magical fire
New Member
- Mar 29, 2016
- 1
- 1
Kwanini daladala za Mbeya wanachukua nauli shs 1000 badala ya nauli halali ya shs 700-800.
na wakati umbali hauzidi hata km 10 ??
Mfano kutoka Uyole hadi Kabwe au Mwanjelwa ni Km 7 lakin tunalipa 1000, lakini pia hata ukiwa unashuka vituo vya njiani wanatoza 1000
pia kituo hadi kituo nauli ni 1000.
Huu ni mzigo kwa mwananchi wa kawaida. Je LATRA wameshindwa kulidhibiti hili jambo???
Tunaomba serikali iangalie hili.
Pia soma ~ LATRA: Tumeanza kufunga ving'amuzi vya VTS kufuatilia Daladala zinazokatisha ruti na kuzidisha nauli