Madaktari Bingwa wa magonjwa ya mfumo wa upumuaji wamesema kirusi cha wimbi la tatu la ugonjwa wa Covid-19, kimekuja na mbinu tofauti na za kificho kutokana na dalili zake kuu nne.
Dalili hizo zimetajwa kuwa ni:
Mate kukauka mdomoni,
Kupata vipele mikononi na miguuni,
Kuharisha na
Damu kuganda...
Dalili hizi zimeanza kuonekana baada ya Shehe Mkuu wa BAKWATA Mufti Zuberi kuzitaka mamlaka kuharakishwa kusikilizwa kwa shauri lao. Ni dhahiri shahiri serikali haiwezi kupuuza ombi lake na hivyo DPP ama atashauriwa kulifuta shauri hilo au ataanzisha mchakato wa kusikilizwa shauri hilo haraka...
Mimi ni mawazo yangu binafsi na nawatakia yaliyo mema kama Taifa.
Warnings: Hii tabia iliyoanza kiongozi akiachia madaraka, basi mnaanza kushitakiana ni dalili mbovu kabisa kama Taifa. Mambo mengine kama kiongozi yalishapita ni busara na hekima kuyaacha yapite.
Kumbuka uongozi siyo suala la...
Naomba nisiitaje ofisi husika ili kuondoa tafarani.
Kutoka makao makuu yetu tumepokea fomu maalumu ambazo tumezijaza vizur. Hizi fomu tumeambiwa ndizo zitatumika katika kutupandisha madaraja.
Cha kusikitisha yametumwa na majina kabisa ya wanaopaswa kuzijaza.
Mtu mumeajiriwa pamoja...
Je ishawahi kukutokea? Unakutana na mwanaume ambaye anaonyesha kuwa anapenda kutoka deti na wewe. Mnaspend miezi mitatu mkiwa pamoja, mnatumiana jumbe za sms na kemia ya mapenzi mnaijenga kuwa ya nguvu. Deti ya kwanza inapita kuwa ya tatu, mwezi hadi miezi mitatu inawapita.
Inapita miezi mitatu...
Kuona maluweluwe kisha kupoteza fahamu
Kuanguka na kutupa miguu au mikono
Kukaza mdomo, kujing’ata na kutoa povu
Kutokwa na haja ndogo au kubwa
MUHIMU: Ukiona moja ya dalili hizi nenda haraka kwenye Kituo Cha Afya
Soma kwa kina: Ugonjwa wa kifafa: Chanzo, Dalili, Huduma kwa Mgonjwa na...
Ni kawaida siku hizi kuona askari wa usalama barabarani wakiwa na magari yao wemeyaweka vichakani wakisimamia sheria za barabarani au wakifanya kazi ya kukamatakamata.
Magari haya unaweza kuyakuta mbali tena yakiwa nje ya mji.
Swali la kujiuliza. Nani anaweka mafuta haya magari kuyawezesha...
Unapokuwa kwenye mahusiano ya kimapenzi mwanamke ambaye hakupendi kwa dhati basi utamgundua kwa dalili zifuatazo;
Hataki kuambata na wewe katika matembezi na ikitokea anakuwa mtu wa masharti mara akuambie tangulia nakuja au pengine kutembea nawe kwa umbali.
Anapata kigugumizi kukutambulisha...
Asili ya miti au zao hili ni Asia, Waarabu na wafanyabiashara walileta zao hili Tanzania miaka ya 1600-700. Minazi ya asili hi chukua miaka 10 tangu kupanda mpaka kuvuna au kuangua Nazi. Mti wa mnazi hustaamili ukame na una maisha ya miaka 100 tangu kupandwa.
Kilimo cha minazi kiliwafaa...
Nipo Pwani ya Kawe na hali ni tulivu kabisa wanajamii wakiendelea na mishe zao.
Tupe taarifa hapo ulipo kama kuna dalili zozote za Jobo kuibuka.
Nawatakia Dominica yenye baraka.
Kazi Iendelee!
Kwa namna nilivyoisikiliza hotuba ya Rais Samia leo naona ni kama Halima Mdee na wenzake kwa sasa wamekalia kuti kavu.
Ni kwamba Chadema watekeleze matakwa ya demokrasia kwa kusikiliza rufaa za wabunge hao halafu tuone kama Spika Ndugai hatayaheshimu maamuzi yao.
Kazi Iendelee
Ramadhan Kareem!
Mbunge wa Mtama (CCM), Nape Nnauye amesema kwa mujibu wa nyaraka za chama hicho tawala, kukosoa na kujikosoa ni silaha ya mapinduzi na kujiimarisha na si dalili ya udhaifu.
Nape ameyasema hayo leo Alhamisi Aprili 15, 2021 wakati akichangia makadirio ya mapato na matumizi ya ofisi ya waziri mkuu...
Mbunge wa Bumbuli, January Makamba amesema kifo cha Magufuli kimeleta kipindi cha mpito chenye wasiwasi ila Rais Samia Suluhu ameanza vizuri kuendeleza yale aliyoacha Rais na kufanya marekebisho na mashahihisho pale panapostahili
Makamba ameongea kauli za kutiliana shaka, utengano, kuhukumiana...
Kuna mama niliongea nae, aliniambia ukikutana na traffic ukawaona ni vijana wadogo au daktari hospitali ukamuona ni kama mjukuu wako. Hapo hakuna ubishi wa chumvi uliyoila duniani.
Dalili 5 za mwanamke asiyekupenda izo hapo
1.Anavunja appointment muda wowote
2.Hajali uwepo wako
3.Hakutafuti mpaka wewe umtafute
4.Anacheka kwa dharau
5.Anatangaza mambo yako kwa rafiki zake
6.Hajibu sms zako. Hivyo ukiona dalili hizi ndugu yangu jiongeze ila uking'ang'ania utaumia.
Ni miaka mitatu toka niache haya mambo ya kua kwenye serious relationship(whatever that means) na mtu, hii ni baada ya kuja kijamaa chenye pesa na kumchukua mwanamke niliyodumu nae kwa miaka miwili,mwanamke ambaye nilihisi sitokaa kuja kumsahau, just like that, she got saved up by some dude,got...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.