Kwa tunaomjua Ezekiel Kamwaga ni Simba damu na ameshafanya kazi hadi za kujitolea pesa yake mifukoni enzi hizo hakuna cha Mo wala nani.
Kashafanya kazi hadi ya kuwa Kaimu katibu Mkuu, watu wakiwa hakuna timu haina hela.
Wengine watakaokuja kumuita msaliti huko baadae hata Dar hawaijui...