Marekani iko katika vita ya kiuchumi na kijeshi na China lakini haiko tayari kutumia mikono na damu ya Wamarekani, kama ilivyokuwa kwenye vita ya kiuchumi na kijeshi na Urusi lakini haikuwa tayari kutumia mikono na damu ya Wamarekani.
Kama ambavyo Ukraine iliingizwa mkenge ikajikuta katika...
Wataalam wa Afya wamebaini kuwa kuna uwezekano wa kufanya vipimo vya Saratani ya Matiti kwa kutumia kipimo cha kawaida cha damu tofauti na kutumia kifaa maalum cha kupiga picha hasa wana wanawake wenye umri mdogo.
Daktari wa upasuaji wa saratani ya matiti Profesa Kefah Mokbel wa Uingereza...
Habari wanajanvi, napenda kutumia fursa hii kuwasalimu, Moja kwa Moja niende kwenye Mada nimefungua uzi huu ili tupeane uzoefu wale ambao tunapbana na tatizo hili.
Mimi ni muhanga wa tatizo hili shinikizo la juu la damu - Hypertension kwa zaidi ya mwaka sasa.
Tatizo langu lilianza hivi, siku...
Kuondoa ujinga ni dhana Pana, haimaanishi kujua kusoma na kuandika tu ndio kuondoa ujinga. Moja kati ya fursa tuliyoipata katika awamu ya tano, ni kujua kwamba, kama taifa, tuna kundi kubwa sana la wajinga, ambalo, limekaa pale, linasubiri mtu alitumie tu, na litampa uhalali wa kutenda maovu...
Sheheni za siraha, dunia uwanja wa fujo,
Atomiki makombora, jehanamu ya fumbo,
Kisiwa cha miba, wenye nguvu ulimbombo,
Utu umetoweka, mauaji kila uchao.
Kiburi chao pesa, zilizofungwa kwenye fuko,
Pesa dhihaka ya dunia, li wapi chimbo,
Siraha za kisasa, mikogo yao matambo,
Binadamu gunia sifa...
Rais Samia Hassan amesema kuna maradhi ambayo hayakuwepo siku za nyuma lakini yanajitokeza siku za karibuni kwa kuwa uharibifu wa misitu unasababisha Viumbe wa Msituni wasambae kwa Wanadamu
Amesema “Nilikuwa nazungumza na Waziri Mkuu juzi, ametoka ziara Mikoa ya Kusini (Lindi), ameniambia...
Rais wa Kenya, Uhuru Kenyatta amesema alikuwa tayari kuachia madaraka ya Urais baada ya Mahakama Kuu kuufuta ushindi wake katika uchaguzi mkuu wa mwaka 2017, angefanya hivyo ili kuzuia umwagikaji wa damu lakini Naibu wake, William Ruto alimshawishi kutofanya hivyo.
Mahakama iliagiza kurudiwa...
Habari wana JF,
Waanaume tumeumbwa na macho ya matamanio na ndio mara nyingi hutupelekea kufanya maamuzi mengi ambayo yanakuwa sio sahihi.
Hivi mwanaume rijali anawezaje kaa na binti wa kazi ambaye amekomaa na kakamilika vizuri? Kihalisia ni ngumu sana na wengi huishia kuwafanya wake wenza, je...
Jamii imeshauriwa kujitokeza kwa wingi katika zoezi la kuchangia damu kwa lengo la kusaidia jamii yenye uhitaji kwa kuwa kuna upungufu wa damu maeneo mengi yenye uhitaji.
Imeelezwa kuwa uhitaji wa damu uliopo Nchini ni kati ya chupa laki tano na nusu mpaka sita huku akiba iliyopo ni chupa laki...
Kama mtakumbuka huyu jamaa alikuwa ndie mkuu wa maliasiri na wanyama pori miaka ya 1990 akafanya uhuni na kuhirikiana na Mzee Mwinyi wakamuuzia ardhi mwarabu
👇
Salaam Wakuu,
Kuna picha zinazoonesha Wananchi wa Tanzania Jamii ya Wamasai wakiwa na majeraha. Haijajulikana picha zimepigwa wapi saa ngapi.
Naamini Vyombo vya Usalama vitatolea ufafanuzi ili kuondoa taharuki katika Jamii.
MY TAKE:
Damu ya Mtu haiendi bure.
Pia soma:
Wamasai Ngorongoro...
Bondia wa Afrika Kusini Simiso Buthelezi amefariki dunia kufuatia pambano lake na Siphesihle Mntungwa lililofanyika siku ya Jumapili.
Pambano hilo la Buthelezi lilisimamishwa baada ya kuonekana Bondia huyo akimrushia ngumu za ovyo mpinzani wake baada ya kushambuliwa kwenye kamba ya ulingo...
Mwanaume huna muda na wanao, mkeo na watu wako. Umepata neema miaka 10 watoto 4.
Mkeo anawaangalia kwa mapenzi na kukueshimu hana out, dinner wala lunch na wanao hata akikuomba mtoke unasema una kazi nyingi.
Unakutana na wasichana kwenye kazi, semina na vikao nk unavuta unawekeza, out, safari...
Heshima zenu popote mlipo na poleni na kupanda kwa gharama za maisha........
Moja kwa moja kenye mada
Kuna uhusiano kati ya Kundi la damu na Tabia ya mtu katika mahusiano/mapenzi.
Kwa mujibu wa tafiti na machapisho mbali mbali zifuatazo ni baadhi ya sifa za watu kulingana na kundi la damu...
Shime shime shime watumishi wenzangu ...asiye na mwana aeleke jiwe.
Tunapoelekea Mei Mosi ya kwanza ya Rais Samia S. Hassan akiwa katimiza mwaka mmoja kazini si vibaya tukatanguliza yale tunayotarajia kusikia toka kwake.
Kama alivyotuahidi nyongeza ya mshahara mwaka huu bila shaka hilo...
Wamarekani ni wabaya! Wameamua kuingia vitani na Urusi kwa kutumia nguvu zao zote kwa maana ya zana za kivita na pesa, lakini hawako tayari kumwaga hata damu ya mtu mmoja wa Marekani hadi tone la mwisho la damu ya watu wa ukraine!!
Marekani hawajali Ukraine ikiangamizwa na Urusi, wanachohitaji...
Wanaume wanao wakataa watoto damu zao walio wazaa kabla ya ndoa au nje ya ndoa Kuna kitu wanakijua ambacho sisi viherehere tunao wakubali Na kuwalea watoto wa nje/kabla ya ndoa hatukijui.
Please fungukeni wakuu ni kitu Gani hicho mnacho kijua ambacho sisi wengine hatukijui
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.