damu

Damu is a god of vegetation and rebirth in Sumerian mythology.

View More On Wikipedia.org
  1. kwisha

    Ukweli kuhusu ugonjwa wa hypertension ( shinikizo la damu)

    Huu ugonjwa ni hatari saana unaua na kukatisha matumaini ya baadhi ya watu ambao wanao ( ayo ni maneno ya watalaam wetu ) Lakini kutokana na ukweli kabisi halisi ugonjwa huu sio hatari saana kama watu wanavyoongelea ( ni ugonjwa kama magonjwa mengine tu ya kawaida ) Uhatari wa ugonjwa huu upo...
  2. OCC Doctors

    Kwa ufupi kifahamu kipimo cha damu cha 'Full Blood Picture'

    Kipimo cha hesabu kamili ya damu (Full Blood Count) ambacho pia huitwa kipimo kamili cha damu (Complete Blood Count) au kipimo kinachotoa taswira kamili ya hali ya damu (Full Blood Picture) Ni kipimo cha uchunguzi wa damu ambacho hutumika kutoa taarifa muhimu kunako hali ya mgonjwa zinazosaidia...
  3. kwisha

    Naombeni elimu juu ya upima wa shinikizo la damu

    Naombeni elimu jinsi ya kupima shinikizo la damu Nyumbani mzee wangu alinunua kifaa chake cha kupima presha Siku moja Nikapima na mimi Cha ajabu nikakuta shinikizo la damu kwangu lipo kwenye 151/77 Nakapima Tena mara ya pili likawa lipo kwenye 133/ 80 Sasa imekuwa tabia yangu ya kupima...
  4. Mgaa gaa upwa

    KERO Kausha damu Banc ABC wamekataa kutoa makato yao baada ya kuwalipa

    Wasalaam. Ni mwezi Sasa umepita tangu nilipoleta uzi hapa jukwaani unaosema Banc ABC wamekataa kulipwa, msaada wenu unahitajika. Nilipewa ushauri mzuri Sana na Wana JF home of great great thinkers, niliwasiliana na BOT kweli baada ya weekend balance ya mkopo ikatoka ikiwa na limit ya wiki moja...
  5. Yoda

    Makonda anazungumzia Yesu kufa msalabani na damu yake kumtakasa katika mkutano wa Mchengerwa!

    Nimeona clip ya Mkuu wa mkoa wa Arusha akiwa anahutubia katika mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Waziri wa TAMISEMI, Mchengerwa akisema hajali kusemwa vyovyote na wanasiasa wengine kwa sababu pale msalabani Yesu alikufa akamwaga damu yake na akamtakasa, kwamba akisemwa anaitazama damu ya Yesu...
  6. monotheist

    Hii Mikopo ya Bajaji sasa imekua kama kausha damu, tuwe makini

    Pitapita zangu maeneo ya town nikaona bango kubwa linalohusu mkopo wa bajaji na pikipiki nikaamua isiwe shida ngoja nijisogeze yaliyojiri ni kama yafuatayo; Aina ya bajaji ni RE Kianzio cha mkopo ni 700,000 na marejesho kwa siku ni 28,000 kwa miaka miwili inamaana hapa ndani ya miaka miwili...
  7. L

    Rais Samia: Kodi ndio Damu ya Serikali

    Ndugu zangu Watanzania, Rais wetu Mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa uchungu,hisia kali na msisitizo mkali sana.amesema ya kuwa Kodi ndio Damu ya serikali.ambapo kila Mtanzania anapaswa kulipa kodi. Hii maana yake nini watanzania wenzangu? Hii ni...
  8. Pascal Mayalla

    Japo Karma Huwashughulikia Wamwaga Damu, Mawakili: Tujitolee Kutetea Bure, Damu za Watanzania Masikini Zinapomwagwa Kizembe Kwa Kisingizio Chochote!.

    Wanabodi, Hii ni Makala yangu gazeti la Mwananchi Jumatano ya leo, 2 October, 2024 Watanzania walio wengi, hata wenye uwezo, hawazijui haki zao, kunapotokea vifo vya kizembe vya wapendwa wao, lakini hata wakizijua haki zao, Watanzania walio wengi ni masikini wa kutupwa, hivyo hata wakizijua...
  9. Zamazangu

    THAMQNI YA DAMU ZA WANASIASA

    Kumwaga damu imeanza kuwa tabia miongoni mwa viongozi wa Tz. Kuua watu kisiasa sio swala geni katika histiria ya dunia, ila huko nyuma sababu hazkusababishwa na kuhitilafiana kiitikadi, ilikuwa hasa uasi wa serikali, yaani wale walituhumiwa kukusudia kuua viongozi. Hali hiyo ya sasa ya kuwaua...
  10. Z

    Naota napigana nashtuka nmepiga ukuta damu zinatoka mkononi. Tatizo nn

    Habarini za jioni jf. Ni mara ya tatu naota napigana nashtuka nakuta mkono Unatoka damu baada ya kupiga ukuta. Nahofia nkioa nitampiga ntakae kuwa nmelala nae. Nifanye nn kuondokana na hili tatizo
  11. sonofobia

    Nimejitolea kuchangia damu waandamanaji wa kesho. Nani ananiunga mkono?

