekaaje.
Waungwana naombeni mshee mawazo yenu haswa mnaojihusish nayo.
Faida na hasara
Pia per day tajiri anapewa ngapi?
Habari zenu wana jamvi,
Hii biashara ya daladala hapa mjini(Dar) imekaaje.
Waungwana naombeni mshee mawazo yenu haswa mnaojihusish nayo.
Faida na hasara
Pia per day tajiri anapewa ngapi?
Nimshukuru Mungu kwa kulinda leo 🙏🏾🙏🏾🙏🏾
Leo hii saa 4 usiku nipo siti ya mwisho kabisa kwenye daladala ya kutokaea Kongowe kwenda Mbagala Rangi 3 kwenye kilima kile baada ya mto kufika Rangi 3 Ghafla naona abiria wenzangu wanakimbilia mlangoni, wengine wanatokea madirishani wengine wanaruka...
kutokana na ukosefu wa daladala zinafanya safari za moja kwa moja vituo hivyo hadi kawe abiria wanalazimika kupanda daladala mara mbili ili kufika kawe hali hii imekuwa ikiwaongezea mzigo wa nauli na muda wa safari jambo ambalo linaathiri shughuli zao za kila siku
Habari Wadau,
Dar es salaam ni jiji linalopanuka kwa kasi sana. Wakazi wengi wanakaa pembezoni lakini kila siku wanaelekea katikati jijini kwa shughuli mbalimbali.
Nimekuwa nikipendekeza route mbalimbali kama jitihada za kutaafungua macho wahusika ili kutatua changamoto za usafiri
Leo nakuja...
Huyo siyo mtu ni kupe, na kama siyo kupe basi hafai kuwa mke, maana hatokuwa msaada kwako.
Ndiyo! Kama ameshindwa kutafuta hela kwa ajili ya vitu vidogo kama hivyo unaoa kwa ajili ya nn sasa? Kuzaa tu? Hata panya anazaa.
Acha ujinga wewe, chukuwa mke atakayekuwa msaidizi wako kiuchumi...
Bado kuna shida kubwa sana ya madereva wa daladala kugeuzia njiani na kufaulisha abiria kwenye gari nyingine.
Imekuwa kero na usumbufu mkubwa sana hasa kwa daladala zinazotokea Mipango kuelekea Mjini. Serikali husika itusaidie kuweka askari kwenye vituo mbalimbali maana kufaulisha abiria sio...
Nina muda mrefu sijapanda daladala. Leo nimepqnda nilichokiona umo khaaa! Daladala imejaa hakuna sehemu ya kueka mguu. Kuna wale wanaonukia pafyumu za sh 200 zinaumiza pua na kichwa mtu unaweza ukazimia kwa harufu, halafu kuna wale wanaonuka jasho. Harufu hizi zinachanganyika kunatokea harufu...
Kuna daladala huwa zinazingua sana. Yaani unaenda mahali lakini hawakufikishi kama inavyopaswa. Kwa mfano, unaweza kuwa unaenda mahali, lakini wakiona mmebaki watu watano ndani ya gari wanageukia mbali na kituo, au wakati mwingine wanakufaulisha kwenye gari lingine lililojaa na nafasi ya kukaa...
Habari Mabibi na Mabwana.
Naomba nisiwachoshe niende moja kwa moja kwenye kero, Kero hii inihusiana na usafiri wa umma kwa wakazi wa Buza ( kwa Lulenge hadi Kanisani). Hapo awali usafiri wa daladala kutokea maeneo tofauti kwenda Buza gari zilikuwa zinaenda hadi Buza Kanisani ( mwisho wa gari)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.