dalili

Dalili is a Persian surname. Notable people with the surname include:

Raz Dalili (born 1959), peace educator in Afghanistan
Raz Mohammed Dalili (born 1959), Governor of Paktia Province in Afghanistan

View More On Wikipedia.org
  1. Dalili mojawapo ya kujua mpenzi uliyekutana naye kwa mara ya kwanza anakupenda

    Unapompatia namba yako ya simu, yeye ndio anakuwa wa kwanza kukutafuta, iwe kwa meseji au kwa kukupigia. Lakini wengi sisi huwa tunakosea, unakuta wewe ndio uliyempatia namba yako ya simu na unakuwa wewe ndio wa kwanza wa kumpigia mara kwa mara bila yeye kukutafuta, hiyo inaitwa kujipendekeza...
  2. Dalili za uchizi

    Tunaposema fulani ni chizi au mwendawazimu tunamaanisha kuwa hatumii ipasavyo akili zake. Kila mtu ana akili isipokuwa maiti ila utofauti unakuja kwenye matumizi ya akili. Zifuatazo ni dalili za uchizi; 1. Kukataa mimba huku unajua ni yako. 2. Kujenga mbali na kazini kwako huku unajua kabisa...
  3. P

    Je, moto wa ajabu ardhini rombo ni dalili za kulipuka volcano iliyolala ya mlima Kilimanjaro?

    Kwa wakaazi wa Wilaya ya Rombo na maeneo mengine yote kuuzunguka mlima Kilimanjaro chochote kinachotokea kuhusiana na Mlima huu ni lazima kiwaguse moja kwa moja kutokana na maisha yao kutegemea miteremko yake kwa maelefu ya miaka iliyopita. Ingawa uwezekano wa Volcano ya mlima huu kulipuka...
  4. Dalili 6 zinazoonyesha mpenzi wako hajaachana na ex wake

    1.Ukiona mpenzi wako kila unapomuomba tendo la ndoa anakwambia subiri au usubiri au unakupiga kalenda ujue bado hajaachana na ex wake 2.Ukiona mpenzi wako kila mkiongea anataka uwe unaongea point 3.Ukiona mpenzi wako kipindi akiwa na shida huwa ana speed sana ya kukutafuta alafu shida ikiisha...
  5. Mwenye kujua hizi dalili za tumbo naomba anisaidie remedies zake. I think am dying

    Nina maumivu sehem za tumbo upande wa kushoto wa tumbo na kupanda Hadi sehem karibu na moyo. Please mwenye kujua tatizo anisaidie Hata ushaut nini cha kufanya
  6. J

    #COVID19 Unapohisi dalili za Covid-19 nenda kituo cha afya kupima usijitibu

    UNAPOHISI DALILI YA #COVID19 NENDA KITUO CHA AFYA USIJITIBU Wataalamu wa Afya wanashauri pindi unapohisi dalili za Corona nenda kituo cha afya ukapime badala ya kuanza kunywa dawa na kujaribu kujitibu. Inaelezwa kuwa miongoni wa dalili hizo ni pamoja na kupata shida wakati wa kupumua, kupata...
  7. J

    #COVID19 Usichanjwe ikiwa bado unaugua au una dalili ya COVID-19

    Wataalamu wa afya kutoka Shirika la Afya Duniani wanashauri watu kutochanjwa ikiwa bado wanaugua au wana dalili za Covid-19. Jambo hili linajidhihirisha katika majadiliano kati ya Vismita Gupta Smith ambaye ni Mwandishi wa Habari na Dokta Soumumya Swaminathan. Daktari anaeleza kuwa Mgonjwa...
  8. CHADEMA kuwa na hofu na Majaji wa Mahakama Kuu ni dalili mbaya, tunaashiria kuwa Mbowe ana makosa

    Kama hana kosa kwa nini kuwa na hofu kuwa atatiwa hatiani kwa makosa ambayo hajafanya? Jaji ni mwamuzi anayeangalia ushahidi wa pande zote mbili. Na anaamua kwa kufuata haki. Tulipinga kwa nguvu zote Jaji Limuvanda kusikiliza kesi ya Mbowe. Sasa jaji Nsiyani naye tunakuwa na hofu nae...
  9. Kuna kila dalili penzi la Paula na RayVanny litapitia wakati mgumu sana

    Sio rahs Kwa Rayvanny kupitia njia aliyoipitia Diamond , kuna watu kuwa kwenye mahusiano na kuacha kwao sio tatizo , Ila kuna wengine sio kaz rahisi, kuna wengine ukishamhaidi binti utakuwa naye na yeye akawaza hvyo kwako na akakupenda aisee kumwacha sio kazi rahsi na utalipa Gharama kubwa...
  10. Mpenzi wako kukataa kukupa penzi kwa madai anaumwa kiuno, hakuna dalili ya kupigiwa?

