Huu ni upuuzi usiofaa hata kidogo. Vijana wa Ccm wamegeuka nyumbu. Nyumbu huwa hatumii akili maana hufuata mkumbo kwa kila jambo. Akiona kundi la nyumbu wenzake wanavuka mto, naye anavuka bila kuangalia hatari au litalotokea.
Ndio hii Uvccm ya leo imekurupuka kama Nyumbu kutaka Spika Ndugai...
Nilileta thread hapa niliwahi kumiliki maduka 11 lakin sasa nimefilisika.
Kwa kweli sikuwahi kumfikiria yoyote ubaya na hesabu zilikua zinakwenda uzuri ingawa wengi wasiojua sababu ya kufisika wanakuona mzembe lakin wajiulize kama ulianza chini ukafika juu uzembe huo unatokea wapi?
Kuna...
Ndugu zangu dalili zinaonyesha Kuna Jambo haliko sawa.mama asidharau viashiria vinavyojitokeza.askofu lusekelo aliongea Mambo mazito kuhusu mbowe kushikiliwa na polisi kwa makosa ya ugaidi.kaja askofu mwingira kaongea mazito Sana ,na muona pia job ndugai nikama anakitu hakubaliani nacho na...
Ukipita huku mtaani watu wanashauku sana na uchaguzi wa 2025, ni uchaguzi wa kimkakati, Kati ya chadema na Ccm.
Kama hakutakuwa na uwizi wa kura na magumashi basi mpambano utakuwa mkali kuliko ule wa magufuli na lowasa.
Ni mpambano uliojificha ndani ya migogoro ya muungano, watu moyoni wanalao...
Wanajamvi
Kuna huu ugonjwa ( kirusi kipya ), ambao unasambaa kwa kasi sana Tanzania
Dalili zake ni zipi.? kama ushawahi kupata
Mimi najisikia uchovu sana, kuanzia kichwani mpaka mguuni
Je wewe kama umeumwa, unajisikiaje.? Na kama umepona umetumia dawa gani.?
Tumeshuhudia kila kitu kupanda bei, ndio kila kitu kasoro vinywaji tu. Tulizoea kelele na ukosoaji mkubwa enzi za JPM na muhanga mkubwa kabisa akiwa ni JK.
Sioni hayo yakiwa kama zamani hii ina maana gani?
==
"Kazi ya kulinda tunu ya uhuru na Mapinduzi matukufu ya Zanzibar ni jukumu la kufa na kupona kwa kila mzalendo kwani fatiki ya kupigania uhuru imepoteza maisha na mali za watu, nguvu na jasho jingi" Shaka Mwenezi Taifa
"Urithi wa Uhuru unapaswa kuthaminiwa na watanzania wote ambao ni...
Shirika la Afya Duniani limeweka bayana dalili za COVID-19 ambazo hutokea kwa watu wachache.
Dalili hizo zinatajwa kuwa ni:
Kupata maumivu ya kichwa
Kuwashwa kooni
Kupata maumivu sehemu mbalimbali za mwili
Kuhara
Kupata upele kwenye ngozi, au kubadilika rangi kwa vidole
Macho kuwa mekundu...
Penzi ni makubaliano baina ya watu wawili walioamua kuacha kila kitu na kuwekana moyoni lakini sio mara zote unayempenda na wewe akupende swali linabaki utajuaje kama uliyenaye anakupenda, leo tupate nafasi ya kuangalia mambo matano(5) ambayo ukiyaona ujue wazi kuwa penzi lenu lipo rehani
1...
Shirika la Afya Duniani limeweka bayana dalili nne za kawaida za Covid-19 ambazo hutokea kwa watu wengi zaidi.
Dalili hizo zinatajwa kuwa ni kupata homa, kupata kikohozi, kuhisi uchovu usio wa kawaida pamoja na kupoteza uwezo wa kuhisi ladha na harufu.
Dalili hizi zinakadiriwa kuanza...
Baadhi ya Halmashauri zimedaiwa 'kuwapiga' cha juu wasimamizi wa mitihani ya kidato cha nne inayoendelea hivi sasa.
Kwa utafiti wangu usio rasmi wa kuwapigia watumishi wa Halmashauri tofauti tofauti, nimegundua kwamba kuna Halmashauri zingine zimewalipa wasimamizi siku 19, zingine zikalipa siku...
Shirika la Afya Ulimwenguni limeweka bayana dalili tatu za hatari za #coronavirus ambazo zinahitaji uangalizi wa karibu wa wataalamu wa afya .
Inaelezwa kuwa dalili hizo ni kupata tabu ya kupumua, kupoteza uwezo wa kuzungumza na kupata maumivu kifuani. Dalili hizi zinakadiriwa kuanza kuaonekana...
Kihisia: Kukosa furaha na kuhuzunika sana. Au kuwa na furaha sana kupita kiasi wasiwasi na au woga kupita kiasi. Kupunguza kuongea au kutokuongea kabisa au kuongea sana kupita kiasi. Hasira za haraka haraka hata kufikia kupiga wengine. Kuwa na msongo wa mawazo. Kujitenga na watu na kupenda kukaa...
Wakuu hii nawaletea baada ya dogo fulani kunitafuta huku amefura analalamika ameingia kwenye biashara ya kudownload pesa na kampuni fulani inaitwa 360 Capital na kushindwa kutoa pesa zake. Nikazama kwenye mitandao ya kijamii na kuitafuta kiundani maana jina lake ni kama niliwahi kulisikia...
Kwa muda mrefu nimekuwa nikijua kuwa dalili mojawapo ya Taifa masikini ni kuwa na wakulima wengi!
Tanzania ina wakulima kati ya 65% hadi 80% katika population ya watu milioni 60, hivyo hili ni Taifa masikini sana!
Marekani yenye watu zaidi ya milioni 300 ina wakulima wasiozidi asilimia 10%...
Hizi ni baadhi ya dalili zinazoashiria mpezi wako wa kike anataka penzi:-
Ukimuuliza swali anakujibu kwa lugha ya ukali
Akianza kukusemesha yeye ataongea kwa taratibu bila kujiamini
Anaweza kukuuliza kitu kisichokuwa na maana yoyote na ukahisi labda ana akili za kitoto
Anasahau sahau kitu...
Tuna vyombo vya dola na chama dola, wenzenu kuanzia jana wanatoa makovu yaliyotokana na uchaguzi wa mwaka jana. Zipo tuhuma za kupigwa Risasi kukatwakatwa na kulazimishwa kwa watu kurejea CCM na walipokataa walimwagwa damu.
Wakati Taarifa hizi zikisambaa kwa kasi zikiwa na majina na maelezo...
Ni kwanini masikini huwa wanafurahi sana wakiona tajiri kapata matatizo?Nafsi zao zinasuuzika sana wakiona tajiri kapata majanga! Yaani roho fulani hivi za kichawi.
Yaani badala wajifunze kwa waliofanikiwa wao kwao ni furaha eti "tumefanana".
Si ajabu kuwakuta sehemu wamekaa wakiteta kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.