KERO Kituo cha Daladala "Kwa Yusuph" Mbezi Mwisho kutumika kama Kituo cha Malori, si salama

KERO Kituo cha Daladala "Kwa Yusuph" Mbezi Mwisho kutumika kama Kituo cha Malori, si salama

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua
A

Anonymous

Guest
Kwa Yusuph.jpg
Hapa ni kwa Kituo cha Daladala cha "Kwa Yusuph" kilichopo Mbezi (Morogoro Road) kwa sasa kimegeuka kuwa stendi ya magari makubwa (malori) yanayosimama kwa ajili ya kupakia abiria pamoja na gari ndogo zinazosafirishwa kwenda mikoan na nchi jiran, (IT) bila kusahau mabas kwa nyakari za usiku.

Hii barabara ina njia 3 ila cha kusikitisha ukipita nyakati za usiku magari yanasimama hovyo na kusababisha usumbufu mkubwa, kwani badala ya njia 3 inabaki kutumika moja tu, na nina uhakika kabisa mamlaka wanalijua hili na wamelifumbia macho.
 
Pale toka kitambo tunapatumia hivyo kaka
 
Back
Top Bottom