Robert akiwa kwenye gari lake alianza kulia, akashindwa hata kuendesha akaamua kusimama kando ya Barabara akiwa anabubujikwa na machozi.
Machozi yakawa yanamtiririka Robert huku akizidi kulia kwa uchungu mkubwa, jua lilikua likiwaka huku Watu wakiendelea na shughuli zao lakini kwa Robert...