    Wanasema kutoa ni moyo na kama wanadamu tunatakiwa kusaidiana wakati wa majanga. Kesho chadema wanaingia kufanya maandamano bila ya kuwa na kibali licha ya katazo ya jeshi la polisi hapa kuna kila dalili ya watu kupata ulemavu wa kudumu, kuvuja damu nyingi sana hivyo kwa uungwana niliokuwa nao...
  12. ukwaju_wa_ kitambo

    Hevy weight Mc Professor Jay with "Machozi, jasho na damu album

    ALBUM YA PROFESOR JAY "MACHOZI ,JASHO NA DAMU https://www.facebook.com/100064569174258/posts/pfbid0Eksw2k3qTSg3kzXd5H6BtXzEYYNiNtGTXA6K24WvMf2U6zETpBsMxgtCTF6L1u2yl/?app=fbl "Machozi Jasho na Damu.. ni jina la kutaja albamu ya kwanza kutoka kwa msanii wa muziki wa kizazi kipya wa Kitanzania...
  13. Roving Journalist

    Polisi Geita wachangia damu, kuadhimisha miaka 60

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Geita katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo, wamechangia damu kwa ajili ya kuwasaidia wananchi pindi wanapopata Changamoto za uhitaji wa damu katika Wilaya ya Mbogwe Mkoa wa Geita. Kamishna Msaidizi wa Polisi ACPMagai Chassa amesema Jeshi la...
  14. Roving Journalist

    Polisi Arusha wachangia damu, wafanya matembezi kuadhimisha miaka 60 Jeshi hilo

    Jeshi la Polisi Mkoa wa Arusha katika kuelekea kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi hilo, leo Septemba 13, 2024 wamechangia damu kwa wagonjwa wenye uhitaji na kufanya mazoezi ya kutembea katika Jiji la Arusha. Kaimu Kamanda wa Polisi Mkoa wa Arusha Kamishna Msaidizi wa Polisi ACP Debora...
  15. upupu255

    Kausha damu zote zifungiwе, benki zibaki kuwa taasisi pekee za kutoa mikopo

    Wadau za wikiendi! Wakati napita facebook huko nikakutana na post ya huyu jamaa akanikumbusha maumivu ya hii mikopo maarufu kausha damu namna ambavyo ilidhoofisha afya ya dada yangu, akihangaika kulipa mikopo ya aina hii. Stori gani unaikumbuka ukisikia kausha damu?
  16. Robert Heriel Mtibeli

    Tatizo damu ya Mtu haifukiwagi na mchanga. Damu hufukiwa na damu juu yake

    TATIZO DAMU YA MTU HAIFUKIWAGI NA MCHANGA. DAMU HUFUKIWA NA DAMU JUU YAKE. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mambo ya kiroho na kimwili yanakanuni Zake. Ndàni ya Damu ya Mtu upo uhai. Damu ya Mtu vipo vinasaba. Vinasaba hubeba kumbukumbu za kimwili na kiroho za Mtu Husika. Damu ya Mtu hubeba...
  17. K

    Amwagaye damu ya binadamu, damu yake itamwagwa na binadamu

    Mwanzo 9:6 BHND Share Amwagaye damu ya binadamu, damu yake itamwagwa na binadamu; maana binadamu aliumbwa kwa mfano wa Mungu.
  18. KENZY

    wataalum damu mwilini ikifika kiasi gani inatakiwa kupunguzwa??

    Niliambiwa nina damu 17, nikaambiwa nipunguze sikujibu chochote daktari akajiongeza sijaafiki ila akanitajia dalili kadhaa kuwa nikiziona basi niende wakanipunguzie si nimegoma kwa hiari!!.. chaajabu nilikuja kufatilia nikajua normal damu inatakiwa kuwa 16,sasa mimi kuzidi hiyo moja tu ndo...
  19. Pdidy

    USITOE MIMBA NARUDIA USITOE MIMBA ILE DAMU INAONGEA HAITOKUACHA

    NAJUA MPO HAPA MLIOTOA MIMBA NAOMBA NIKWAMBIE KAOMBE REHEMA KATUBU KWA MUNGU PALE MIMBA INAPOINGIA UHAI UNAINGIA NA MTOTO ANAKUWA WA MUNGU SI WAKWAKO TENA MWANAUME WEWE UMETUMIKA TU KUTENGENEZA MBEGU KAMA MWANAUME UKISHIRIKI KUMSAIDIA MWANAMKE KUTOA MIMBA KATUBU OMBA REHEMA ILE DAMU INAONGEA...
  20. Robert Heriel Mtibeli

    Kuua ni laana hata vitabu vya vidini vimesema hivyo, usikubali kubebeshwa dhambi hiyo

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Nafahamu kuna Watu hawajui Jambo hili. Nimeandika ili wajue. Hata hivyo hata kama hawajui lakini wakafanya mauaji haitaondoa Laana Kwa namna yoyote. Elewa kuna Makosa àmbayo kamwe Mungu hawezi kukusamehe hata ungetubu kwa namna gàni. Sheria za Mungu zîpo wazi...
Back
Top Bottom