damu

Damu is a god of vegetation and rebirth in Sumerian mythology.

View More On Wikipedia.org
  1. Manyanza

    Kutapika damu (hematemesis)

    Kutapika damu, pia inajulikana kama hematemesis, inaweza kusababishwa na hali mbalimbali za kiafya, zikiwemo: 1. Vidonda vya tumbo (Peptic ulcers): Vidonda vilivyo ndani ya tumbo au sehemu ya juu ya utumbo mdogo vinaweza kusababisha kutapika damu. 2. Magonjwa ya ini: Magonjwa kama cirrhosis...
  2. BARD AI

    Wimbi la ndugu wa damu kuhusiana kimapenzi linaongezeka au uwazi umeongezeka?

    Kwa mzazi inaweza isikuingie akilini kwamba watoto wako unaoishi nao nyumba moja wanaweza kuwa na uhusiano wa kimapenzi, ila ukweli uko hivyo, yapo matukio mengi ya aina hiyo ambayo yanaendelea kushika kasi kwenye jamii. Hii inahusisha ndugu wa damu, ndugu wa familia au ukoo na hata baba na...
  3. Mshana Jr

    Lissu ni Yanga damu sio SIMBA

    Ila leo huko kizimkazu kalazimishwa kuwa SIMBA damu.. Je huu ni utani wa kisiasa,? Ni madongo? Ni vijembe? Ni hofu kuu ama ni uchokonozi!!!? Lissu atajibu lakini sio hapa na sio leo.. Usaha hutumbuliwa ulipotungia jipu https://www.facebook.com/share/v/CXB42gLoWgoEtC3Z/?mibextid=wWqvZr
  4. Pdidy

    Haujakombolewa kwa vitu vinavyoharibika...umekombolewa kwa damu ya Yesu..hakuna sadaka ya ukombozi n ramli...

    Yajuaee maandiko yatajuweka huru Hata siku moja uongo auwezi kuuzidi ukweliui Tumekombokewa kwa Damu ya Yesu tu Hatujakombokewa na vitu vinavyoharibika Usidanganywe na sadaka ya ukombozi hioo n ramli Kaaa kwenye mafundisho ya kwelii ya kukusaidia kumjua Mungu unaemwamini n nani
  5. T

    Yanayoipata chadema sasa yangekuwa na impact kubwa sana endapo tungekuwa na uongozi wa juu wa chama damu changa.

    Najaribu tu kuimagine Heche - mwenyekiti Lissu - makamu Mrema - k/mkuu Mnyika - n/mkuu Halafu eti yatokee yaliyotokea nchi ingekuwa inachemka muda huu.
  6. Bulelaa

    Kujitia moyo kwenye kupigwa, kuzidiwa na kisha kulalamika wanapolipwa kisasi, kupo ndani ya damu za warabu na washika dini!

    Inanipa shida kubwa sana kuwatafsiri hawa warabu na washika dini! Kufa, wanakufa wao, tena dhahiri, peupe pe, macho yanaona, lakini bado watakwambia, ametukosa! Trampo anasema, nchi zisizostarabika na kupenda Amani, ni eneo la kwenda kutolea haja kubwa huko! Je, ni kwa waarabu? Mi sjui...
  7. T

    Lissu umeutumikia upinzani na kumwaga damu yako kwa gharama kubwa, upinzani uliokoa maisha yako, kulikoni?

    Kusema ukweli sitegemei Lissu atoe kauli alizozitoa kuwa CHADEMA siyo mama yake, ni kweli wote tunafahamu hivyo lakini angalia historia yako kwenye upinzani, na hadi ulipopigwa risasi. Nadhani hakuna aliyeteseka na kupigania haki za watanzania kama wewe. Safari ya mapambano ni ndefu na ngumu...
  8. M

    SI KWELI Nape atahadharisha kufanywa kwa siasa za kijinga, asema zitagharimu roho na damu za watu

    Nimekutana nahii post kwenye mitandao ya kijamii kwenye akaunti yenye jina la mbunge wa Mtama ikitahadharisha watu kufanya siasa za kijinga akidai zitagharimu roho za watu na damu. Je post hii ni hali halisi na imechapishwa na Nape mwenyewe?
  9. DIFFENDA

    Msaada: Mtoto kutapika damu, amepewa dawa ya vidonda vya tumbo lakini tatizo haliishi

    Habari, Nina mtoto wa miaka 7 anatapika damu fresh. Tatizo hili limetokeza Kama siku 18 zilizopita. Nimempeleka hospital ya Benjamini Mkapa . Kwa kutumia kipimo Cha kuingiza tumboni wamegundua ni vidonda vya tumbo (gastric ulcers). GERD with LPR Nimepewa dawa za anti acid, PPI's na anti...
  10. R

    Mzee Siwa amekamilisha kazi yake ya kupanga safu sahihi kwa kesho nzuri, mliopo ofisini anzeni kuaga mpishe damu mpya na mawazo mapya

    Mabadiliko yanayotokea sasa yanaanza kusuka upya mfumo wa utumishi wa umma. Tunategemea mapendekezo ya kiongozi aliyestaafu yanakwenda kuweka mwanzo mpya kwa mfumo wa utumishi. Wapo wenye dola watakaotumbuliwa na kukabidhiwa wengine wanaoendana na mahitaji ya sasa. Ni muda muafaka kwa wakuu wa...
  11. M

    Kwanini asilimia kubwa ya Watu (kutoka Kilimanjaro ) wanasumbuliwa na kisukari na shinikizo la juu la damu?