    Hawa viumbe wanamajaribu sana. Mtu anajua kabisa huna mahala pa kupiga mzigo zaidi yake. Unamuita kwa geto ili upige shoo. Anakuja na anadai hawezi kukupa tena anadai kiuno ndio kipo hoi. Huyu mtu kweli ni muaminifu? Hicho kiuno kuumwa kinaumwa bila shoo ya pembeni?
  11. S

    Sakata la Mbowe: Kuna dalili za watu kuja kuandamana

    Hii ndio hali halisi huko Mbeya leo hii(mwnyewe utajiongeza):
  12. #COVID19 Kuna dalili kubwa sana za wagonjwa wengi wa Corona hapa Ifakara kata ya viwanja sitini kitongoji cha Minarani

    Hatua za haraka zichukuliwe na viongozi na mamlaka zinazohusika na afya. Kuna idadi kubwa ya watu wenye mafua makali na vikohozi vikali. Wengine wakidai kusikia maumivu maeneo ya koo. Hiyo hali mimi nilikutana nayo. Kichwa kuuma, maumivu kwenye koo ukimeza mate au chakula, mafua makali na...
  13. Dalili zinazoonesha umepungukiwa nguvu za kiume

    Ukienda Safari Moja Mwili unachoka alafu unahisi usingizi Sehemu za Siri Zinasinyaa taratibu baada ya goli moja. Mwili unahisi ganzi pamoja na sehemu za siri. Hamu inakata ghafla Mara baada ya kutoa Manii, ule uchangamfu unapotea kabisa. Nyeti zinasimama Vizuri Lakini ukitaka kuingiza kwa...
  14. P

    Uchumi wa watu unaokufa. Je, inahitajika kuusisimua kwa kuwaongeza watu kodi ili kuusimamisha tena?

    Kwanza nikiri kabisa kabla, mimi sio mchumi. Kwa sauti nyingi za viongozi wetu, ni uchumi umeshuka na kunahitajika jitiahada ili kuurudisha katika sehemu yake Swali langu ni moja tu, Njia inayoitumia serikali kuweza kurudisha uchumi unaokufa ni sahihi au ndio inaudidimiza zaidi? Mimi...
  15. Hakimu aliyekuwa akisaimamia kesi ya Sabaya abadilishwa

    #UPDATES HAKIMU wa Mahakama ya Hakimu Mkazi, Salome Mshasha,anayekuwa akiliza kesi namba 66 ya Unyanganyi wa kutumia silaha iliyokuwa inamkabili aliyekuwa Mkuu wa Wilaya ya Hai,Ole Sabaya na wenzake amebadilishwa kusikiliza kesi hiyo, sasa itasikilizwa. === HAKIMU wa Mahakama ya Hakimu Mkazi...
  16. M

    Rais Samia haupigi mwingi tena, kuna dalili za kutosha kuwa Uchumi utamuelemea

    Zipo kila dalili kuwa hali ya uchumi kwenye utawala huu wa Rais Samia unaenda kuwa fyongo! Hali hii itaenda kuyafanya maisha ya wananchi kuwa magumu sana. Nimeangalia kwa mfano viwango vipya vya tozo za miamala ya kutuma fedha na kutoa fedha kupitia mitandao ya simu, Gharama zake zimeongezeka...
  17. Naona kuna kila dalili ya Prof Jay kutimkia CCM

    Wakati wakina Lema na Chadema wakishinda mitandaoni kusaini petition kadhaa wakitaka Diamond afungiwe, Profesa Jay yeye anapiga show na vijana waCCM (Nandy, Diamond , Weusi nk). Wasanii ambao kwa mujibu wa Chadema ni moja ya watu waliotumika kuingiza mamlakani utwala dharimu wa CCM. Wakati...
  18. Zijue dalili saba za biashara inayoenda kufa

    Katika ulimwengu wa biashara, ni kazi ngumu kuifanya biashara idumu na kukua kuliko kuianzisha hata kama ulianzisha kwa mabilioni ya pesa. Biashara nyingi huanzishwa kila siku na biashara nyingi zinakufa kila siku kwa sababu mbalimbali ambazo tutazijali siku nyingine. Katika makala ya leo...
  19. Mwanaume kuhonga sana ni dalili kutokujiweza kitandani

    Salaam wanajukwaa la Great Thinkers! Nimekuwa nikifatilia kwa muda sasa maisha ya mahusiano ya wanawake wengi toka nikiwa mtaani, chuoni na hata makazini. Katika vitu nimegundua nikianzia na mitaani hasa huku uswahilini, wanawake wanashauriwa wawe na " mafiga matatu" ambao watawasaidia katika...
  20. Dalili kuu kuwa "anataka tu pesa zako"

    Habari za leo wakuu. Kumekuwa na mtazamo wa muda mrefu kuwa wanaume wanapomtamani mwanamke wanalenga kupata penzi. Na wanawake wao wanalenga kupata fedha au mali. Hapa naweka dalili za wanawake wenye tabia za kukomba pesa za wanaume. 1. Huwa hawanunui kitu chochote. Mara zote mnapokutana hata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…