    Salaam wakuu! Hivi kwa nini asilimia kubwa ya Wachaga (kutoka Kilimanjaro )magonjwa yao makuu ni kisukari na shinikizo la damu la juu? NB: Ikiwa una historia ya ndugu wa karibu, ambao wana tatizo la kisukari au shinikizo la damu, ni vyema ukachukuwa tahadhali mapema kwa kubadili mwenendo wa...
  12. Mr Sam

    SoC04 Kuimarisha Uchangiaji Damu Tanzania kupitia Mfumo wa Tehama: Suluhisho la Changamoto za Upatikanaji wa Damu Salama

    Utangulizi Uchangiaji damu ni kitendo muhimu cha hisani ambacho huokoa maisha ya wale wanaohitaji damu. Kwa mujibu wa Shirika la Afya Duniani (WHO), mahitaji ya damu yanakadiriwa kuwa asilimia moja ya jumla ya idadi ya wananchi. Kwa Tanzania, hii inamaanisha chupa za damu 550,000 zinahitajika...
  13. ndege JOHN

    Naomba kujua ukweli kuhusu wanyonya damu

    Zamani ilisemekana kulikuwa na watu kazi yao ni kunyonya watu damu na story nyingine zinasema walikuwa pia wakichuna ngozi ila sasa kama ni kweli nataka kujua Ilikuwa ni watu binafsi wakifanya hio biashara au walikuwa wakitumwa na serikali? Siamini kama serikali ingeweza kufanya hivyo sio rahisi.
  14. Ileje

    Kuna ukweli kuwa mwanaume na mwanamke wenye damu zenye chaji tofauti +ve na -ve hawawezi kupata mtoto?

    Leo nimemsikia Mkuu wa kitengo cha damu salama wa hospitali moja ya serikali Dar es Salaam akisema ikiwa mwanaume ana damu +ve na mwanamke ana damu -ve (au vinginevyo) hawawezi kupata mtoto na kama wakipata mtoto atazaliwa akiwa na matatizo makubwa ya kiafya. Hivyo ameshauri kabla ya kuoana ni...
  15. Mturutumbi255

    Viongozi Waliokuwa Ndugu wa Giza: Safari za Damu na Machungu

    Ndugu wa Giza ni maneno yanayofaa kuwataja viongozi hawa, waliotumia mamlaka yao kama mapanga makali kukata haki na ustawi wa watu wao. Kila mmoja wao aligeuka kuwa kivuli cheusi kilicholeta maafa makubwa katika historia ya ulimwengu. Hawa ndio viongozi waliotumbukiza dunia katika jahanamu ya...
  16. kmbwembwe

    Rais Samia anasema anakopa kwa riba ndogo, je ana uhakika sio mikopo kausha damu?

    Rais Samia kwenye hotuba yake kupokea gawio za mashirika ya umma na yale yenye hisa za serikali kuna mambo amesema yanatia mashaka. Kwanza kufuatana na msajili wa mashirika hazina ni asilimia ndogo tu ya mashirika yametoa gawio kwa hivyo hapo bado hali ni mbaya vigogo wengi bado wanakula...
  17. GENTAMYCINE

    Wenye Simba SC yao na Wazee kama hawa Waliojitolea Jasho na damu walalamike halafu utegemee Kufanikiwa? Thubutu yako. Utalaanika tu

    “Lazima mabadiliko yapatikane sio kuivunja tu Bodi ya Wakurugenzi, bali hata wachezaji kwa sasa hivi hawako watu wanaoweza kuiendeleza ile klabu, klabu imekuwa na mambo na kiubinafsi, hawathamini watu sio mimi tu tupo wengi ambao tulipoteza ujana wetu kuitumikia Simba” Abdallah Kibadeni Maarufu...
  18. J

    Pre GE2025 Ushahidi wa Mzee Mbowe akisema Msigwa ndiye aliyeshika chupa ya damu wakati wa kumsafirisha Lissu Nairobi huu hapa

    Mbowe huyu hapa akieleza kilichotokea wakati wa kumsafirisha Lissu kwenda Nairobi kwa matibabu.
  19. pombe kali

    Nimefungiwa pombe kwenye karatasi lenye taarifa za wachangia damu

    Salamu, basi jana nikaona nichukue pombe kali nikanywee nyumbani, yule muuzaji akaniwekea kwenye bahasha nyeupe yenye maandishi pande zote. Nilipofika nyumbani nikapiga fundo la kwanza na la pili kisha nikaanza kuipitia ile bahasha nilishtuka kidogo maana ina taarifa za wachangia damu wawili...
  20. Analogia Malenga

    Dizasta ni mdogo wa damu wa King Crazy GK aliyechagua kurafikiana na Professor Jay na Mr Ebbo

    DIZASTA NI MDOGO WA DAMU WA KING CRAZY GK ALIYECHAGUA KURAFIKIANA NA PROFESSOR JAY NA MR EBBO KATIKA MAKUZI YAKE. 1. Wawili hawa wana asili ya mkoa wa Mbeya lakini wamesikika zaidi wakiwakilisha Mzizima. Ununuapo kazi za Dizasta utakutana na jina Edgar MWAIPETA huku kaka yake akifahamika kwa...
Back
Top Bottom